Mitandao ya kijamii:

RSS:

App:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Madaraja ya watu kukutana

Huruma ni chachu ya uwajibikaji makini, upendo na mshikamano kati ya watu, ili kweli dunia iweze kuwa ni mahali pazuri zaidi pa kuishi.

Huruma ni chachu ya uwajibikaji makini, upendo na mshikamano kati ya watu, ili kujenga dunia iweze kuwa ni mahali pazuri zaidi pa kuishi!

Huruma ya Mungu isaidie kuboresha utu na heshima ya binadamu!

26/04/2017 07:37

Huruma ya Mungu ikimwilishwa kikamilifu katika sera na mikakati ya kiuchumi na kijamii inaweza kusaidia kuondokana na matabaka; kuwa na matumizi sahihi ya rasilimali za dunia sanjari na kujikita katika mchakato wa ujenzi wa misingi ya haki, amani, upendo, udugu na mshikamano wa kweli kati ya watu!

Mapadre onesheni na kushuhudia utakatifu wa maisha kwa njia ya huduma makini kwa watu!

Mapadre onesheni na kushuhudia utakatifu wa maisha kwa njia ya huduma makini, maisha ya sala, na maadhimisho ya mambo matakatifu.

Kardinali Stella, toeni harufu nzuri ya utakatifu wa maisha kila siku!

21/04/2017 13:16

Mama Kanisa anapenda kuwahamasisha waamini wote, lakini zaidi wakleri kuhakikisha kwamba, kila siku ya maisha yao inapaswa kwa ushuhuda wa utakatifu wa maisha unaojikita katika sala, tafakari ya kina ya Neno la Mungu, huduma na uwajibikaji makini pamoja na maadhimisho ya Sakramenti!

 

Papa Francisko kwa Jumuiya ya Ulaya amekazia zaidi utu, heshima, ustawi, mafao ya wengi, tunu msingi za maisha ya ndoa na familia na mshikamano!

Papa Francisko kwa Jumuya ya Ulaya amekazia zaidi utu, heshima, ustawi, maendeleo ya wengi; haki, amani, umoja na mshikamano miongoni ndani na nje ya Umoja wa Ulaya.

Jumuiya ya Ulaya miaka 60: Kipaumbele: utu na heshima ya binadamu!

24/03/2017 13:30

Baba Mtakatifu Francisko katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake kama Khalifa wa Mtakatifu Petro, alipopata nafasi ya kuzungumza na viongozi wa Jumuiya ya Ulaya amekazia: amani, mazingira, haki msingi za binadamu; wakimbizi na wahamiaji; kazi na vijana; uhai, familia na utambulisho wao!

Kanisa litaendelea kusimama kidete kulinda, kutetea na kudumisha haki msingi za wakimbizi na wahamiaji sehemu mbali mbali za dunia.

Kanisa litaendelea kusimama kidete kulinda, kutetea na kudumisha haki msingi za binadamu sehemu mbali mbali za dunia.

Kanisa kuendelea kusimama kidete kulinda na kutetea utu wa wakimbizi

08/03/2017 14:27

Wakimbizi na wahamiaji wanayo haki ya kuheshimiwa, kuthaminiwa kama binadamu walioumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Kanisa litaendelea kujizatiti kwa kusimama kidete: kulinda, kutetea na kudumisha utu, heshima, ustawi, maendeleo na mafao ya wakimbizi na wahamiaji duniani!

 

Papa Francisko anasema, Chuo kikuu ni mahali pa kukuza na kudumisha utamaduni wa watu kukutana, ukarimu, majadiliano na ujenzi wa dhamiri nyofu!

Papa Francisko anasema, Chuo kikuu ni mahali pa ujenzi wa utamaduni wa watu kukutana, kujadiliana na kwamba, ni mahali pa ujenzi wa dhamiri nyofu ili kupambana na changamoto mamboleo.

Papa Francisko: Dhamana na wajibu wa Chuo kikuu!

17/02/2017 14:15

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Chuo kikuu kinaweza kuwa ni mahali muafaka pa ujenzi wa utamaduni wa watu kukutana na kuoneshana ukarimu na watu wenye tamaduni na imani tofauti; ni mahali pa majiundo ya ekima na akili; mahali pa kuwafunda wanafakazi wa upendo wa akili, dhamana endelevu!

Wanamichezo ni alama ya matumaini, kwani maisha ni matakatifu na kila mtu ni zawadi kwa jirani yake.

Wanamichezo ni alama ya matumaini kwani maisha ni matakatifu na kila mtu ni zawadi kwa jirani yake.

Papa: Michezo ni furaha: Maisha ni matakatifu na kila mtu ni zawadi!

16/02/2017 10:32

Baba Mtakatifu Francisko anasema, wanamichezo ni alama ya matumaini kwa wale wote wanaoendelea kujisadaka kwa ajili ya mchakato wa ujenzi wa jamii inayowakumbatia na kuwaambata wote pasi na ubaguzi kwani maisha ni matakatifu na kila mtu ni zawadi kwa jirani yake inayopaswa kuthaminiwa na wote!

Watawa wanapaswa kujenga na kudumisha umoja wa imani kama kielelezo cha uwepo endelevu wa Kristo katika maisha yao!

Watawa wanapaswa kujenga na kudumisha umoja wa imani, matumaini na mapendo ya kidugu kama kielelezo cha uwepo endelevu wa Kristo katika maisha yao.

Watawa mnapaswa kuwa ni mashuhuda wa huruma na upendo wa Mungu

30/01/2017 14:49

Watawa wanapaswa kujenga na kudumisha umoja wa imani, matumaini na mapendo ya kidugu kama njia ya ushuhuda wa uwepo endelevu wa Kristo Yesu katika maisha yao! Wawe wasikivu kwa Roho Mtakatifu, tayari kujisadaka kama mashuhuda na vyombo vya huruma, msamaha na upatanisho kati ya watu.

Maaskofu Katoliki nchini Cambodia wanataka vijana kujenga utamaduni wa huruma ya Mungu katika maisha yao.

Maaskofu Katoliki nchini Cambodia wanaalika waamini kujenga utamaduni wa huruma ya Mungu katika maisha yao.

Waamini jengeni utamaduni wa huruma ya Mungu!

28/01/2017 15:02

Baba Mtakatifu Francisko tarehe 26 Januari 2016 amekutana na kuzungumza na Baraza la Maaskofu Katoliki Cambodia na Laos wakati wa hija yao ya kitume mjini Roma. Waamini nchini Cambodia wanahamasishwa na Mama Kanisa kuhakikisha kwamba, wanajenga utamaduni wa huruma ya Mungu kati yao