Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mabalozi na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa

Papa Francisko katika hotuba yake kwa mabalozi ameikumbusha Jumuiya ya Kimataifa kuhusu utu, heshima na haki msingi za binadamu!

Papa Francisko katika hotuba yake kwa mabalozi kwa mwaka 2018 ameikumbusha Jumuiya ya KImataifa kuhusu umuhimu wa kusimama kidete kulinda, kutetea na kudumisha utu, heshima na haki msingi za binadamu!

Papa akumbusha kuhusu utu, heshima na haki msingi za binadamu!

09/01/2018 08:31

Baba Mtakatifu Francisko katika hotuba yake kwa mabalozi na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa ameikumbusha Jumuiya ya KImataifa umuhimu wa kusimama kidete kulinda, kutetea na kudumisha utu, heshima na haki msingi za binadamu kwa kujikita katika: haki, amani na utunzaji bora wa mazingira.

Dhamana na wajibu wa wanadiplomasia ni kukuza na kudumisha majadiliano katika ukweli na uwazi kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya wengi.

Dhamana na wajibu wa wanadiplomasia ni kuhakikisha kwamba wanakuza na kudumisha majadiliano katika ukweli na uwazi kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya wengi.

Dhamana ya wanadiplomasia ni kukoleza majadiliano, haki na amani!

09/01/2018 07:08

Dhamana na wajibu mkubwa wa wanadiplomasia ni kuhakikisha kwamba, wanajitahidi kujenga na kudumisha utamaduni wa majadiliano katika ukweli na uwazi ili kukuza na kuendeleza misingi ya haki, amani, upendo na mshikamano wa kimataifa, mwanadamu akipewa kipaumbele cha kwanza!

Papa Francisko katika hotuba yake kwa mabalozi na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa amezungumzia changamoto zinazopaswa kushughulikiwa kwa pamoja!

Papa Francisko katika hotuba yake kwa mabalozi na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa amezungumzia kuhusu changamoto zinazopaswa kufanyiwa kazi na Jumuiya ya Kimataifa kwa ushirika.

Hotuba ya Papa Francisko kwa Mabalozi mjini Vatican kwa Mwaka 2018

08/01/2018 11:40

Baba Mtakatifu Francisko katika hotuba yake kwa mabalozi na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa mjini Vatican amegusia changamoto na fursa mbali mbali ambazo zinaweza kutumiwa na Jumuiya ya Kimataifa katika kukuza na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo, udugu na mshikamano wa dhati!

Askofu Nkwande: Dhambi ya ubinafsi, uchu wa mali na madaraka ni chanzo kikuu cha vita, kinzani, mipasuko na misigano ya kijamii duniani.

Askofu Nkwande: Dhambi ya ubinafsi, uchu wa mali na madaraka ni chanzo kikuu cha vita, kinzani na mipasuko ya kijamii duniani.

Askofu Nkwande: Dhambi ya ubinafsi ni chanzo cha kinzani!

10/01/2017 10:36

Askofu Renatus Leonard Nkwande wa Jimbo Katoliki Bunda, Tanzania anasema, chanzo cha vita, kinzani, migogoro na mipasuko ya kijamii ni dhambi ya ubinafsi, uchu wa mali na madaraka; usiojali haki msingi za binadamu, utu, heshima, ustawi, mafao na maendeleo ya wengi duniani!

Msamaha ni njia muafaka katika kukuza na kudumisha mchakato wa upatanisho duniani!

Msamaha ni njia muafaka katika kukuza na kudumisha mchakato wa upatanisho, haki na amani duniani!

Huruma na msamaha ni sehemu ya mchakato wa ujenzi wa amani!

10/01/2017 10:18

Mabalozi na wawakilishi wa Mashirika mbali mbali ya Kimataifa mjini Vatican wanampongeza Baba Mtakatifu Francisko kwa kuendelea kuwa ni chombo na shuhuda wa mchakato wa haki, amani na maridhiano kati ya watu kwa kukuza na kudumisha utamaduni wa majadiliano ya kidini na kiekumene duniani!

Papa Francisko: amani ya kweli inafumbatwa katika mshikamano, majadiliano, ushirikiano, utu, heshima ya binadamu na maendeleo endelevu!

Papa Francisko: amani ya kweli inafumbatwa katika mshikamano, majadiliano, ushirikiano, utu, heshima, ustawi na maendeleo ya wengi: kiroho na kimwili.

Hotuba ya Papa Francisko kwa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Vatican

09/01/2017 11:50

Baba Mtakatifu Francisko katika hotuba yake kwa Mabalozi na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa mjini Vatican amepembua kwa kina na mapana kuhusu dhana ya amani na usalama unaofumbatwa katika utu, heshima, ustawi, maendeleo na mafao ya wengi, Amani ni zawadi kwa binadamu wote.

Vatican inapenda kukoleza ari na moyo wa ushirikiano kati ya Mabalozi na Wanadiplomasia wanaowakilisha nchi zao mjini Vatican ilikudumisha tunu msingi

Vatican inapenda kukoleza ari na moyo wa ushirikiano kati ya Mabalozi na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa mjini Vatican ili hatimaye, kujenga diplomasia inayojikita katika tunu msingi za maisha ya kijamii.

Mchakato wa ujenzi wa diplomasia ya tunu msingi za kijamii!

30/12/2016 10:05

Askofu mkuu Paul Richard Gallagher anasema, diplomasia ya Vatican inajipambanua kwa kujikita katika huduma ya binadamu: kiroho na kimwili, ili kuweza kuihamasisha familia ya Mungu duniani kutafuta mafao ya wengi, haki, amani, upatanisho na mafungamano ya kijamii yenye mshimo na mvuto!

Baba Mtakatifu Francisko, Jumatatu tarehe 19 Desemba amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi wa Korea mjini Vatican.

Baba Mtakatifu Francisko, Jumatatu tarehe 19 Desemba 2016 amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi wa Korea mjini Vatican.

Hati za Utambulisho za Balozi wa Korea nchini Vatican

19/12/2016 13:41

Baba Mtakatifu Francisko siku ya Jumatatu tarehe 19 Disemba 2016, amepokea hati za utambulisho za Prof. Jonghyu Jeong ambaye ameteuliwa kuwa Balozi wa Korea nchini Vatican. Bwana Jeong alizaliwa Novemba 26 mwaka 1950, ana mke na watoto watatu.