Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Maamuzi-mbele

Wakristo wanapaswa kushika imani, kuiungama, kuishuhudia, kuitangaza na kuwashirikisha wengine!

Wakristo wanapaswa kushika imani, kuitangaza, kuishuhudia na kuwashirikisha wengine, wakiwa tayari hata kubeba Misalaba ya maisha yao, tayari kumfuasa Kristo Yesu.

Yesu Kristo anakataliwa nyumbani kwao Nazareti! Maamuzi mbele!

06/07/2018 07:46

Mkristo hatakiwi kushika imani tu na kuiishi, bali anapaswa kuitangaza, kuishuhudia na kuieneza pamoja na kuwa tayari kumfuasa Kristo Yesu katika Njia ya Msalaba, kati ya madhulumu ambayo hayakosekani kamwe katika Kanisa! Huduma na ushuhuda ni muhimu sana kwa wokovu wa binadamu!

 

Papa Francisko anawataka wazazi na walezi kuwajengea vijana wao moyo wa kuota ndoto na kuwa na shukrani pamoja na kukuza kipaji cha ubunifu.

Papa Francisko anawataka wazazi na walezi kuwapatia vijana wao fursa ya kuota ndoto ili kujenga moyo wa shukrani na kukuza kipaji cha ubinifu.

Papa Francisko: Vijana tambueni na kusherehekea maisha!

05/07/2017 15:54

Baba Mtakatifu Francisko anasema, shule ni mahali pa kuwafunda vijana wa kizazi kipya maana ya maisha ya kujiweka wazi kwa wale wasiowafahamu, ili kuchanganyika na hatimaye kufuatilia mbalikabisa maamuzi mbele ambayo ni chanzo cha kinzani, mipasuko ya kijamii na hatimaye vita!