Mitandao ya kijamii:

RSS:

App:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Machafuko ya kisiasa

RECOWA-CERAO: changamoto kubwa: hali tete ya kisiasa; misimamo mikali ya kidini na majanga asilia.

RECOWA-CERAO: changamoto kubwa: hali tete ya kisiasa, kiuchumi na kijamii; misimamo mikali ya kidini na kiimani pamoja na athari za majanga asilia.

RECOWA-CERAO na changamoto zake Afrika Magharibi!

19/04/2017 11:12

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Magharibi linasema, linapenda kushirikiana kwa dhati na Jumuiya ya Uchumi Afrika Magharibi,ECOWAS ili kukabiliana na changamoto zinazoendelea kujitokeza katika Nchi wanachama wa RECOWA-CERAO hasa: vitendo ya kigaidi na misimamo mikali ya kidini

Familia ya Mungu nchini Madagascar inahamasishwa kumwilisha matunda, neema na baraka za Mwaka wa huruma ya Mungu katika maisha yao ya kila siku.

Familia ya Mungu nchini Madagascar inahamasishwa kumwilisha: matunda, neema na baraka za maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu katika uhalisia wa maisha yao ya kila siku!

Mwilisheni sasa neema na baraka za Mwaka wa Huruma ya Mungu!

29/11/2016 09:04

Maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu limekuwa ni tendo la kihistoria, mwendelezo wa changamoto wa toba, wongofu wa ndani na utakatifu wa maisha iloiyotolewa na Mababa wa Mtaguso mkuu wa Pili wa Vatican, sasa ni wakati wa kumwilisha matunda ya maadhimisho haya!

Mauaji ya kisiasa ni sera na mwelekeo uliopitwa na wakati! Watu wajenge haki, amani, umoja na mshikamano wa kitaifa!

Mauaji ya kisiasa ni sera na mwelekeo uliopitwa na wakati, watu wajenge na kudumisha misingi ya haki, amani, umoja na mshikamano wa kitaifa!

Mauaji ya kisiasa hayana mashiko! Yamepitwa na wakati!

17/03/2016 17:03

Watanzania wanaonywa kwamba mauaji ya kisiasa hayana mashiko wala mvuto kwa ustawi na maendeleo ya watanzania. Watu wanaofanya vurugu na mauaji ya kisiasa wanapaswa kushughuliwa kisheria! Huu ni wakati wa kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani, umoja na mshikamano!

 

Askofu Kussala wa Jimbo Katoliki la Tombura-Yambio, Sudan ya Kusini anasema, wananchi wanataka kuona wanga wa amani!

Askofu Kussala wa Jimbo Katoliki Tombura-Yambio, Sudan ya Kusini anasema, wananchi wanataka kuona mwanga wa amani.

Ujumbe wa mwanga wa matumaini ya amani Sudan ya Kusini!

09/01/2016 09:48

Sudan ya Kusini tangu Desemba 2013 imejikuta ikitumbukia katika machafuko ya vita ya wenyewe kwa wenyewe ambayo inaendelea kusababisha maafa makubwa kwa watu na mali zao; kwa kuzalisha umati mkubwa wa wakimbizi, wahamiaji na watu wasiokuwa na makazi! Watu wanataka haki na amani!

 

Mpasuko wa kisiasa nchini Burundi unatishia vita ya wenyewe kwa wenyewe

Mpasuko wa kisiasa nchini Burundi unatishia kuibuka kwa vita ya wenyewe kwa wenyewe.

Burundi yakataa usuluishi wa Umoja wa Afrika

10/12/2015 16:04

Umoja wa Afrika umesikitishwa sana na hatua ya Serikali ya Burundi kukaa ushirikishwaji wake katika kutafuta suluhu ya mgogoro wa kisiasa nchini humo, ambao kwa sasa unatishia kuibua vita ya wenyewe kwa wenyewe!

 

Dumisheni haki, amani na usalama wakati wa kupiga kura ya maoni.

Congo: Wananchi dumisheni misingi ya haki, amani, usalama na utulivu wakati wa kupiga kura ya maoni hapo tarehe 25 Oktoba 2015

Dumisheni misingi ya haki, amani na usalama wakati wa kupiga kura ya maoni!

13/10/2015 10:07

Machafuko, kinzani na uvunjaji wa sheria ni mambo yasiyokuwa na mvuto wala mashiko kwa ustawi na maendeleo ya demokrasia ya kweli nchini Congo. Wananchi wanapaswa kuhakikisha kwamba, wanajenga amani na utulivu wakati wa kupiga kura ya maoni kama kielelezo cha ukomavu.

 

Machafuko ya kisiasa nchini Burundi

Machafuko ya kisiasa nchini Burundi yameingia juma la pili kupinga Rais Pierre Nkurunziza kuwania madaraka kwa kipindi cha awamu ya tatu, kinyume cha Katiba ya Nchi.

Uchaguzi mkuu Burundi: Hali inaendelea kuwa tete zaidi!

05/05/2015 08:45

Wachunguzi wa masuala ya kisiasa Barani Afrika wanabainisha kwamba, hali ya hewa kisiasa nchini Burundi inaendelea kuwa tete siku hadi siku kutokana na maandamano makubwa yanayofanywa na wananchi kupinga Rais Nkurunziza kubadili Katiba ili kupata nafasi ya kuwania madaraka kwa awamu ya tatu!

 

Sierra Leone, Ebola umedhibitiwa, lakini...!

Sierra Leone, Ebola umedhibitiwa, wasi wasi ni machafuko ya kisiasa kwa sasa.

Janga la Ebola limedhibitiwa, lakini wasi wasi ni machafuko ya kisiasa

17/04/2015 08:26

Baraza la Maaskofu Katoliki Sierra Leone linabainisha kwamba, kwa kiasi kikubwa janga la Ebola ambalo limekuwa ni tishio kubwa kwa ustawi na maendeleo ya wananchi wa Afrika magharibi limedhibitiwa kwa kiasi kikubwa, wasi wasi kwa sasa ni machafuko ya kisiasa nchini humo.