Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Maaskofu Congo,

Kardinali Pasinya ni mmoja kati ya washauri 9 wa Baba Mtakatifu anasema, ipo haja ya kuwasaidia vijana Afrika

Kardinali Pasinya ni mmoja kati ya washauri 9 wa Baba Mtakatifu anasema, ipo haja ya kuwasaidia vijana Afrika

Kanisa Afrika leo hii linajikita na vijana wapate kujitambua !

18/06/2018 08:46

Kanisa leo hii Afrika ndiyo ilikuwa mada ya Mkutano wa Kardinali Laurent Monsegwo Pasinya, Askofu Mkuu wa Kinshasa  nchini DRC na mmoja kati ya makardinali tisa  washauri wa Baba Mtakatifu Francisko na baadhi ya waandishi wa habari Vatican News katika Ukumbi wa Marconi tarehe 14 Juni 2018.

 

Askofu Mkuu Mkuu Marcel Utembi Tapa wa Kisangani, ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu wa Congo amefungua semina moja huko Kinshasa

Askofu Mkuu Mkuu Marcel Utembi Tapa wa Kisangani, ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu wa Congo amefungua semina moja huko Kinshasa

Semina ya Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Kanda ya maziwa makubwa

06/06/2018 14:41

Hivi karibuni mjini Kinshasa imemalizika semina ya siku mbili ambayo ilikuwa na matunda ya kutafakari na kubadilishana utendeji wa shughuli zao za kitume, iliyoandaliwa na Shirikisho la Mabaraza ya Maakofu wa Kanda ya Afrika ya kati (Aceac) kwa kufunguliwa na  Askofu Mkuu,Marcel Utembe Tapa

 

Baba Mtakatifu Francisko ametoa msaada wa fedha kwa familia 5,000 ambamo wanaishi zaidi ya watu 30,000 nchini Sudan ya Kusini

Baba Mtakatifu Francisko ametoa msaada wa fedha kwa familia 5,000 ambamo wanaishi zaidi ya watu 30,000 nchini Sudan ya Kusini

23 Nov ni Sala ya amani kwa ajili ya Congo na Sudan ya Kusini mjini Vatican

14/11/2017 16:08

Tarehe 23 Novemba 2017 saa 11 na nusu jioni masaa ya Ulaya,katika  Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro,Baba Mtakatifu Francisko ataongoza sala ya Amani kwa ajili ya nchi ya Sudan ya Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Wakati huo huo ametoa msaada pia wa kifedha kusaidia familia 5,000

 

 

 

Mtu mmoja kati ya 10 wanaoishi vijijini wanakabiliwa na njaa ya kupindukia. Hali hii imechangiwa na machafuko yanayoendelea katika majimbo ya Kasai

Mtu mmoja kati ya 10 wanaoishi vijijini wanakabiliwa na njaa ya kupindukia. Hali hii imechangiwa na machafuko yanayoendelea katika majimbo ya Kasai na Tanganyika ambako watu zaidi ya milioni 1.4 wamelazimika kufungasha virago na kuzikimbia nyumba zao.

Watu wa DRC wakumbwa na baa la njaa na watoto kupata chanjo ya Surua

18/08/2017 13:31

FAO na WFP wanasema zaidi ya mtu mmoja kati ya 10 wanaoishi vijijini wanakabiliwa na njaa ya kupindukia.Hali hii imechangiwa na machafuko yanayoendelea katika majimbo ya Kasai na Tanganyika ambako watu zaidi ya milioni 1.4 wamelazimika kufungasha virago na kuzikimbia nyumba zao.