Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Maisha ya Taamuli

Kuutafuta Uso wa Mungu ni Waraka wa Papa Francisko kwa Wamonaki ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo, daima wakiwa waaminifu kwa Kristo Yesu!

Kuutafuta Uso wa Mungu ni Waraka wa Papa Francisko kwa Wamonaki, ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo.

Changamoto ya maisha ya kitawa katika kuutafuta Uso wa Mungu!

01/02/2018 06:58

Baba Mtakatifu Francisko katika Katiba ya Kitume "Vultum Dei Quaerere", yaani "Kuutafuta Uso wa Mungu anabainisha mambo msingi yanayopaswa kuzingatiwa na wamonaki katika maisha na utume wao, ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo, tayari kutoa ushuhuda wenye mvuto na mashiko!

Maisha ya kitawa ni nguzo muhimu inayochangia katika ustawi, maendeleo, utume, maisha na utakatifu wa Kanisa.

Maisha ya kitawa ni nguzo muhimu inayochangia: ustawi, maendeleo, maisha, utume na utakatifu wa Kanisa.

Watawa huchangia ustawi, maendeleo na utakatifu wa Kanisa!

28/10/2016 15:14

Maisha ya kitawa ni nguzo muhimu sana inayochangia ustawi na maendeleo ya Fumbo la Mwili wa Kristo, yaani Kanisa; dhamana inayopaswa kutekelezwa kwa ari, moyo mkuu na furaha katika maisha, utume na utakatifu wake. Hii ni changamoto ya kudumisha mahusiano shirikishi ndani ya Kanisa!

Wamonaki katika hija ya kuutafuta Uso wa Mungu!

Wamonaki katika hija ya kuutafuta Uso wa Mungu

Wamonaki na safari ya "kuutafuta uso wa Mungu"

23/07/2016 16:36

Baba Mtakatifu Francisko katika Katiba mpya ya maisha ya Kimonaki, "Kuutafuta Uso wa Mungu" "Vultum Dei Quaerere" anakazia mambo makuu 12 yanayopaswa kufanyia tafakari na mang'amuzi tayari kwa kuutekelezaji pamoja na nyonngeza ya kanuni na sheria 14 za maisha ya Kimonaki!