Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Maisha ya Sala

Kuutafuta Uso wa Mungu ni Waraka wa Papa Francisko kwa Wamonaki ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo, daima wakiwa waaminifu kwa Kristo Yesu!

Kuutafuta Uso wa Mungu ni Waraka wa Papa Francisko kwa Wamonaki, ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo.

Changamoto ya maisha ya kitawa katika kuutafuta Uso wa Mungu!

01/02/2018 06:58

Baba Mtakatifu Francisko katika Katiba ya Kitume "Vultum Dei Quaerere", yaani "Kuutafuta Uso wa Mungu anabainisha mambo msingi yanayopaswa kuzingatiwa na wamonaki katika maisha na utume wao, ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo, tayari kutoa ushuhuda wenye mvuto na mashiko!

Papa Francisko anawataka watawa kudumisha maisha ya sala binafsi za kijumuiya kwa ajili ya mahitaji ya watu wa Mungu!

Papa Francisko anawataka watawa kukazia zaidi maisha ya sala binafsi na za kijumuiya na pale inapowezekana kumwilisha sala hizi katika huduma ya upendo kwa ajili ya mahitaji ya watu wa Mungu!

Papa Francisko: Sala ya kimissionari inawaunganisha watu wa Mungu

22/01/2018 14:41

Baba Mtakatifu Francisko anasema, watawa katika maisha na utume wao wanapaswa kuzingatia umuhimu wa sala binafasi na sala za kijumuiya, tayari kujisadaka kutangaza na kushuhudia upendo wa Mungu katika maisha ya watu, nguvu ya mashuhuda wa imani na mhimili wa miito yote ndani ya Kanisa.

Jumapili ya III ya Kipindi cha Majilio kwa mwaka 2017 imepamba kwa Papa Francisko kutimiza miaka 81 ya kuzaliwa!

Jumapili ya III ya Kipindi cha Majilio kwa Mwaka 2017 imepambwa kwa Papa Francisko kuadhimisha Kumbu kumbu ya miaka 81 tangu alipozaliwa!

Jumapili ya III ya Kipindi cha Majilio: Furaha, Sala na Shukrani!

18/12/2017 14:51

Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili ya III ya Kipindi cha Majilio kwa Mwaka B wa Kanisa inatoa changamoto ya kufurahi daima katika Bwana, licha ya magumu na changamoto za maisha; kuwa watu wanaodumu katika sala na daima wakionesha moyo wa shukrani kwa kila jambo! Noeli inakaribia!

 

Papa Francisko anawataka watawa kuzingatia: sala, kiasi na umoja katika upendo.

Papa Francisko anawataka watawa kuzingatia maisha ya sala endelevu, kiasi na umoja katika upendo.

Papa Francisko: Watawa zingatieni: Sala, kiasi na umoja katika upendo

23/09/2017 15:48

Baba Mtakatifu Francisko anawataka watawa katika maisha na utume wao kuhakikisha kwamba, wanazingatia maisha ya sala endelevu; wanakuwa na kiasi kama kielelezo cha ushuhuda wenye mvuto na mashiko na wanadumisha umoja katika mapendo kwa kuzingatia maisha ya kijumuiya na amana ya kiroho.

Wito na maisha ya kipadre yamehifadhiwa katika chombo cha udongo!

Wito na maisha ya kipadre yamehifadhiwa kwenye chombo cha udongo!

Alessandro Manzi, C.PP.S apewa Daraja Takatifu ya Upadre!

24/07/2017 10:53

Mapadre katika maisha na utume wao, wanaendelea kuulizwa swali la msingi na Kristo Yesu ikiwa kama wanampenda Kristo katika Sala, Neno la Mungu, Sakramenti za Kanisa na Mafundisho Tanzu sanjari na sadaka ya maisha inayotolewa kwa ajili ya wokovu wa watu wa Mungu!

 

Mapadri wachote nguvu ya maisha na utume wao kutoka kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu

Mapadri wachote nguvu ya maisha na utume wao kutoka kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu.

Kard. Stella, mapadri wajenge urafiki na Kristo

23/06/2017 13:40

Kanisa linapoadhimisha Sikukuu ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, siku ya kuombea utakatifu wa Mapadri, Kardinali Beniamino Stella, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya Wakleri anawaasa wakleri kujenga urafiki wa karibu na Kristo, kuishi udugu wa kipadri na kujitathimini utume wao.

Hija ya Papa Francisko Jimbo kuu la Genova limekuwa ni tukio la imani kwani waamini wamejiandaa kwa sala, sadaka na matendo ya huruma kwa jirani zao.

Hija ya Papa Francisko Jimbo kuu la Genova, limekuwa ni tukio la imani kwani waamini wamejiandaa kikamilifu kwa sala na matendo ya huruma, kielelezo cha imani tendaji.

Hija ya Papa Francisko Jimboni Genova ni tukio la kiimani!

28/05/2017 13:08

Familia ya Mungu Jimbo kuu la Genova inamshukuru na kumpongeza Baba Mtakatifu Francisko kwa kuitembelea ili kuiimarisha katika imani, matumaini na mapendo na kwamba, hili limekuwa ni tukio la imani ambalo limeandaliwa kwa sala, sadaka na matendo ya huruma, kielelezo cha imani tendaji!

 

Papa Francisko anawataka vijana kujikita katika: sala, majiundo, sadaka na utume!

Papa Francisko anawataka vijana kujikita katika: sala, majiundo, sadaka na utume wa Kanisa mahalia.

Papa: Vijana zingatieni: sala, majiundo makini, sadaka na utume!

27/04/2017 16:00

Baba Mtakatifu Francisko analitaka Jukwaa la Vijana Wakatoliki Kimataifa kuhakikisha kwamba, linakuwa ni mahali pa kutangaza na kushuhudia furaha ya Injili inayofumbatwa katika sala, majiundo makini ya awali na endelevu; sadaka katika maisha pasi na kujibakiza pamoja na kushiriki utume wa Kanisa!