Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Malezi kwa watoto

Waraka wa Kitume wa Mwenyeheri Paulo VI "Humanae vitae" unaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu kuchapishwa kwake!

Waraka wa Kitume wa Mwenyeheri Paulo VI unaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu kuchapishwa kwake, hapo tarehe 25 Julai 1968.

Jubilei ya Miaka 50 ya Waraka wa "Humanae vitae" na changamoto zake!

27/03/2018 12:09

Mwenyeheri Paulo VI katika Waraka wake wa Kitume, "Humanae vitae" anatoa kwa muhtasari mpango wa Mungu katika maisha ya ndoa na familia; umuhimu wa kudumisha upendo wa dhati kati ya bwana na bibi na dhamana ya malezi na makuzi kwa watoto wao ambao ni zawadi kubwa kutoka kwa Mungu!

Wito wa kwanza ni utakatifu wa maisha unaomwilishwa katika ushuhuda wa maisha!

Wito wa kwanza ni utakatifu wa maisha unaomwilishwa katika ushuhuda wa maisha yenye mvuto na mashiko!

Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili II: Mnaitwa na kutumwa kushuhudia

12/01/2018 08:50

Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili II ya Kipindi cha Mwaka B wa Kanisa ni mwaliko kwa waamini kusikiliza vyema sauti ya Mungu katika maisha yao na hivyo kuwa tayari kuijibu kwa ari na moyo wa ukarimu, tayari kushuhudia matendo makuu ya Mungu katika maisha, kielelezo cha imani tendaji!

Familia ni Kanisa dogo la nyumbani, shule ya haki, amani na utakatifu wa maisha!

Familia ni Kanisa dogo la nyumbani ni shule ya haki, amani, upendo na mshikamano wa kidugu!

Sherehe ya Familia Takatifu: Leleni watoto wenu katika upendo na utu!

28/12/2017 14:34

Waamini walei watambue kwamba, wanawajibika kuinjilisha, kutakatifuza sanjari na kufanya bidii katika kufundisha na kurithisha imani, maadili na utu wema kwa watoto wao kwa kutambua kwamba, familia ni Kanisa dogo la nyumbani, shule ya sala, haki, amani, upendo na mshikamano wa kidugu!

Jumuiya inayosimikwa katika imani, matumaini na mapendo thabiti ni chemchemi ya miito mitakatifu, ari na mwamko wa kimissionari.

Jumuiya inayosimikwa katika imani, matumaini na mapendo thabiti ni chemchemi ya miito mitakatifu, ari na mwamko wa kimissionari.

Papa Francisko: Imarisheni vyama vya kitume ili kukoleza imani!

22/05/2017 16:21

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Jumuiya ya Kikristo inayosimikwa katika imani, matumaini na mapendo thabiti ni chemchemi ya miito mitakatifu ndani ya Kanisa; ari na mwamko wa kimissionari! Huu ni utume unaobubujika kutoka katika Sakramenti ya Ubatizo na Kipaimara! Ushuhuda ni muhimu sana!

 

Asante ninyi kuwa shule ya utakatifu, hiyo ni kutokana mifano mingi za utakatifu wa walei ambao wametambuliwa na Kanisa na wengine wasio julikana

Asante ninyi kuwa shule ya utakatifu, hiyo ni kutokana mifano mingi za utakatifu wa walei ambao wametambuliwa na Kanisa na wengine wasio julikana lakini Mungu peke yake ajua matendo yao, japokuwa kwa upande mmoja uwepo wenu ni ishara yao,

Kard Bagnasco:Miaka 150 ni fursa ya kumbukumbu ya kihistoria !

30/04/2017 15:34

Kardinali Angelo Bagnasco Rais wa Baraza la Maaskofu Italia anasema kuadhimisha miaka 150 ni fursa ya kufanya kumbukumbu ya historia ndefu,ya matukio mengi,mabadiliko,uchaguzi wa kijasiri uliofanyika na hata bila mafanikio na zaidi sura nyingi zilizo jikita kwa ujasiri kufanya uzoefu wa aina yake