Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Maaskofu Katoliki Nigeria

Padre Ciriacus Onukwo aliyekuwa ametekwa nyara ameuwawa nchini Nigeria

Padre Ciriacus Onukwo aliyekuwa ametekwa nyara ameuwawa nchini Nigeria

Nigeria:Padre Ciriacus Onukwo aliyekuwa ametekwa nyara ameuwawa

06/09/2017 16:56

Nchini Nigeria kusini ameuwawa Padre Ciriacus Onukwo na mwili wake umepatika tarehe 2 Septemba katika kijiji cha Omuma.Paolisi wanathibitisha kuwa hakuonesha majeraha yoyote au mikato yoyote bali Padre Onukwo amewawa kwa sababu ya kunyongwa.Wapelelezi wanaendelea na uchunguzi 

 

Bila haki, amani na utulivu hakuna maendeleo ya kweli: kiroho na kimwili!

Bila haki, amani na utulivu hakuna maendeleo ya kweli: kiroho na kimwili linasema Baraza la Maaskofu Katoliki Nigeria.

Bila haki, amani na utulivu hakuna maendeleo ya kweli!

21/06/2016 07:59

Baraza la Maaskofu Katoliki Nigeria linasema, haki, amani, utulivu ni vichocheo vikuu vya ustawi na maendeleo ya wengi, pale ambapo vikolezo hivi vinakosekana, hapo jamii inajikuta ikiogelea katika dimbwi la vita, kinzani na mipasuko ya kijamii kama ilivyo kwa sasa nchini Nigeria. 

Kanisa linaendelea kuwekeza zaidi katika maisha na utume wa familia!

Kanisa linaendelea kuwekeza zaidi katika maisha na utume wa familia!

Familia ni wakala wa haki, amani, upendo na maridhiano katika jamii!

24/05/2016 07:08

Kanisa Barani Afrika bado linakabiliwa na changamoto kubwa ya kuhakikisha kwamba, linawekeza zaidi na zaidi katika maisha na utume wa familia kwa kutambua kwamba, familia ni wakala mahususi wa misingi ya haki, amani, upendo na maridhiano katika jamii! Familia imara inajenga Kanisa hai!

Hata miti itaendelea kuwakumbuka wasichana wa shule ya Chibok waliotekwa nyara huko Nigeria.

Hata miti itaendelea kuwakumbuka wasichana wa shule ya Chibok waliotekwa nyara huko Nigeria, wakati huu Jumuiya ya Kimataifa inapofanya kumbu kumbu ya miaka miwili tangu walipotekwa nyara!

Wasichana waliotekwa nyara Nigeria bado wanakumbukwa!

18/04/2016 12:00

Imekwisha yoyoma miaka miwili tangu wasichana 276 walipotekwa nyara na kikundi cha kigaidi cha Boko Haramu na baadhi yao wakafanikiwa kuwatoroka watesi wao! Familia ya Mungu nchini Nigeria bado inawakumbuka wasichana hawa kwa matumaini ya kuwaona tena kati ya ndugu zao!

 

Familia ya Mungu nchini Nigeria inapaswa kupambana na rushwa pamoja na vitendo vya kigaidi.

Familia ya Mungu nchini Nigeria inapaswa kupambana na rushwa pamoja na vitendo vya kigaidi, ili haki, amani, ustawi na maendeleo ya wengi yawesze kushika mkondo wake!

Simameni kidete kupambana na rushwa na vitendo vya kigaidi!

05/04/2016 08:01

Baraza la Maaskofu Katoliki Nigeria linasema kwamba, umefika wakati kwa wananchi wa Nigeria kujifunga kibwebwe ili kupambana kufa na kupona na rushwa inayoharibu misingi ya haki na amani pamoja na vitendo vya kigaidi vinavyopandikiza mbegu ya chuki, uhasama na kisasi!

Toba na wongofu wa ndani ni chachu ya mabadiliko na maisha mapya!

Toba na wongofu wa ndani ni chachu ya mabadiliko na maisha mapya wanasema Maaskofu Katoliki Nigeria.

Toba na wongofu wa ndani ni chachu ya mabadiliko!

24/02/2016 07:56

Baraza la Maaskofu Katoliki Nigeria linawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema nchini humo kufanya toba ya kweli ili kuambata na kukumbatia huruma ya Mungu katika maisha yao, ili kuleta mabadiliko chanya katika maisha na vipaumbele vya watu!

Umoja wa kitaifa, haki ni amani ni chachu ya maendeleo ya wengi.

Umoja wa kitaifa, haki na amani ni chachu ya maendeleo ya wengi!

Mshikamano na umoja wa kitaifa ni muhimu sana katika kudumisha haki na amani!

30/10/2015 07:49

Baraza la Maaskofu Katoliki Nigeria linasema mchakato wa haki, amani na upatanisho wa kitaifa ni muhimu sana katika kukuza na kudumisha ustawi na maendeleo ya wananchi wa Nigeria katika ujumla wao! Vita, chuki na kinzani ni mama wa majanga na maafa makubwa kwa binadamu. 

Siku ya Vijana Kitaifa Nigeria tarehe 1 -5 Agosti 2015

Baraza la maaskofu Katoliki Nigeria kuanzia tarehe 1 hadi 5 Agosti 2015 linaadhimisha Siku ya Vijana Kitaifa nchini Nigeria.

Maadhimisho ya Siku ya Vijana Kitaifa nchini Nigeria!

21/07/2015 08:03

Maadhimisho ya Siku ya Vijana Kitaifa nchini Nigeria ni fursa ya kutafakari kwa kina na mapana heri za mlimani, muhtasari wa mafundisho makuu ya Yesu. Ni kipindi cha mshikamano na umoja wa kitaifa unaojikita katika imani, ushuhuda na mafao ya wengi.