Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Luxembourg

Tuko karibu na nyinyi katika sala zetu ndugu zetu wengi katika Kristo ambao wamekufa kwa ajili ya kutetea imani yao na wale wanaoendelea kuhuhudia

Tuko karibu na nyinyi katika sala zetu ndugu zetu wengi katika Kristo ambao wamekufa kwa ajili ya kutetea imani yao na wale wanaoendelea kuhuhudia

Luxemburg: Ujumbe wa Pasaka 2017 kutoka Makanisa ya Kikristo

15/04/2017 15:22

Wakristo wote wakae  karibu na wote wanaohitaji msaada bila kutazama utaifa, dini,kwa kusaidia  maskini,wagonjwa,wazee, mama na watoto,wafungwa , wahamiaji na wote ambao jamii imewatanga.Kusulibiwa ni hali halisi kwa sasa maana maisha ya binadamu kwa sasa ni kinyume na kazi ya uumbaji 

 

Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu Kasujja kuwa Balozi wa Luxembourg!

Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu Kasujja kuwa Balozi mpya wa Vatican nchini Luxembourg.

Askofu mkuu Kasujja ateuliwa kuwa Balozi wa Luxembourg

07/12/2016 14:39

Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu Augustine Kasujja kuwa Balozi mpya wa Vatican nchini Luxembourg. Itakumbukwa kwamba, Askofu mkuu Kasujja ni Balozi wa kwanza wa Vatican kutoka Barani Afrika na kwa mara ya kwanza aliteuliwa kunako mwaka 1998.