Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mafundisho tanzu Kanisa

Papa Francisko anapenda kukazia ushuhuda wa Injili ya familia katika maisha na utume wa Kanisa! Viongozi wawe karibu na waamini wao!

Papa Francisko anapenda kukazia umuhimu wa ushuhuda wa Injili ya familia katika maisha na utume wa Kanisa na kuwataka viongozi wa Kanisa kuwa karibu zaidi na waamini wao ili kuwasaidia katika safari ya maisha ya ndoa na familia.

Dhamana na wajibu wa Maaskofu Jimbo katika kesi za ndoa

08/07/2018 11:15

Baba Mtakatifu Francisko katika maisha na utume wake kama Khalifa wa Mtakatifu Petro amekuwa na jicho la pekee sana katika utume wa ndoa na familia kwa kutambua changamoto, matatizo na fursa zilizopo katika kutangaza na kushuhudia Injili ya familia anakazia pia dhamana na nafasi ya Maaskofu Jimbo.

Wanawake Wakatoliki wanamshukuru na kumpongeza Papa Francisko kwa kuwajali na kuwashirikisha kikamilifu katika maisha na utume wa Kanisa.

Wanawake Wakatoliki wanamshukuru na kumpongeza Baba Mtakatifu Francisko kwa kuwathamini na kuwashirikisha kikamilifu katika maisha na utume wa Kanisa.

Wanawake Wakatoliki wampongeza Papa Francisko kwa kuwajali!

30/05/2018 10:41

Shirikisho la Vyama vya Wanawake Wakatoliki Duniani linamshukuru na kumpongeza Baba Mtakatifu Francisko kwa kuwathamini na kuwajali wanawake kiasi kwamba, kwa sasa wanapaswa kujisikia kuwa kweli ni sehemu muhimu sana ya maisha na utume wa Kanisa! Wanawake wasibaki nyuma tena!

Kard Tauran ametoa ujumbe wakati wa ufunguzi wa mkutano kwa mazungumzo kati ya dini za Kidharma na wakristo mjini Roma 15 Mei 2018

Kard Tauran ametoa ujumbe wakati wa ufunguzi wa mkutano kwa mazungumzo kati ya dini za Kidharma na wakristo mjini Roma 15 Mei 2018

Ujumbe wa Kard. Tauran kwa wawakilishi wa mkutano wa dini za kidharma!

16/05/2018 16:16

Baraza la Kipapa la Mazungumzo ya kidini kwa ushirikiano na ofisi ya kitaifa ya Uekumene na mazungumzo ya kidini ya Maaskofu wa Italia,wameandaa Mkutano wanye mada kuu ya DHARMA na LOGOs.Mazungumzo na ushirikiano katika nyakati ngumu.Kard Tauran ametoa hotuba yake 15 Mei 2018

 

Papa amekutazana na wawakilishi wa Baraza la Kipapa la Mafundisho tanzu ya Kanisa

Papa amekutazana na wawakilishi wa Baraza la Kipapa la Mafundisho tanzu ya Kanisa

Baraza la Kipapa la Mafundisho Tanzu ya Kanisa kufanya mkutano wa mwaka!

27/01/2018 11:04

Baba Mtakatifu Francisko amekutana na kuzungumza na washiriki wa Mkutano wa mwaka wa Baraza la Kipapa la Mafundisho Tanzu ya Kanisa. Anawashukuru wote kwa niaba ya Mwenyekiti wake Askofu mkuu Luis Francisco Ladaria Ferrer,S.J katika maneno ya utangulizi wa mkutano wao

 

Waamini walioimarishwa kwa Sakramenti ya Kipaimara ni askari wa Kristo.

Waamini walioimarishwa kwa Sakramenti ya Kipaimara ni Askari imara wa Kristo Yesu.

Askofu Kilain:Kijana aliyepokea kipaimara ni askari wa Kristo

18/09/2017 16:19

Askofu Msaidizi Methodius Kilaini wa Jimbo Katoliki la Bukoba nchini Tanzania amesema,kijana anayepata kipaimara tayari ni askari wa Kristo kwa sababu anayo mawazo mazuri, matendo mazuri,fikra nzuri katika kujituma kutekeleza tendo lolote linalotendeka kadili ya miongozo ya Kanisa.