Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Maaskofu Marekani

Maaskofu wa Marekani katika harakati ya kusaidia vijana karibia laki nane ili wasirudishwe nchi za asili maana walifika na wazazi  wakiwa ni watoto

Maaskofu wa Marekani katika harakati ya kusaidia vijana karibia laki nane ili wasirudishwe nchi za asili maana walifika na wazazi wakiwa ni watoto

Juhudi ya Maaskofu wa Marekani katika sheria ili kuokoa DACA!

27/04/2018 15:02

Mapendekezo yaliyotolewa na Maaskofu wa Marekani katika Bunge ili kuokoa mpango wa DACA yaani wa kutowarudisha  makwao  watoto wahamiaji, umepata msingi na sauti kubwa kwa mujibu wa maelezo ya Askofu Joe Vásquez, wa Tume ya wahamihaji ya Baraza la Maaskofu nchini Marekani.

Silvina Pérez na Lucetta Scaraffia wamendika kitabu kuhusu Papa Francisko. Papa  wa kimarekani

Silvina Pérez na Lucetta Scaraffia wamendika kitabu kuhusu Papa Francisko. Papa wa kimarekani

Utangulizi wa Kitabu cha Pérez na Scaraffia kuhusu Papa Francisko wa Marekani!

19/03/2018 16:19

Waandishi wawili Silvina Pérez na Lucetta Scaraffia wameandika kitabu cha Papa Francisko,Papa  wa kimarekani.Kitabu juu ya maisha na mawazo yake. Ni kutokana na tukio la miaka mitano ya kwanza tangu kuchaguliwa kwa Papa,pia kuhusu wito wake kwa mujibu maelezo yake mwemyewe1990

Maandamano mbele ya Ikulu Marekani kupinga maamuzi ya kuondolewa kwa Kinga ya Muda (TPS) kwa wa El Salvador wanaoishi Marekani

Maandamano mbele ya Ikulu Marekani kupinga maamuzi ya kuondolewa kwa Kinga ya Muda (TPS) kwa wa El Salvador wanaoishi Marekani

Watu wa El Salvador kuondolewa Kinga ya muda TPS nchini Marekani !

09/01/2018 14:55

Marekani imetangaza kuondoa kinga kwa wahamiaji 200,000 kutoka El Salvador.Ni uthibitisho wa Ikulu,iliyotangaza tarehe 8 Januari 2018.Na Kanisa Katoliki limethibitisha kuwa haliwaacha watu na familia zao,na hivyo wanaomba bunge na wadau wahusika kuingilia kati suala nyeti mapema iwezekavyo

Siku ya maombi ya kitaifa kwa ajili ya amani Marekani ina lengo la kupambana na dhambi kubwa ya ubaguzi wa rangi katika jumuiya za Marekani.

Siku ya maombi ya kitaifa kwa ajili ya amani Marekani ina lengo la kupambana na dhambi kubwa ya ubaguzi wa rangi katika jumuiya za Marekani.

Marekani: Siku ya sala ya amani Kitaifa katika kupambana na ubaguzi

09/09/2017 10:06

Nchini Marekani tarehe 9 Septemba ni Siku ya kuombea amani Kitaifa.Lengo kubwa la kuanzisha maombi hayo ni kutokana na kutaka kupambana na dhambi kubwa ya ubaguzi wa rangi katika jumuiya za Marekani.Siku ya maombi kitaifa ilianzishwa mwaka jana na aliyekuwa Askofu Mkuu Joseph  Kurtz

Baba Matakatifu anawaombea waathirika wa janga la Harvey nchini Marekani na kuwatia moyo katika hali hiyo ngumu ya nguvu za asili.

Baba Matakatifu anawaombea waathirika wa janga la Harvey nchini Marekani na kuwatia moyo katika hali hiyo ngumu ya nguvu za asili.

Papa Francisko awaombea walio pata maafa ya nguvu ya asili Marekani

31/08/2017 17:39

Baba Mtakatifu Francisko ametuma  barua ya kuwapa pole waliopatwa na Majanga ya nguvu ya asili huko Texas na Lousiana Marekani. Anawakikishia maombi yake kwa Mungu waathirika na familia zao pia kwa wote ambao wamejikita kwa sasa katika shughuli za uokoaji wa maisha ya watu.