Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mapokeo ya Kanisa

Tasaufi ya Damu Azizi ya Kristo Yesu ni dira na mwongozo wa maisha ya Mkristo!

Tasaufi ya Damu Azizi ya Kristo Yesu ni dira na mwongozo wa maisha ya Mkristo!

Tasaufi ya Damu Azizi ya Kristo na maisha ya Mkristo!

21/07/2018 08:01

Tasaufi ya Damu Azizi ya Kristo Yesu ni dira na mwongozo wa maisha ya Kikristo yanayojikita katika uhusiano na mafungamano kati ya Mwenyezi Mungu na jirani. Tasaufi hii inajengwa katika misingi ya Neno la Mungu, Mapokeo ya Kanisa, Ushuhuda na Mafundisho ya Watakatifu, Liturujia na Sakramenti.

Askofu mkuu Rastislav akazia umuhimu wa Maandiko Matakatifu, Mapokeo ya Kanisa na Utamadunisho katika majadiliano ya kiekumene.

Askofu mkuu Rastislav akazia umuhimu wa Maandiko Matakatifu kama njia ya kumtambua Kristo Yesu, Mapokeo ya Kanisa na Utamadunisho.

Askofu mkuu Rastilav akutana na kuzungumza na Papa Francisko!

11/05/2018 15:03

Askofu mkuu Rastilav wa Jimbo kuu la Presov, Kiongozi mkuu wa Kanisa la Kiorthodox wa nchi ya Czech na Slovakia katika hotuba yake amekazia umuhimu wa Maandiko Matakatifu, Mapokeo ya Kanisa na Utamadunisho kama njia muafaka za kuendeleza majadiliano ya kiekumene kati ya Wakristo!

Mama Kanisa anapenda kuwahimiza watoto wake kujenga utamaduni wa kusikiliza, kutafakari na kumwilisha Neno la Mungu katika maisha yao!

Mama Kanisa anapenda kuwahimiza watoto wake kusoma, kulitafakari na kulimwilisha Neno la Mungu katika uhalisia wa maisha yao ya kila siku!

Askofu Salutaris Libena: waamini kuzeni moyo wa Ibada na uchaji!

10/01/2018 14:44

Askofu Salutaris Libena anawataka waamini kujenga na kudumisha utamaduni wa Ibada na Uchaji wa Mungu kwa njia ya: Sala, Tafakari ya Neno la Mungu, Sakramenti za Kanisa bila kusahau Sala za Kanisa kama njia ya kuyatakatifuza malimwengu pamoja na Ibada ya Kuabudu Ekaristi Takatifu!

Papa Francisko anasema Kanisa katika maisha na utume wake linabeba amana, Mapokeo na Ushuhuda wa watakatifu na wafiadini!

Papa Francisko anasema Kanisa katika maisha na utume wake linabeba amana na utajiri mkubwa wa Mapokeo sanjari na ushuhuda wa watakatifu na wafiadini.

Papa Francisko: Epukeni ugonjwa wa ukosefu wa kinga za kiroho mwilini

21/08/2017 08:33

Baba Mtakatifu Francisko anawaambia waamini kwamba, huu ndio ule wakati uliokubalika wa Kanisa kutoka kifua mbele, likitambua kwamba, katika maisha na utume wake linabeba amana na Mapokeo; linasukumwa na kuongozwa na Roho Mtakatifu ili kukutana na watu wanaotafuta maana ya maisha!