Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mapaji ya Roho Mt.

Pentekoste ni mwanzo wa Agano Jipya lililofungwa kwa fumbo la Pasaka, mwanzo wa Taifa Jipya la Mungu, yaani Kanisa.

Pentekoste ni mwanzo wa Agano Jipya lililofungwa kwa Fumbo la Pasaka, ni mwanzo wa taifa jipya la Mungu, yaani Kanisa.

Papa Francisko kuongoza Ibada ya Misa Takatifu, Sherehe ya Pentekoste

18/05/2018 15:16

Sherehe ya Pentekoste ni mwanzo wa Agano Jipya lililofungwa kwa Fumbo la Pasaka, yaani mateso, kifo na ufufuko wa Kristo Yesu kutoka kwa wafu. Ni mwanzo wa Taifa jipya la Mungu lililojaa Roho wake Mtakatifu! Hii ni sherehe ya kuzaliwa kwa Kanisa linatumwa kumtangaza na kumshuhudia Kristo Yesu.

Pentekoste ni utimilifu wa Pasaka ya Kristo Yesu na ufunuo mkamilifu wa Fumbo la Utatu Mtakatifu.

Pentekoste ni utimilifu wa Pasaka ya Kristo Yesu na ufunuo mkamilifu wa Fumbo la Utatu Mtakatifu.

Sherehe ya Pentekoste: Utatu Mtakatifu unafunuliwa kikamilifu!

17/05/2018 07:00

Mababa wa Kanisa wanafundisha na kusadiki kwamba, Sherehe ya Pentekoste ni utimilifu wa Pasaka ya Kristo kwa kummimina Roho Mtakatifu, ambaye ametolewa na kushirikishwa kama nafsi ya Mungu. Hii ni siku ambayo Fumbo la Utatu Mtakatifu limefunuliwa kikamilifu, tayari kutangaza Ufalme wa Mungu.

Roho Mtakatifu ni paji la Mungu. Anatakasa, anahuisha, anatakasa Kanisa na ni Sakramenti ya umoja wa Utatu Mtakatifu na wa watu.

Roho Mtakatifu ni paji la Mungu. Anajenga, anahuisha na kulitakasa Kanisa; ni Sakramenti ya umoja wa Utatu Mtakatifu na wa watu!

Sherehe ya Pentekoste, kuzaliwa kwa Kanisa!

16/05/2018 15:44

Nasadiki kwa Roho Mtakatifu, Bwana mleta uzima: atokaye kwa Baba na Mwana. Anayeabudiwa na kutukuzwa pamoja na Baba na Mwana: aliyenena kwa vinywa vya Manabii. Hii ndiyo imani ya Kanisa juu ya Roho Mtakatifu, Nafsi ya Tatu katika Fumbo la Utatu Mtakatifu; Sakramenti ya Umoja!

 

Kanisa linahitaji sheria kanuni na miongozo ili kupambanua karama na mapaji kwa ajili ya maisha na utume wa Kanisa.

Kanisa linahitaji sheria kanuni na miongozo mbali mbali ili kupambanua karama na mapaji yanayohitajika kwa ajili ya maisha na utume wa Kanisa.

Maisha ya kitawa: utofauti na umoja wa karama kazi ya Roho Mtakatifu

05/05/2018 14:26

Karama mbali mbali zinazoendelea kuibuka ndani ya Kanisa ni kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya Fumbo la Mwili wa Kristo yaani Kanisa. Lakini kuna haja ya kuwa na kanuni sheria na miongozo inayopaswa kufuatwa ili kupambanua karama na mapaji ya Roho Mtakatifu kwa ajili ya utume wa Kanisa.

Watu waliobatizwa na Yohane walikuwa na shauku ya utakaso wa dhambi zao

Watu waliobatizwa na Yohane walikuwa na shauku ya utakaso wa dhambi zao

Papa:Yesu anashiriki ubatizo wa kutakaswa kama binadamu katika mto!

07/01/2018 14:54

Leo hii ni sikukuu ya Ubatizo wa Bwana na kumalizika kipindi cha Sikukuu ya Kuzaliwa kwa Bwana ambapo tunaalikwa kutafakari Ubatizo.Bwana alitaka kupokea ubatizo uliokuwa umetangazwa na kufanywa na Yohane Mbatizaji katika mto wa Jordan.Papa amesema,huo ulikuwa ni ubatizo wa kutubu!

 

 

Utulivu wa kulala usingizi unaweza kuupata kwa kumeza kidonge cha usingizi, hakuna kidonge cha amani isipokuwa ni Roho Mtakatifu

Utulivu wa kulala usingizi unaweza kuupata kwa kumeza kidonge cha usingizi, hakuna kidonge cha amani isipokuwa ni Roho Mtakatifu tu

Papa:Utulivu wa roho ya mkristo unatokana na nguvu ya Roho Mtakatifu

26/10/2017 16:09

Baba Mtakatifu anasema, hakuna mkristo yoyote ambaye ni mtulivu bila kuwa na mapambano ya kiroho Kwasababu wale wasio kuwa wakristo ni vuguvugu Utulivu wa kulala usingizi unaweza kuupata kwa kumeza kidonge cha usingizi, hakuna kidonge cha amani isipokuwa ni Roho Mtakatifu tu

 

Sinodi ya kwanza ya Jimbo kuu la Tabora ilikuwa ni nafasi ya kutembea pamoja kama familia ya Mungu ili kujadiliana sera na mikakati ya kichungaji.

Sinodi ya kwanza ya Jimbo kuu la Mwanza ilikuwa ni nafasi ya familia ya Mungu kutembea kwa pamoja, ili kujadiliana sera na mikakati ya shughuli za kichungaji.

Jimbo kuu la Tabora na changamoto za Chama cha Wakarismatiki!

05/06/2017 07:26

Askofu mkuu Paul Ruzoka wa Jimbo kuu la Tabora anasema, Sinodi ya Jimbo imekuwa ni fursa muafaka wa kutembea pamoja kama familia ya Mungu Jimboni humo na hivyo kupata kujadili kwa kina na mapana: utume na maisha ya Kanisa; changamoto na matarajio ya Jimbo kuu la Tabora. 

Baba Mtakatifu Francisko, tarehe 3 Juni 2017 ameongoza mkesha wa kiekumene mjini Roma

baba Mtakatifu Francisko, tarehe 3 Juni 2017 ameongoza mkesha wa kiekumene duniani.

Mkesha wa kiekumene, ushuhuda wa nguvu ya Roho Mtakatifu Kanisani!

04/06/2017 15:09

Baba Mtakatifu Francisko kwa kuungana na viongozi wakuu wa Chama cha Udugu wa Kikatoliki Duniani, Huduma ya Uamsho wa Kikatoliki pamoja na viongozi mbali mbali wa Makanisa na Madhehebu ya Kikristo, wameongoza bahari ya Wakristo kutangaza na kushuhudia kwamba, Kristo ni Bwana!