Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Maisha ya kijumuiya

Papa Francisko analitaka Shirika la Madonda Matakatifu kudumisha maisha ya kijumuiya, Ibada kwa Madonda Matakatifu na Injili ya huduma kwa maskini.

Papa Francisko analitaka Shirika la Madonda Matakatifu kudumisha maisha ya kijumuiya, ibada kwa Madonda Matakatifu ya Kristo Yesu na Injili ya upendo kwa maskini na wale wote wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii.

Shirika la Madonda Matakatifu kuzeni: Udugu, ibada na huduma!

12/02/2018 09:17

Baba Mtakatifu Francisko anawataka Wanashirika la Madonda Matakatifu kuhakikisha kwamba, linakuza na kudumisha: udugu katika maisha ya kijumuiya, sala, uhuru na ukweli; kwa kukuza na kuendeleza Ibada kwa Madonda Matakatifu ya Kristo Yesu, Ibada inayomwilishwa katika Injili ya upendo!

Kuutafuta Uso wa Mungu ni Waraka wa Papa Francisko kwa Wamonaki ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo, daima wakiwa waaminifu kwa Kristo Yesu!

Kuutafuta Uso wa Mungu ni Waraka wa Papa Francisko kwa Wamonaki, ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo.

Changamoto ya maisha ya kitawa katika kuutafuta Uso wa Mungu!

01/02/2018 06:58

Baba Mtakatifu Francisko katika Katiba ya Kitume "Vultum Dei Quaerere", yaani "Kuutafuta Uso wa Mungu anabainisha mambo msingi yanayopaswa kuzingatiwa na wamonaki katika maisha na utume wao, ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo, tayari kutoa ushuhuda wenye mvuto na mashiko!

Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo Katoliki Mbeya anawahamasisha vijana kuchangamkia maisha na wito wa kipadre na kitawa!

Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo Katoliki Mbeya anawahamasisha vijana kuchangamkia wito wa kipadre na maisha ya kitawa kwani yanalipa haswaaa!

Vijana changamkieni wito wa kipadre na maisha ya kitawa! Inalipa!

08/02/2017 15:18

Askofu Evaristi Marcus Chengula wa Jimbo Katoliki Mbeya hivi karibuni ameadhimisha kumbu kumbu ya miaka 20 tangu alipowekwa wakfu kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Mbeya. Ametumia fursa hii kuwaalika vijana kuchangamkia maisha ya kipadre na kitawa ili waweze kujisadaka kwa ajili ya Mungu na jirani!

Kanisa linawashukuru wanawake watakatifu na wenye busara wanaoshiriki katika malezi, majiundo, maisha na utume wa Mapadre.

Kanisa linawashukuru wanawake watakatifu na wachamungu wanaoshiriki kikamilifu katika majiundo, malezi, maisha na utume wa Mapadre!

Mihimili ya majiundo na malezi ya Kipadre!

12/12/2016 10:24

Baba Mtakatifu Francisko anasema, wanawake wema na watakati wanaweza kusaidia malezi na majiundo ya kipadre yanayojikita katika maisha ya sala na jumuiya; majiundo ya kiakili na shughuli za kichungaji, tayari kujisadaka kwa ajili ya huduma makini na wokovu kwa watu wa Mungu sehemu mbali mbali!

Caritas Hispania yahimiza mshikamano kutetea haki jamii

Caritas Hispania yazidi kupania maisha ya pamoja na mshikamano katika harakati za kutetea haki jamii.

Caritas Hispania na utandawazi wa mshikamano

05/12/2016 14:11

Caritas nchini Hispania imeanzisha utandawazi wa mshikamano, maisha ya pamoja, kutetea haki msingi za binadamu, kujali utu na kusaidia walio wahitaji, mada zinazotiliwa mkazo katika maadhimisho ya mafumbo ya Umwilisho katika Sikukuu za Noeli na Ekaristi Takatifu.

Watawa wa Mtakatifu Augostino Recolletti wamejizatiti kwa ari na ushuhujaa wa kimissionari kufanya mageuzi ya maisha!

Watawa wa Mtakatifu Augostino Recolletti wamejizatiti kwa ari na ushujaa wa kimissionari kufanya mageuzi katika maisha na utume wao.

Ujasiri wa kimissionari, toba na wongofu wa ndani muhimu katika utume!

21/10/2016 08:27

Mchakato wa mageuzi katika maisha ya kiroho na kitume unapaswa kujikita katika toba na wongofu wa ndani unaofumbatwa katika maisha ya watawa; muhimu sana kama chachu ya utekelezaji sera na mikakati ya shughuli za kichungaji na maendeleo ya watu: kiroho na kimwili!

 

Wamonaki katika hija ya kuutafuta Uso wa Mungu!

Wamonaki katika hija ya kuutafuta Uso wa Mungu

Wamonaki na safari ya "kuutafuta uso wa Mungu"

23/07/2016 16:36

Baba Mtakatifu Francisko katika Katiba mpya ya maisha ya Kimonaki, "Kuutafuta Uso wa Mungu" "Vultum Dei Quaerere" anakazia mambo makuu 12 yanayopaswa kufanyia tafakari na mang'amuzi tayari kwa kuutekelezaji pamoja na nyonngeza ya kanuni na sheria 14 za maisha ya Kimonaki!

Watawa wanapaswa kufanya maboresho katika dhana ya: Uongozi, malezi na maisha ya Kijumuiya.

Watawa wanapaswa kuendelea kupyaisha maisha yao kuhusu: dhana ya uongozi, malezi awali na endelevu pamoja na maisha ya kijumuiya.

Mwaka wa Watawa Duniani: Uongozi, majiundo na maisha ya kijumuiya

31/01/2016 10:16

Kongamano la Kimataifa kama sehemu ya mchakato wa kuhitimisha Maadhimisho ya Mwaka Watawa Duniani linaendelea kuwahamasisha watawa kutambua kwamba, wanatambua uongozi kama huduma; wanajikita katika malezi awali na endelevu pamoja na kudumisha maisha ya kijumuiya.