Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Majadiliano kiekumene

Mwaka 2017 umesheheni matukio makubwa ya kiekumene katika: damu, maisha ya kiroho, sala na huduma

Mwaka 2017 umesheheni matulio makubwa ya kiekumene: katika ushuhuda wa damu, maisha ya kiroho, sala na huduma kwa maskini na wale wote wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii.

Kardinali Kurt Koch: dini na amani vinategemeana na kukamilishana!

03/01/2018 06:54

Kumekuwepo na manaikio makubwa katika mchakato wa majadiliano ya kiekumene yanayosimikwa katika ushuhuda wa damu, maisha ya sala, maisha ya kiroho na huduma makini kwa maskini na wale wote wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii! Iko siku Wakristo wote wataadhimisha Fumbo la Ekaristi!

Ujumbe wa Vatican kwenye Umoja wa Mataifa wasema Yerusalemu ni mji wenye historia, amana na dhamana kwa Jumuiya ya Kimataifa!

Ujumbe wa Vatican kwenye Umoja wa Mataifa wasema, Yerusalemu ni mji wenye historia, amana na dhamana kubwa katika Jumuiya ya Kimataifa, kumbe unapaswa kuheshimiwa.

Vatican yasifu msimamo wa nchi wanachama wa UN kuhusu Yerusalemu

23/12/2017 14:05

Mji wa Yerusalemu una historia, amana na dhamana yake katika medani mbali mbali za maisha ya Jumuiya ya Kimataifa. Huu ni mji unaoheshimiwa na Wayahudi, Wakristo na Waislam, kumbe, Yerusalemu una umuhimu wake pia katika maisha ya kiroho ya mamilioni ya watu ulimwenguni!

 

Papa anakumbuka sala ya pamoja ya tarehe 31 Oktoba 2016 waliposali pamoja huko Lund Sweden,mahali lilipoanzishwa Shirikisho la Kiluteri duniani.

Papa anakumbuka sala ya pamoja ya tarehe 31 Oktoba 2016 waliposali pamoja huko Lund Sweden,mahali lilipoanzishwa Shirikisho la Kiluteri duniani.

Papa:Tuondokane na vikwazo juu ya Luteri na wakatoliki wasiwe kamwe maadui!

07/12/2017 16:12

Baba Mtakatifu amekutana na wajumbe wa Shirikikisho la Kiluteri  duniani mjini Vatican, walioongozwa na Askofu Mkuu wa Nigeria Musa Panti Filibus.Baba Mtakatifu anakumbuka kwa namna ya pekee katika vipindi vyote vya mikutano ya  kiekume vilivyofanyika katika kipindi mwaka wa mageuzi

 

Papa amekutana na wawakilishi wa Baraza la Kipapa la Mazumguzo ya kidini na Kamati ya Palestina kwa ajili ya Mazungumzo ya kidini.

Papa amekutana na wawakilishi wa Baraza la Kipapa la Mazumguzo ya kidini na Kamati ya Palestina kwa ajili ya Mazungumzo ya kidini.

Papa:Mazungumzo yanawezekana kwa ngazi zote:binafsi,sala,familia na jamii

06/12/2017 16:38

Tarehe 6 Desemba 2017,Baba Mtakatifu amekutana na wajumbe wa Mkutano wa Kamati ya Kudumu ya mazungumzo ya kidini  na wahusika wa kidini kutoka nchi ya Palestina mjini Vatican,ambapo amefurahi kukutana nao wakiwa katika utafiti na ugunduzi,ili waweze kuunda Makundi ya kazi ya kudumu 

 

Katika Mkutano wa viongzoi wa kidini, Baba Mtakatifu amekazia juu ya kushikiana na kusaidiana katika ujenzi wa dunia ya kibindamu

Katika Mkutano wa viongzoi wa kidini, Baba Mtakatifu amekazia juu ya kushikiana na kusaidiana katika ujenzi wa dunia ya kibindamu

Papa ameshiriki Mkutano wa Madhehebu ya kidini na Kiekumene kwa ajili ya amani!

01/12/2017 17:00

Mchana wa tarehe 1 Desemba 2017 Baba Mtakatifu amekutana na viongozi wa madhehebu ya kidini kwa ajili ya amani katika makao makuu ya Askofu wa Dhaka nchini Bangladesh.Katika hotuba yake,anawashukuru viongozi wa madhehebu ya kidini kwa juhudi za kuhamasisha amani ya kudumu

 

 

Utume wa pamoja wa makanisa mawili ya kiekumene ni kujikita katika umoja

Utume wa pamoja wa makanisa mawili ya kiekumeni ni kujikita katika umoja

Papa: Ujumbe kwa Patriaki Bartholomew katika Sikukuu ya Mt. Andrea

30/11/2017 16:18

Katika kuadhimisha Sikukuu ya Mtakatifu Andrea,ambayo inaadhimishwa kila ifikapo tarehe 30 Novemba ya kila mwaka,Baba Mtakatifu ametuma ujumbe kwa Patriaki wa Kiekumene Bartholomew. Katika ujumbe huo Baba Mtakatifu anaonesha uwepo karibu pamoja na kuwa katika ziara ya kitume barani Asia

 

 

Papa amekutana na wajumbe wa Tume mchanganyiko wakatoliki na Kanisa la Assira huko ya Mashariki

Papa amekutana na wajumbe wa Tume mchanganyiko. wakatoliki na Kanisa la Assira huko ya Mashariki

Papa:Tuendelee na mchakato wa kuomba umoja hadi siku utakapotimia!

24/11/2017 16:22

Tarehe 24 Novemba 2017,Baba Mtakatifu amekutana na wanachama wa Tume Mchanganyiko kwa ajili ya mazungumzo taalimungu kati ya Kanisa Katoliki na Kanisa la Assira la Mashariki mjini Vatican.Katika hotuba yake,ameanza kwa kuwakaribisha wote pia kumshukuru Kiongozi Mkuu Meelis Zaia

 

Papa:Mshikamano na ushirikiano wa Kikristo ndiyo viwe ushuhuda daima

Papa:Mshikamano na ushirikiano wa Kikristo ndiyo viwe ushuhuda daima

Papa:Mshikamano na ushirikiano wa Kikristo ndiyo viwe ushuhuda daima

26/10/2017 17:50

Baba Mtakatifu Francisko amekutana na kuzungumza na Wawakilishi wa Kanisa la Scotland mjini Vatican tarehe 26 Oktoba, ambapo amewakaribisha kwa furaha na shukrani kwa hotuba yake,kwamba uwepo wao ni kumpa fursa ya kutoa salam zake za dhati kwa watu wote wa Kanisa la Scotland.