Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mafuriko

Papa Francisko asikitishwa na maafa makubwa yaliyotokea nchini Japan kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo.

Papa Francisko asikitishwa na maafa makubwa yaliyosababishwa na mvua kubwa pamoja na maporomoko ya udongo.

Papa Francisko asikitishwa na maafa makubwa ya watu na mali zao, Japan

10/07/2018 10:05

Baba Mtakatifu Francisko amesikitishwa sana kutokana na maafa makubwa yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Japana na hivyo kusababisha marufiko na maporomoko ya udongo kwenye makazi ya watu! Tayari watu kadhaa wamekwishafariki dunia na wengine kulazimika kuyahama makazi yao!

Kama isemavyo kitabu cha Mwanzo hapakuwa na mimea juu ya nchi wala miti haikuwa imechipua kwani Mwenyezi  Mungu hakuwa ameinyeshea nchi mvua

Kama isemavyo kitabu cha Mwanzo hapakuwa na mimea juu ya nchi wala miti haikuwa imechipua kwani Mwenyezi Mungu hakuwa ameinyeshea nchi mvua na wala hapakuwapo mtu wa kuilima.

Ujumbe wa Papa na Patriaki kwa Siku ya Kuombea Utunzaji wa Mazingira 2017

01/09/2017 12:13

Baba Mtakatifu Francisko na Patriaki wa Kiekumeni Bartholomew I wameandika kwa mara ya kwanza ujumbe katika tukio la kuadhimisha mwaka wa tatu wa Siku ya Kuombea Utunzaji wa Mazingira unaofanyika kila ifikapo tarehe1 Septemba.. Baba hawa wanawaomba wenye mapenzi wema kuwajibika

 

Baba Matakatifu anawaombea waathirika wa janga la Harvey nchini Marekani na kuwatia moyo katika hali hiyo ngumu ya nguvu za asili.

Baba Matakatifu anawaombea waathirika wa janga la Harvey nchini Marekani na kuwatia moyo katika hali hiyo ngumu ya nguvu za asili.

Papa Francisko awaombea walio pata maafa ya nguvu ya asili Marekani

31/08/2017 17:39

Baba Mtakatifu Francisko ametuma  barua ya kuwapa pole waliopatwa na Majanga ya nguvu ya asili huko Texas na Lousiana Marekani. Anawakikishia maombi yake kwa Mungu waathirika na familia zao pia kwa wote ambao wamejikita kwa sasa katika shughuli za uokoaji wa maisha ya watu.

 

Uharibifu mkubwa unaoendelea  katika Ghuba ya Texas hasa huko Houston umesasababishwa na kimbunga cha Harvey ambayo ni dhoruba ya kitropiki

Uharibifu mkubwa unaoendelea katika Ghuba ya Texas hasa huko Houston umesasababishwa na kimbunga cha Harvey ambayo ni dhoruba ya kitropiki

Patriaki Bartholomew asema ni kipindi cha kutafakari nguvu ya kutisha ya asili

30/08/2017 14:45

Patriaki:Ni wakati wa kutafakari juu ya nguvu ya kutisha ya asili,ni wajibu wetu wa kibinadamu kuwa watendaji bora wenye busara ya mazingira. Sisi sote tumeitwa kushiriki katika ukombozi na usimamizi wa dunia yetu,kufanya kazi ili kuzuia nguvu ya uharibifu utokanao na vimbunga na mafuriko

 

Taarifa zinasema kuwa katika Hospitali ya Connaught mjini Freetow hakuna hata nafasi ya kulaza mihili ya marehemu

Taarifa zinasema kuwa katika Hospitali ya Connaught mjini Freetow hakuna hata nafasi ya kulaza mihili ya marehemu

Ni zaidi ya watu 400 elfu waathirika wa mafuriko huko Sierra Leone

23/08/2017 16:17

Caritas ya Sierra leone imejikita kwa haraka katika maeneo yaliyokumbwa na janga la mafuriko ili kusaidia familia wasio kuwa na makazi.Pamoja hiyo pia mashirika mengine yasiyo ya kiserikali yakisaidiana na serikali ya nchi wako mstari wa mbele kufanya kila liwezekanalo japokuwa hali ni mbaya

 

Taarifa zinaonesha kwamba, zaidi ya watu 312 wamefariki dunia nchini Sierra Leone kwa kufunikiwa na maporomoko ya udongo na watu 6000 hawana makazi.

Taarifa kutoka Sierra Leone zinaonesha kwamba, zaidi ya watu 312 wamefariki dunia na wengine 6000 hawana makazi baada ya maporomoko ya udongo kuwafukia watu na makazi yao!

Papa Francisko awakumbuka na kuwaombea waathirika wa majanga asilia

15/08/2017 14:24

Baba Mtakatifu Francisko amewakumbuka na kuwaombea waathirika wa vita, ghasia, machafuko na mipasuko ya kisiasa na kijamii, bila kuwasahau waathirika wa majanga asilia sehemu mbali mbali za dunia! Lakini kwa wakati huu huko Sierra Leone ambako zaidi ya watu 312 wamefariki dunia!

Baba Mtakatifu amemteua Askofu msaidizi wa Jimbo la Philadelphia Marekani

Baba Mtakatifu amemteua Askofu msaidizi wa Jimbo la Philadelphia Marekani

Baba Mtakatifu amemteua Askofu msaidizi wa Jimbo la Philadelphia

08/08/2017 16:17

Baba Mtakatifu Francisko wamemteu Askofu msaidizi wa Philadelfia ya Ukraine(USA) Padre  Andriy Rabiy.Askofu mteule  Adriy Rabiy alizaliwa huko Lviv nchini Ukraine tarehe 1 Oktoba 1975. Alihama na wazazi wake na kuishi huko.Alipokea majiundo ya upadre katika Seminari nchini Marekani