Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mama Carmen Hernandez

Njia ya Ukatekumeni Mpya inaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwake kunako mwaka 1968

Njia ya Ukatekumeni Mpya inaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwake kunako mwaka 1968.

Utenzi wa shukrani kwa Jubilei ya Miaka 50 ya Njia ya Ukatekumeni Mpya

04/05/2018 08:21

Wanachama wa Njia ya Ukatekumeni Mpya kutoka sehemu mbali mbali za dunia wanakusanyika mjini Roma kumzunguka Baba Mtakatifu Francisko ili kumwimbia Mungu utenzi  wa shukrani, Te Deum" kwa kuadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwake na kujikita katika Neno na Maskini!