Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Majiundo

Tume ya Kipapa ya kulinda Watoto Wadogo dhidi ya nyanyaso za kijinsia inaendelea kujielekeza katika kuwasikiliza, kuelimisha na kukazia sheria kanuni.

Tume ya Kipapa ya kulinda watoto wadogo inaendelea kujielekeza zaidi kwa kuwasikiliza waathirika, kutoa elimu na majiundo makini; kwa kukazia sheria kanuni na taratibu za kufuatwa ili kujenga mazingira safi na salama kwa watoto wadogo.

Vipaumbele vya Tume ya Kipapa ya Kulinda Watoto Wadogo!

23/04/2018 14:32

Tume ya Kipapa ya Kulinda Watoto Wadogo dhidi ya nyanyaso za kijinsia iliyoundwa kunako mwaka 2014 inaendelea kujikita katika kuwasililiza waathirika wa nyanyaso za kijinsia; kutoa elimu na majiundo makini; kukazia sheria kanuni na taratibu zinazopaswa kufuatwa, ili kujenga mazingira salama!

Kuutafuta Uso wa Mungu ni Waraka wa Papa Francisko kwa Wamonaki ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo, daima wakiwa waaminifu kwa Kristo Yesu!

Kuutafuta Uso wa Mungu ni Waraka wa Papa Francisko kwa Wamonaki, ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo.

Changamoto ya maisha ya kitawa katika kuutafuta Uso wa Mungu!

01/02/2018 06:58

Baba Mtakatifu Francisko katika Katiba ya Kitume "Vultum Dei Quaerere", yaani "Kuutafuta Uso wa Mungu anabainisha mambo msingi yanayopaswa kuzingatiwa na wamonaki katika maisha na utume wao, ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo, tayari kutoa ushuhuda wenye mvuto na mashiko!

Wazee wanapaswa kuheshimiwa, kuthaminiwa na kushirikishwa katika mchakato wa maendeleo endelevu ya binadamu.

Wazee wanapaswa kuheshimiwa, kuthaminiwa na kushirikishwa katika mchakato mzima wa amendeleo endelevu ya binadamu.

Wazee washirikishwe katika mchakato wa maendeleo endelevu!

08/07/2017 09:07

Kumekuwepo na maboresho makubwa katika huduma ya tiba kwa binadamu, kiasi cha kuwafanya watu waweze kuishi kwa muda mrefu ikilinganishwa na hali ilivyokuwa huko nyuma! Lakini jambo la kusikitisha ni kuona kwamba, wazee wananyanyaswa, kubaguliwa na kutengwa katika mchakato wa maendeleo.