Mitandao ya kijamii:

RSS:

App:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mabadiliko ya tabianchi

RECOWA-CERAO: changamoto kubwa: hali tete ya kisiasa; misimamo mikali ya kidini na majanga asilia.

RECOWA-CERAO: changamoto kubwa: hali tete ya kisiasa, kiuchumi na kijamii; misimamo mikali ya kidini na kiimani pamoja na athari za majanga asilia.

RECOWA-CERAO na changamoto zake Afrika Magharibi!

19/04/2017 11:12

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Magharibi linasema, linapenda kushirikiana kwa dhati na Jumuiya ya Uchumi Afrika Magharibi,ECOWAS ili kukabiliana na changamoto zinazoendelea kujitokeza katika Nchi wanachama wa RECOWA-CERAO hasa: vitendo ya kigaidi na misimamo mikali ya kidini

Mshindi wa zamani wa tuzo ya Nobel,Bwana Kofi Annan amesema kutokana na sera za rais Trump dunia haipaswi kusimama sababu Marekani imeamua kufanya

Mshindi wa zamani wa tuzo ya Nobel,Bwana Kofi Annan amesema kutokana na sera za rais Trump dunia haipaswi kusimama sababu Marekani imeamua kufanya yote haya.

Bwana Kofi Annan kutoa wito wa mapambano dhidi ya Tabianchi

31/03/2017 14:13

Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa Bwana Kofi Annan amegusia kuhusu madhara ya mabadiliko ya tabia nchi na namna gani nchi zinaweza kuboresha mfumo wa chakula ili kulisha mamilioni ya watu duniani wanaokabiliwa na baa la njaa kutokana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.

 

Papa Francisko anasema, silaha za nyuklia zinatishia: ulinzi, usalama, amani na maendeleo endelevu ya binadamu!

Papa Francisko anasema, silaha za nyuklia zinatishia: ulinzi, usalama, amani na maendeleo endelevu ya binadamu.

Papa Francisko: fanyeni maamuzi magumu dhidi ya silaha za nyuklia

28/03/2017 15:51

Baba Mtakatifu Francisko anasema katika kipindi cha karne ya 21 kumekuwepo na matukio ambayo yanaendelea kuhatarisha ulinzi, usalama na amani duniani hasa kutokana na vitendo vya kigaidi, vita, ukosefu wa usalama kwenye mitandao ya mawasiliano ya jamii, mabadiliko ya tabianchi na umaskini.

Papa Francisko, tarehe 24 Machi 2017 amekutana na kuzungumza na Rais wa Fiji.

Papa Francisko tarehe 24 Machi 2017 amekutana na kuzungumza na Rais wa Fiji Bwana Jioji Konousi Konrote.

Rais wa Fiji akutana na kuzungumza na Papa Francisko mjini Vatican

24/03/2017 14:28

Uhusiano mwema kati ya Vatican na Fiji; mchango wa Kanisa Katoliki katika ustawi na maendeleo endelevu ya wananchi wa Fiji pamoja na umuhimu wa kuzingatia utashi wa kimaadili katika kukabiliana na changamoto za athari za mabadiliko ya tabianchi yamejadiliwa na Papa pamoja na Rais wa Fiji.

 

Uchafuzi wa mazingira unaendelea kusababisha athari kubwa kwa maisha ya viumbe hai duniani!

Uchafuzi wa mazingira unaendelea kusababisha uharibifu mkubwa wa mazingira kiasi hata cha kutishia usalama na maisha ya viumbe hai duniani.

Kuna viumbe vinatoweka kabisa! Mbinu mkakati wa kutunza mazingira

03/03/2017 14:30

Mapambano dhidi ya baa la umaskini wa kipato duniani; kilimo bora, cha kisasa na endelevu pamoja na kujikita katika kanuni maadili kama zinavyofafanuliwa na Baba Mtakatifu Francisko katika waraka wake wa Laudato si, Jumuiya ya Kimataifa inaweza kutunza mazingira kwa mafao ya wote.

Mapambano dhidi ya baa la njaa duniani yanakabiliwa na changamoto mbali mbali zinazopaswa kufanyiwa kazi.

Mapambano dhidi ya baa la njaa duniani yanakabiliwa na changamoto mbali mbali zinazopaswa kuvaliwa njuga na Jumuiya ya Kimataifa.

Jumuiya ya Kimataifa inakuna kichwa kuhusu baa la njaa duniani!

23/02/2017 13:49

Kuna sababu mbali mbali ambazo zinaendelea kuchangia katika kugumisha mchakato wa kuondokana na baa la njaa duniani ifikapo mwaka 2030, ikiwa kama hatua madhubuti hazitachukuliwa: Matumizi makubwa ya rasilimali ya dunia na athari za mabadiliko ya tabianchi yanachangia kwa kiasi kikuba.

 

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kujizatiti kikamilifu katika mchakato wa kulinda, kutunza na kudumisha mazingira nyumba ya wote!

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kujizatiti kikamilifu katika kulinda, kutunza na kudumisha mazingira bora zaidi nyumba ya wote!

Tunzeni na kuendeleza mazingira kwa ajili ya mafao ya wengi!

22/02/2017 15:21

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kujizatiti zaidi katika mchakato wa majadiliano katika ukweli na uwazi; utakaosaidia kulinda, kudumisha na kuendeleza mazingira bora nyumba ya wote; kwa kusimamia haki msingi, utu na heshima ya binadamu. Kuwepo na mbinu mkakati wa utunzaji bora wa mazingira.

Simameni kidete kutangaza, kushuhudia na kujenga utamaduni wa amani dhidi ya utamaduni wa kifo duniani!

Simameni kidete kutangaza, kushuhudia na kujenga utamaduni wa amani dhidi ya utamaduni wa kifo unaoendelea kusababisha madhara makubwa kwa watu na mali zao!

Mchakato wa ujenzi wa utamaduni wa amani duniani!

02/02/2017 11:09

Baba Mtakatifu Francisko anasikitika kusema kwamba, Injili na utamaduni wa amani duniani unahatarishwa sana na ubinafsi, uchu wa mali na madaraka; umaskini wa hali na kipato pamoja na athari za mabadiliko ya tabianchi. Kuna kumong'onyoka kwa kanuni maadili na utu wema!