Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Maaskofu Katoliki Tanzania Ujumbe Kwaresima 2017

Papa Francisko anasema uchafuzi na uharibifu mkubwa wa mazingira ni dalili za kupooza kwa upendo!

Papa Francisko anasema, uchafuzi na uharibifu mkubwa wa mazingira ni dalili za kupoa kwa upendo duniani.

Papa Francisko: Uharibifu wa mazingira ni alama ya kupoa kwa upendo

08/02/2018 07:37

Baba Mtakatifu Francisko katika Ujumbe wake wa Kwaresima kwa Mwaka 2018 anasema, hata mazingira yanashuhudia kupoa kwa upendo kwa kazi ya uumbaji kunakosababishwa na uchafuzi mkubwa wa mazingira, utupaji wa taka ngumu baharini pamoja na athari kubwa za mabadiliko ya tabianchi.

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzani alinahimiza utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote!

Baraza la Maaskofu Katoliki linahimiza utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote katika kipindi hiki chwa Kwaresima kwa mwaka 2017.

Ujumbe wa Kwaresima kutoka kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania

07/03/2017 09:15

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ujumbe wake kwa Kipindi cha Kwaresima kwa Mwaka 2017 linasema, Uumbaji ni tendo la kwanza kabisa katika kujenga mahusiano na binadamu; mbingu na dunia; vinavyoonekana na visivyoonekana, ili kujenga moyo wa kupokea kazi hii kwa shukrani n nidhamu!