Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Makosa makubwa ya uhalifu, "Delicta graviora"

Kashfa za nyanyaso za kijinsia nchini Chile kushughulikiwa kwa dhana ya sinodi katika maisha na utume wa Kanisa.

Kashfa ya nyanyaso za kijinsia nchini Chile kushughulikiwa kwa dhana ya sinodi katika maisha na utume wa Kanisa.

Papa Francisko anakutana na Maaskofu wa Chile tarehe 15-17 Mei, 2018

12/05/2018 17:52

Baba Mtakatifu Francisko anasema, kashfa ya nyanyaso za kijinsia nchini Chile itashughulikia kwa kuambata dhana ya sinodi katika maisha na utume wa Kanisa, ili kuchunguza dhamiri, kuona sababu, kutoa mapendekezo na hatua muhimu zinazopaswa kuchukuliwa na Kanisa nchini Chile!

 

Papa Francisko asikitishwa sana na taarifa ya nyanyaso za kijinsia zilizofanywa na viongozi wa Kanisa nchini Chile.

Papa Francisko asikitishwa sana na nyanyaso za kijinsia zilizofanywa na viongozi wa Kanisa nchini Chile.

Papa Francisko asikitishwa sana na kashfa ya nyanyaso za kijinsia!

12/04/2018 15:24

Baba Mtakatifu Francisko amepokea taarifa ya uchunguzi wa nyanyaso za kijinsia zilizofanywa na baadhi ya viongozi wa Kanisa nchini Chile na kuonesha masikitiko yake makubwa kutokana na kuzama katika ombwe lililomfanya kushindwa kupembua hali kwa ufasaha na hivyo kusababisha mateso kwa watu

Kuna makosa makubwa ya uhalifu, "Delicta graviora" ambayo yanashughulikiwa na Baraza la Kipapa la Mafundisho Tanzu ya Kanisa.

Kuna makosa ya uhalifu mkubwa "Delicta graviora" yanayoshughilikiwa moja kwa moja na Baraza la Kipapa la Mafundisho Tanzu ya Kanisa.

Ufafanuzi kuhusu makosa makubwa ya uhalifu, "Delicta graviora"

02/02/2018 08:08

Baraza la Mafundisho Tanzu ya Kanisa limepewa dhamana na mamlaka ya kushughulikia makosa makubwa ya uhalifu katika masuala yanayohusu "kufuru dhidi ya Sakramenti ya Ekaristi Takatifu, kuvujisha siri za maungamo na nyanyaso za kijinsia dhidi ya watoto wadogo zinazoweza kutendwa na wakleri.