Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mashariki ya Kati

Uhuru wa kidini ni nguzo msingi ya haki zote za binadamu!

Uhuru wa kidini ni nguzo msingi wa haki zote za binadamu!

Uhuru wa kidini ni msingi wa: haki, utu na heshima ya binadamu!

26/06/2018 09:19

Baba Mtakatifu Francisko anawataka waamini wa dini mbali mbali duniani kuwa ni mashuhuda na vyombo vya haki, amani na maridhiano kati ya watu kwa kukuza na kudumisha uhuru wa kidini, utu na heshima ya binadamu aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Dini zisiwe chanzo cha vita na migogoro!

Papa Francisko asema vita ni dhambi ya mauti inayowatafuna watu huko Mashariki ya Kati!

Papa Francisko asema, vita ni dhambi ya mauti inayowatafuna watu huko Mashariki ya Kati!

Papa Francisko: Kilio cha familia ya Mungu Mashariki ya Kati ni kikali

26/06/2018 06:36

Baba Mtakatifu Francisko anasikitika kusema, leo hii Mashariki ya Kati inateseka na kuendelea kulia kwa uchungu, kiasi kwamba, kwa baadhi ya wakuu wa Jumuiya ya Kimataifa, Mashariki ya Kati, si tena kipaumbele katika sera na mikakati yao ya kitamaduni, kiimani wala kisiasa! Nimateso tupu!

Kardinali Bechara Rais anaitaka Jumuiya ya Kimataifa kufutilia mbali wazo la vita na kuanza kujenga utamaduni wa amani huko Mashariki ya kati.

Kardinali Bechara Rai anaitaka Jumuiya ya Kimataifa kufutilia mbali dhana ya vita na kuanza kujikita katika mchakato wa majadiliano na amani huko Mashariki ya kati.

Kardinali Rai: futilieni mbali vita; jengeni utamaduni wa amani!

14/04/2018 15:46

Kardinali Bechara Boutros Rai Patriaki wa Kanisa la Wamaroniti Wakatoliki kutoka Lebanon anaitaka Jumuiya ya Kimataifa kusikiliza kilio cha wananchi wa Mashariki ya Kati wanaoteseka kutoka na vita, ili kufutilia mbali dhana ya vita na kuanza kujenga utamaduni wa amani ya kudumu na mshikamano.

Mchango wa Ijumaa Kuu ni kielelezo chamshikamano wa Kanisa la Kiulimwengu na Makanisa mahalia katika huduma ya upendo!

Mchango wa Ijumaa Kuu ni kielelezo cha mshikamano wa Kanisa la Kiulimwengu na Makanisa mahalia katika huduma ya upendo na mshikamano kwa watu mahalia.

Familia ya Mungu Nchi Takatifu inashukuru kwa ukarimu na mshikamano

28/03/2018 08:54

Mchango wa Ijumaa Kuu unaotolewa na Makanisa mahalia pamoja na watu wenye mapenzi mema umekuwa ni kielelezo cha mshikamano wa Kanisa la Kiulimwengu na Makanisa mahali katika huduma ya elimu, afya, ustawi na maendeleo ya wananchi wanaoishi Nchi Takatifu, Mashariki ya Kati na Afrika.

Wakristo wanaoishi katika Nchi Takatifu ni mashuhuda wa mahali patakatifu katika maisha na utume wa Kristo Yesu hapa duniani!

Wakristo wanaoishi katika Nchi Takatifu ni mashuhuda wa mahali patakatifu katika maisha na utume wa Kristo Yesu hapa duniani!

Sikilizeni na kukijibu kilio cha Wakristo Mashariki ya Kati!

28/03/2018 08:35

Mwenye Paulo VI katika Waraka wake wa Kitume "Nobis in Animo" wa mwaka 1974, anasema, Wakristo wanaoishi katika Nchi Takatifu ni mashuhuda wa mahali patakatifu katika maisha na utume wa Kristo Yesu hapa duniani. Wana upendeleo wa pekee, lakini wanateseka na kunyanyasika sana!

Ukuu wa Fumbo la Msalaba katika maisha na utume wa Makanisa!

Ukuu wa Fumbo la Msalaba katika maisha na utume wa Makanisa!

Ukuu wa Fumbo la Msalaba katika maisha na utume wa Makanisa!

15/03/2018 09:43

Fumbo la Msalaba ni kielelezo cha hekima, nguvu, huruma, upendo na msamaha na upatanisho unaobubujika kutoka kwenye Fumbo la Utatu Mtakatifu. Msalaba ni Hekima ya Mungu, lakini kwa wale wanaopotea ni upuuzi. Msalaba iwe ni nguzo ya uinjilishaji  na ujenzi wa Ufalme wa Mungu duniani!

Umaskini, vita, ghasia, nyanyaso na dhuluma ni dalili za kunyauka kwa Injili ya upendo duniani!

Umaskini, vita, nyanyaso na dhuluma ni dalili za kunayuka kwa Injili ya upendo duniani.

Ubaridi wa upendo ni chanzo kikuu cha mateso na nyanyaso za watu!

07/02/2018 07:28

Kardinali Leonardo Sandri anasema, Mashariki ya Kati ni eneo ambalo limejiri sana Mashuhuda wa imani kwa Kristo na Kanisa lake! Hawa ni watu wanaoteseka na kunyanyaswa kutokana na umaskini, vita, kinzani na mipasuko ya kijamii na kidini, kiasi hata cha kusababisha ubaridi wa upendo kwa jamii.

Papa Francisko amekutana na kuzungumza na Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki mjini Vatican.

Papa Francisko amekutana na kuzungumza na Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki mjini Vatican, 5 Februari 2018.

Rais wa Uturuki akutana na kuzungumza na Papa Francisko mjini Vatican

05/02/2018 15:06

Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Vatican na Uturuki, hali ya waamini wa Kanisa Katoliki nchini Uturuki; umuhimu na dhamana ya kuwakaribisha na kuwahudumia wakimbizi na wahamiaji na amani na utulivu huko Mashariki ya Kati ni kati ya mambo yaliyojadiliwa na Papa Francisko na Rais wa Uturuki.