Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Magaidi

Viongozi wa dini tofauti nchini Indonesia wameungana kutetea umoja wao wakati wa mfungo wa ramadhani

Viongozi wa dini tofauti nchini Indonesia wameungana kutetea umoja wao wakati wa mfungo wa ramadhani

Utetezi wa utofauti, Indonesia ndiyo wito uliotolewa na viongozi wa dini !

08/06/2018 11:36

Kutetea utofauti nchini Indonesia ndiyo wito ulio tolewa na viongozi wa madhehebu mbalimbali na utamaduni walio unganika hivi karibuni  wakati wa fursa ya mwezi wa Ramadhani katika Kanisa Kuu katoliki la Jakarta,siku ya maadhimisho ya Pancasila ambayo ni kadi ya misingi mitano na kiini cha Katiba 

 

Kardinali mteule Joseph Coutts  nchini Pakistan anasema mazungumzo ya kidini ni shughuli ambazo wanapaswa kuhusika watu wote

Kardinali mteule Joseph Coutts nchini Pakistan anasema mazungumzo ya kidini ni shughuli ambazo wanapaswa kuhusika watu wote hasa ulazima wa kuhisi upamoja katika nchi ambayo idadi kubwa ni waislam

Kard.Mteule Coutts:Mazungumzo ya maisha na huduma ya binadamu mteswa!

07/06/2018 14:30

Mazungumzo ya kidini ni shughuli ambazo wanapaswa kuhusika wote,hasa ulazima wa kufanya sehemu ya ushirikishwaji katika maisha na kama ilivyo sehemu kubwa ya watu wa nchi ya Pakistana ni waislam. Ndiyo matashi mema ya Kardinali mteule Joseph Coutts kwa nchi ya utajiri wa dini nyingi

 

Maombolezo kwa kifo cha Imam katika msikiti wa Durban Afrika ya Kusini aliyeuwawa na wengine wawili kujeruhiwa

Maombolezo kwa kifo cha Imam katika msikiti wa Durban Afrika ya Kusini aliyeuwawa na wengine wawili kujeruhiwa

Kanisa Katoliki A.Kusini washutumu tendo la kuchoma Msikiti wa Durban !

12/05/2018 15:20

Tumepokea kwa mshutuko pia masikitiko makubwa ya mashambulizi ya msikiti wa Imam Hussein huko Verulam, Durban na kuwawa kwa imaman wa msikiti huo na wengine wawili kujeruhiwa. ni ujumbe uliotiwa saini na Askofu Stephen Brislin, Askofu Mkuu wa Cape Town na Rais wa (SACBC

 

Papa Francisko anawataka waamini pamoja na watu wenye mapenzi mema kuungana ili kutokomeza biashara ya binadamu na utumwa mamboleo.

Papa Francisko anawataka waamini pamoja na watu wenye mapenzi mema kuunganisha nguvu ili kutokomeza biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo unaonyanyasa na kudhalilisha utu na heshima ya binadamu!

Siku ya Kupambana na biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo

07/02/2018 16:12

Baba Mtakatifu Francisko anasema, tarehe 8 Februari, Kumbu kumbu ya Mtakatifu Josefina Bhakita, Mama Kanisa anaadhimisha pia Siku ya Kupambana na Biashara Haramu ya Binadamu na Utumwa mamboleo unaoendelea kunyanyasa na kudhalilisha utu na heshima ya binadamu hasa kwa nyakti hizi!

Padre Jacques Hamel aliye uwawa na magaidi wa kijihadi Julai 2016 akiwa anaadhimisha misa asubuhi

Padre Jacques Hamel aliye uwawa na magaidi wa kijihadi Julai 2016 akiwa anaadhimisha misa asubuhi

Kardinali Parolin amekabidhi Tuzo Padre Jacques Hamel huko Lourdes!

29/01/2018 15:48

26 Januari 2018,Kardinali Parolin aliongoza Misa Takatifu wakati wa kuhitimisha Siku ya 22 ya Mtakatifu Francisko di Sales,Msimamizi wa waandishi wa Habari,iliyoongozwa na mada ya Vyombo vya Habari na Ukweli;Na amekabidhi Tuzo Padre Jacques Hamel aliye uwawa 2016 huko Rouen.

 

Zawadi aliyotoa Baba Mtakatifu kwa Baraza Kuu Sanga la Wamonaki wa Kibudha huko Yangon

Zawadi aliyotoa Baba Mtakatifu kwa Baraza Kuu Sanga la Wamonaki wa Kibudha huko Yangon

Mkuu wa Baraza Kuu la Wabudha ametoa wito wa Mshikamano na ujenzi wa madaraja

29/11/2017 16:37

Mwenyekiti wa Baraza la Sangha la Wamonaki wa Kibudha, Bhaddanta Kumarabhivansa anasema,watu wote duniani ni lazima kushirikiana na kujikita kwa pamoja bila woga ili kutimiliza mshikamano wa maisha kijamii kwa usalama na ulinzi.Kwa njia hiyo, inawezekana kupinga aina za uchochezi kidini

 

Papa ameomba waumini wote kumwombea katika ziara yake ya kitume nchini Myanmar na Bangladesh inayoanza 26 Nov-2 Desemba 2017

Papa ameomba waumini wote kumwombea katika ziara yake ya kitume nchini Myanmar na Bangladesh inayoanza 26 Nov-2 Desemba 2017

Papa ameombwa kusindikizwa kwa sala katika ziara ya kitume barani Asia

26/11/2017 14:26

Mara baada ya mahubiri yake,Baba Mtakatifu amesema juu ya kupokea habari za kusikitisha kufuatia mashambulizi ya kigaidi huko kaskazini ya Sinai nchini Misri.Pia Baba Mt.amaewaomba waumini na mahujaji wote kumwombe sala kwa ajili ya ziara yake ya kitume nchini Myanmar na Bangladesh

 

Baba Mtakatifu Francisko amekutana na Prof.Ahmad Muhammad Al-Tayyib mjini Vatican tarehe 7 Novemba 2017

Baba Mtakatifu Francisko amekutana na Prof.Ahmad Muhammad Al-Tayyib mjini Vatican tarehe 7 Novemba 2017

Baba Mtakatifu Francisko amekutana na Prof.Ahmad Muhammad Al-Tayyib

08/11/2017 09:02

Tarehe 7 Novemba 2017 Baba Mtakatifu Francisko amekutana katika ofisi binafsi ya Ukumbi wa Mwenye heri Paulo VI Imam  Mkuu wa Al- Azhar, Profesa Ahmad Muhammad Al-Tayyib na wajumbe wake.Hii ni kwa mara ya tatu Baba Mtakatifu Francisko kukutana na Kiongozi huyo wa Kiislam