Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Liturujia ya Ubatizo

30 Mei 2018 Baba Mtakatifu Francisko ameendelea na katekesi juu ya sakramenti ya kipaimara

30 Mei 2018 Baba Mtakatifu Francisko ameendelea na katekesi juu ya sakramenti ya kipaimara

Papa Francisko ameendelea kufafanua maana ya Sakramenti ya Kipaimara

30/05/2018 15:30

Kwa kuendelea juu ya mada kuhusu Sakramenti ya Kipaimara,ninapenda leo hii kuweka mwanga wa kina cha muungano wa sakramenti hii kama mchakato mzima wa mwanzo wa ukristo. Ni utangulizi wa maneno ya katekesi ya Papa  Francisko,tarehe 30 Mei 2018 katika Uwanja wa Mtakatifu Petro 

 

Katika katekesi ya tarehe 16 Mei, Papa Francisko amehitimisha maelezo ya liturujia ya Ubatizo

Katika katekesi ya tarehe 16 Mei, Papa Francisko amehitimisha maelezo ya liturujia ya Ubatizo

Katika Katekesi Papa amehitimisha Liturujia ya Sakramenti ya Ubatizo!

16/05/2018 15:16

Leo hii tunamalizia mzunguko wa Katekesi ya Ubatatizo.Matokeo ya kiroho katika sakramenti hii inayo onekana kwa macho,hufanya  kazi ndani ya moyo wa  kiumbe mpya kutokanana tendo la kupokea nguo nyeupe na mshumaa unao waka. AmesemaPapa wakati wa Katekesi yake 16 Mei 2018, Vatican

 

 

Papa Francisko akifafanua  misingi mikuu ya kuweza kupokea Sakramenti ya Ubatizo amesema,inabidi kuchagua, kati ya kukaa na Mungu vizuri au shetani

Papa Francisko akifafanua misingi mikuu ya kuweza kupokea Sakramenti ya Ubatizo amesema,inabidi kuchagua, kati ya kukaa na Mungu vizuri au kukaa na shetani.

Kumkataa shetani na kusadiki Mungu mmoja ndiyo ufunguo wa Ubatizo!

02/05/2018 15:38

Baba Mtakatifu Francisko katika tafakari ya Katekesi kwa mahujaji  waliofika kiwanja cha Mtakatifu Petro Vatican tarehe 2 Mei 2018, kwa mada ya Ubatizo,ameelezea tendo linalofanyika katika kisima cha ubatizo.Kukataa shetani na kusadiki Mungu ni funguo za kupokea sakramenti ya ubatizo!

 

 

Papa Francisko anawataka wazazi na walezi wa Ubatizo kuwafundisha vyema watoto wao kufanya ishala ya Msalaba, kwani huu ni mhuri wa Kristo Mfufuka.

Papa Francisko anawaka wazazi na walezi wa ubatizo kuwafundisha vyema watoto wao kufanya vyema ishala ya Msalaba kwani huu ni mhuri wa Kristo Mfufuka.

Ishala ya Msalaba ni mhuri wa Kristo Mfufuka!

18/04/2018 15:32

Kama tufanyavyo ishala ya Msalaba wakati tunaingia kanisani, ndivyo tunaweza kufanya hivyo hivyo hata tunapoingia ndani ya nyumba zetu, kwa kuendelea kuhifadhi hata maji yaliyobarikiwa.Ni ushauri wa Papa Francisko wakati wa katekesi yake tarehe 18 Aprili 2018 katika viwanja vya Mt.Petro 

 

Watakatifu, mashuhuda na wandani wa matumaini kuishi utakatifu

Watakatifu, mshuhuda na wandani wa kuishi utakatifu.

Watakatifu, Mashuhuda na wandani wa matumaini

21/06/2017 13:12

Baba Mtakatifu Francisko wakati wa Katekesi yake siku ya Jumatano, amewaalika waamini kuwa jasiri wa imani na wenye matumaini thabiti katika kuchuchumilia utakatifu, wakikumbuka wanao watakatifu wanaowaombea na kuwasindikiza katika hija ya maisha na kwamba, utakatifu unawezekana!