Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Majadiliano ya kidini

Salam na matashi mema kwa waamini wa dini ya Kiislam mara baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Salam na matashi mema kutoka kwa Kardinali Angelo Scola mara baada ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Salam na matashi mema kwa waamini wa dini ya Kiislam!

24/06/2017 16:23

Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kimekuwa ni kipindi cha swala, sadaka na kufunga. Sasa ni wakati wa kumwilisha matunda yaliyopatikana wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kuonesha upendo na mshikamano kwa maskini, wakimbizi, wahamiaji pamoja na waathirika mbali mbali!

Viongozi wa kidini watoa Mwongozo wa tunu msingi za utendaji kwa G7Mazingira

Viongozi wa dini mbali mbali wakutana Bologna, Italia na kutoa Mwongozo wa tunu msingi za utendaji kwa mkutano wa G7Mazingira

Baba Mtakatifu Francisko, Viongozi wa kidini kwenye G7 Mazingira

10/06/2017 13:53

Baba Mtakatifu Francisko, kupitia Kardinali Pietro Parolin, Katibu mkuu wa Vatican, atuma ujumbe kwa viongozi wa kidini wakiwakilisha Mwongozo wa tunu msingi za utendaji kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi, kwenye mkutano wa G7 Mazingira, Bologna-Italia. 

Wanawake ni waelimishaji wa udugu duniani!

Wanawake ni waelimishaji wa udugu duniani!

Wanawake wanayo dhamana ya kuelimisha udugu duniani!

09/06/2017 15:25

Dhamana na wajibu wa wanawake na wanaume katika kukuza na kudumisha uelimishaji wa udugu duniani unafumbatwa kwa namna ya pekee katika kujali na kuthamini utu, heshima na haki msingi za wanawake katika jamii; kwa kukamilisha kwani wote wanategemeana katika maisha, lakini wanawake ni zaidi!

Sinodi ya kwanza ya Jimbo kuu la Tabora ilikuwa ni nafasi ya kutembea pamoja kama familia ya Mungu ili kujadiliana sera na mikakati ya kichungaji.

Sinodi ya kwanza ya Jimbo kuu la Mwanza ilikuwa ni nafasi ya familia ya Mungu kutembea kwa pamoja, ili kujadiliana sera na mikakati ya shughuli za kichungaji.

Jimbo kuu la Tabora na changamoto za Chama cha Wakarismatiki!

05/06/2017 07:26

Askofu mkuu Paul Ruzoka wa Jimbo kuu la Tabora anasema, Sinodi ya Jimbo imekuwa ni fursa muafaka wa kutembea pamoja kama familia ya Mungu Jimboni humo na hivyo kupata kujadili kwa kina na mapana: utume na maisha ya Kanisa; changamoto na matarajio ya Jimbo kuu la Tabora. 

Wanadiplomasia wa Vatican ni mashuhuda, vyombo na madaraka kati ya Kanisa la Kiulimwengu na Makanisa mahalia, Jamii na Jumuiya ya Kimataifa.

Wanadiplomasia wa Vatican ni mashuhuda na vyombo vya majadiliano kati ya Kanisa la Kiulimwengu na Makanisa mahalia, Jamii na Jumuiya ya Kimataifa.

Wanadiplomasia wa Vatican ni madaraja kati ya Papa na Makanisa mahalia

29/05/2017 09:40

Mabalozi wa Vatican sehemu mbali mbali za dunia ni wawakilishi wa Khalifa wa Mtakatifu Petro kwenye Makanisa mahalia; ni vyombo na mashuhuda wa majadiliano kati ya Kanisa na Jamii pamoja na Jumuiya ya Kimataifa; wanatakiwa kuwa makini ili kusoma alama za nyakati na kujibu kwa wakati!

Madhabahu ya Bikira Maria ni mahali maalum pa uinjilishaji mpya, toba na wongofu wa ndani!

Madhabahu ya Bikira Maria ni mahali pa uinjilishaji makini; shule ya: Imani, Sakramenti, Amri za Mungu na Maisha ya Sala.

Madhabahu ni mahali pa uinjilishaji wa kina, toba na wongofu wa ndani

17/05/2017 13:49

Baba Mtakatifu Francisko anasema, madhabahu au vituo vya hija ni mahali muafaka pa uinjilishaji wa kina unaogusa undani wa maisha ya mtu; toba na wongofu wa ndani. Hapa ni mahali pa katekesi makini kuhusu: Imani, Sakramenti za Kanisa, Amri za Mungu na Maisha ya sala na tafakari makini!

Papa Francisko asema, ujumbe wa Bikira Maria wa Fatima unafumbatwa katika Injili ya matumaini na amani duniani!

Papa Francisko asema, ujumbe wa Bikira Maria wa Fatima unafumbatwa katika Injili ya matumaini na amani duniani.

Papa Francisko achonga na wanahabari na kukazia: matumaini na amani!

15/05/2017 09:24

Baba Mtakatifu Francisko wakari anarejea kutoka Fatima kwenye kilele cha maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 100 tangu Bikira Maria alipowatokea Watoto wa Fatima amekazia umuhimu wa kutangaza na kushuhudia Injili ya matumaini na amani duniani; kukuza na kudumisha majadiliano katika ukweli na uwazi.

Wakristo na Waislam wanahamasishwa kuwa wachamungu na raia wema kwa nchi zao!

Wakristo na Waislam wanahamasishwa kuwa ni wachamungu na raia wema kwa nchi zao.

Jitahidini kuwa wachamungu na raia wema kwa nchi zenu!

09/05/2017 10:44

Tamko la pamoja kati ya Baraza la Kipapa la Majadiliano ya kidini pamoja na Taasisi ya Elimu ya Mfalme wa Morocco, linawataka waamini wa dini ya Kiislam na Kikristo kutenganisha masuala ya kidini na kisiasa; kukuza na kudumisha majadiliano ya kidini kwa kujikita katika huduma na utu wema!