Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mamlaka ya Palestina

Papa Francisko aombea kwa mara nyingine tena nchi Takatifu na mashariki ili iwe na amani ya kudumu!

Papa Francisko aombea kwa mara nyingine tena nchi Takatifu na mashariki ili iwe na amani ya kudumu!

Papa kwa mara nyingine aomba amani katika nchi Takatifu na Mashariki !

16/05/2018 15:29

Mara baada ya Katekesi ya Baba Mtakatifu Francisko,mawazo yake yamerudi katika nchi Takatifu na za Mashariki. Kwa namna ya pekee huko Gaza mahali ambapo damu inaendelea kumwagika baada ya maandamano ya wapalestina  kufuatia pia uzinduzi wa Ubalozi wa Marekani mjini Yerusalemu

 

Unicef huko Israeli  inaomba ulinzi wa watoto katika Ukanda wa Gaza

Unicef huko Israeli inaomba ulinzi wa watoto katika Ukanda wa Gaza

Unicef nchini Israeli inaomba ulinzi wa watoto katika Ukanda wa Gaza!

12/04/2018 15:52

Siku kumi za mwisho watoto watatu wameuwawa na wengine wengi kujeruhiwa.Watoto wengi wanahitaji msaada wakisaikolojia  huko Gaza na zaidi pia wanahitaji msaada wa watu wakubwa.Huu ni uthibitisho wa Geert Cappelaere, Mkurugenzi wa Kanda ya UNICEF,chi za Mashariki na Afrika  Kaskazini.