Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mashambulizi

Baraza la Makanisa Ulimwenguni, WCC lina laani mashambulizi ya kigaidi yaliyosababisha wanchi 16 kupoteza maisha yao nchini Nigeria.

Baraza la Makanisa Ulimwenguni, WCC lina laani mashambulizi ya kigaidi yaliyopelekea watu 16 kupoteza maisha yao nchini Nigeria, tarehe 1 januari 2018.

Baraza la Makanisa Ulimwenguni lina laani mashambulizi nchini Nigeria

03/01/2018 13:48

Katika mkesha wa Mwaka Mpya 2018 huko nchini Nigeria, Kikundi cha Kigaidi cha Boko Haram kimewashambulia na kuwauwa Waamini 16 waliokuwa wanatoka kwenye Ibada kwa ajili ya kuomba amani, tunza na ulinzi wa Mwenyezi Mungu. Baraza la Makanisa Ulimwenguni lina laani mashambulizi haya!

 

Papa Francisko awakumbuka na kuwaombea wahanga wa mashambulizi ya kigaidi nchini Misri yaliyotokea tarehe 29 Desemba 2017.

Papa Francisko awakumbuka na kuwaombea wahanga wa mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea nchini Misri tarehe 29 Desemba 2017.

Papa Francisko awakumbuka wahanga wa mashambulizi ya kigaidi Misri!

31/12/2017 14:00

Baba Mtakatifu Francisko wakati wa Sala ya Malaika wa Bwana kwenye Uwanja wa Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican amewakumbuka na kuwaombea mahanga wa mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea nchini Misri kunako tarehe 29 Desemba, 2017, awataka wauaji watubu na kuongoka!

Balozi wa Vatican nchini Siria Kardinali Zenari ameshiriki hotuba yake katika Mkutano wa urafiki kati ya watu nchini Italia kueleza hali ya watu Siria

Balozi wa Vatican nchini Siria Kardinali Zenari ameshiriki hotuba yake katika Mkutano wa urafiki kati ya watu nchini Italia kueleza hali halisi ya watu wa nchi hiyo.

Kard. Zenari:Hali ya kivita nchini Siria bado ni mgogoro mkubwa

30/08/2017 14:31

 Balozi wa Kitume wa Vatican nchini Siria Kardinali Mario Zenari amesema kuwa, hali ya migogoro ya kivita nchini Siria bado ina ni kipeo cha nguvu. Ameyasema hayo wakati wa kushiriki kwa njia ya Televisheni hotuba yake huko Rimini katika Mkutano wa urafiki kati ya watu nchini Italia 

 

Papa Francisko asikitishwa sana na mauaji ya waamini waliokuwa wanasali, Jumapili tarehe 6 Agosti 2017 huko Ozubulu, Nigeria.

Papa Francisko asikitishwa sana na mauaji ya waamini waliokuwa wanasali kwenye Kanisa Katoliki la Mtakatifu Filipo, huko Ozubulu, Kusini mwa Nigeria.

Papa Francisko asikitishwa na shambulizi dhidi ya Wakristo Kanisani!

07/08/2017 14:53

Wakati wa maadhimisho ya Siku kuu ya Kung'ara Bwana, Jumapili tarehe 6 Agosti 2017 waamini wa Kanisa la Mtakatifu Filipo, Jimbo Katoliki Nnewi, nchini Nigeria walijikuta wanashambuliwa kwa risasi, hali iliyosababisha watu 11 kupoteza maisha na wengine 18 kujeruhiwa vibaya sana!