Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Mababa wa Sinodi

Hati ya kitendea kazi ya Sinodi ya XV ya Maaskofu kwa ajili ya Vijana imekubaliwa

Hati ya kitendea kazi ya Sinodi ya XV ya Maaskofu kwa ajili ya Vijana imekubaliwa

Mkutano wa XIV wa Sinodi ya Maaskofu waikubali Hati ya kutendea kazi!

10/05/2018 15:13

Hati ya kutendea kazi,yaani Instrumentum Laboris juu ya Sinodi ya Maakofu kuhusu vijana imekubaliwa.Tarehe 7 na 8 Mei, umefanyika mkutano wa nne  wa Baraza la XIV wa Sinodi ya Maaskofu mjini Vatican,ulio ongozwa na Baba Mtakatifu Francisko na pia kuwakilisha mpango mzima wa Sinodi 

 

 

 

Hati ya Utangulizi wa Sinodi ya Vijana ni muhtasari wa maisha na matamanio halali ya vijana wa kizazi kipya!

Hati ya Utangulizi wa Sinodi ya Vijana ni muhtasari wa maisha na matamanio halali ya vijana ulimwenguni.

Hati ya utangulizi wa Sinodi ya Vijana ni muhtasari wa maisha yao!

26/03/2018 11:35

Wajumbe wa vijana kutoka sehemu mbali mbali za dunia waliokuwa wanashiriki katika maadhimisho ya utangulizi wa Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Vijana kuanzia tarehe 19-25 Machi 2018 wamewasilisha hati yao kwa Papa Francisko kama muhtasari wa maisha na matamanio yao halali kwa Kanisa na Jamii.

Tarehe 13 Februari Misa ya  asubuhi ya Papa ameiadhimisha na Patriaki wa Antiokia, Youssef Absi na Sinodi yake yote

Tarehe 13 Februari Misa ya asubuhi ya Papa ameiadhimisha na Patriaki wa Antiokia, Youssef Absi na Sinodi yake yote

Misa ya Papa Francisko Katika kanisa la Mt Marta na Patriaki wa Antiokia!

13/02/2018 16:19

Asubuhi ya tarehe 13 Februari 2018,kama kawaida ya Baba Mtakatifu Francisko ameadhimisha misa katika Kanisa la Mtakatifu Marta mjini Vatican,lakini hakuhubiri,bali ametoa maelezo kuhusu uwepo wa Patriaki wa Kanisa la Antiokia wa Kigiriki-Melkiti Youssef Absi na Ujumbe wake wote katika misa

 

 

Papa Francisko amekutana na kuzungumza na wajumbe wa Sinodi ya Kigiriki-Melkiti mjini Vatican

Papa Francisko amekutana na kuzungumza na wajumbe wa Sinodi ya Kigiriki-Melkiti mjini Vatican

Hotuba ya Papa Francisko kwa wajumbe wa Sinodi ya Kigiriki-Melkiti!

12/02/2018 15:23

Baba Mtakatifu Francisko ametoa hotuba  kwa wajumbe wa Sinodi ya Wagiriki-Wamelkiti aliokutana nao tarehe 12 Februari 2018 mjini Vatican.Leo hii kama daima anawaakikishia uwepo wake karibu katika sala,ili Bwana Mfufuka awe karibu na kumsindikiza kiongozi mpya katika utume aliokabidhiwa 

 

Papa Francisko anawaomba Mababa wa Sinodi ya Kanisa la Caldea, kuimarisha upatanisho wa kitaifa, iili kukabiliana na changamoto zilizoko mbele yao!

Papa Francisko anawaomba Mababa wa Sinodi ya Kanisa la Caldea kuimarisha upatanisho wa kitaifa ili kukabiliana na changamoto zilizoko mbele yao!

Papa Francisko: Imarisheni upatanisho wa kitaifa ili kujenga Iraq

06/10/2017 06:17

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika Mababa wa Sinodi ya Kanisa la Caldea kujizatiti kikamilifu katika mchakato wa upatanisho wa kitaifa nchini Iraq, ili hatimaye, waweze kukabiliana na changamoto zilizoko mbele yao kama: uhamiaji wa nguvu dhidi ya Wakristo, ujenzi wa vijiji na miito mitakatifu!

Tarehe 4 Septemba 2017, Papa amezungumza na wanachama wa  Shalom 4000 katika ukumbi wa Mwenye heri Paulo VI  na kuwataka watoe ushuhuda na huruma

Tarehe 4 Septemba 2017, Papa amezungumza na wanachama wa Shalom 4000 katika ukumbi wa Mwenye heri Paulo VI na kuwataka watoe ushuhuda na huruma

Papa amezungumza na Chama cha Shalom na kuwataka watoe ushuhuda wa kweli

05/09/2017 15:36

Tarehe 4 Septemba 2017,Papa amezungumza na wanachama wa Shalom 4,000 katika ukumbi wa Mwenye heri Paulo VI na kuwataka watoe ushuhuda na huruma.Amekumbuka janga la madawa ya kulevya na kusema kuwa ni moja ya zana ambayo imetanda mizizi ya hatari katika dunia tunamoishi