Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Majadiliano kati ya Israeli na Palestina

Askofu Mkuu Berdardito Auza Mwakilishi wa Kudumu wa Vatican katika Ofisi za Umoja wa Mataifa huko New York Marekani

Askofu Mkuu Berdardito Auza Mwakilishi wa Kudumu wa Vatican katika Ofisi za Umoja wa Mataifa huko New York Marekani

Zipo jitihada za kulinda raia wa Palestina na mazungumzo kati ya Israeli !

18/06/2018 09:02

Askofu  Mkuu Bernadito Auza Mwakilishi wa kudumu wa Vatican katika Baraza Umoja wa Mataifa New York, anapongeza wajumbe wa mataifa katika jitihada za kulinda raia wa wapalestina dhidi ya vurugu mpya zilizowazunguka na kuhamasisha mazungumzo kati ya nchi ya Israeli na Palestina

 

Papa Francisko aombea kwa mara nyingine tena nchi Takatifu na mashariki ili iwe na amani ya kudumu!

Papa Francisko aombea kwa mara nyingine tena nchi Takatifu na mashariki ili iwe na amani ya kudumu!

Papa kwa mara nyingine aomba amani katika nchi Takatifu na Mashariki !

16/05/2018 15:29

Mara baada ya Katekesi ya Baba Mtakatifu Francisko,mawazo yake yamerudi katika nchi Takatifu na za Mashariki. Kwa namna ya pekee huko Gaza mahali ambapo damu inaendelea kumwagika baada ya maandamano ya wapalestina  kufuatia pia uzinduzi wa Ubalozi wa Marekani mjini Yerusalemu

 

Hivi karibuni viongozi wa kidini walifanya mkutano wa kimataifa kupinga uamuzi wa Marekani kuhamishia Ubalozi wake mjini Yerusalemu.

Hivi karibuni, viongozi wa kidini wakifanya mkutano wa kimataifa kupinga uamuzi wa Serikali ya Marekani kuhamishia Ubalozi wake mjini Yerusalemu.

Papa Francisko: Tambueni: Utakatifu, Asili na Ukuu wa Yerusalemu!

26/01/2018 08:13

Baba Mtakatifu Francisko anasema, kuna haja kwa viongozi wa kimataifa na vyama vya kiraia kuheshimu na kuthamini: Utakatifu, Asili na Tunu msingi za Mji wa Yerusalemu unaothaminiwa na waamini wa dini mbali mbali duniani kama kitovu cha amani, utulivu, upatanisho na majadiliano ya kidini!