Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Liturujia Neno la Mungu

Kuutafuta Uso wa Mungu ni Waraka wa Papa Francisko kwa Wamonaki ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo, daima wakiwa waaminifu kwa Kristo Yesu!

Kuutafuta Uso wa Mungu ni Waraka wa Papa Francisko kwa Wamonaki, ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo.

Changamoto ya maisha ya kitawa katika kuutafuta Uso wa Mungu!

01/02/2018 06:58

Baba Mtakatifu Francisko katika Katiba ya Kitume "Vultum Dei Quaerere", yaani "Kuutafuta Uso wa Mungu anabainisha mambo msingi yanayopaswa kuzingatiwa na wamonaki katika maisha na utume wao, ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo, tayari kutoa ushuhuda wenye mvuto na mashiko!

Yesu anatakatuwe na uwiano sawa kwa maana ya  maisha ya dhati kwa  kile tunacho fanya na kile tunachoishi ndani ya roho zetu

Yesu anatakatuwe na uwiano sawa kwa maana ya maisha ya dhati kwa kile tunacho fanya na kile tunachoishi ndani ya roho zetu

Papa ameonya kuacha unafiki wa maisha! ni kuishi ukweli wa ndani

20/10/2017 15:12

Papa ametaakri juu Injili ya Leo isemayo:Jilindeni na chachu ya Mfarisayo,ambayo ni unafiki.Lakini hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa,wala lililofichwa ambalo halitajulikana.Basi,yoyote mliyosema gizani yatasikika mwangani;na mliyonena sikioni mwa mtu katika vyumba vya ndani

 

Kristo Yesu ni jiwe kuu la pembeni!

Kristo Yesu ni Jiwe kuu la pembeni! Kila mamini ni sehemu muhimu sana katika ujenzi wa Ufalme wa Mungu na Kanisa hapa duniani.

Shamba la mizabibu ni kielelezo cha Ufalme wa Mungu na Kanisa

07/10/2017 17:40

Mfano wa shamba la mizabibu ni kielelezo cha historia nzima ya wokovu, tangu pale Mwenyezi Mungu alipoliteua Taifa la Israeli kuwa ni mali yake mwenyewe, akalilinda, akalitunza na kuliongoza, lakini likakengeuka, leo hii, shamba hili ni sawa na Ufalme wa Mungu unaotekelezwa na Kanisa!

Liturujia ni maisha na siyo wazo tu la kutambua. Matoke yake ni kufanya uzoefu wa namna ya kufikiria na mtindo wa kuishi

Liturujia ni maisha na siyo wazo tu la kutambua. Matoke yake ni kufanya uzoefu wa namna ya kufikiria na mtindo wa kuishi,

Papa Francisko: Kanisa litaendeleza mchakato wa mageuzi ya Liturujia

24/08/2017 16:06

Baba Mtakatifu Francisko anasema, mchakato wa mageuzi ulioanzishwa na Mababa wa Mtaguso mkuu wa Pili wa Vatican utaendelea kufanyiwa kazi, kwani ulihakikiwa, ukapangwa kikamilifu na kufanyiwa kazi na Mababa wa Mtaguso mkuu wa Pili wa Vatican, sasa ni utekelezaji wake katika Makanisa mahalia!

 

Neno la Mungu ni taa ya kuingoza miguu ya waamini katika hija ya utakatifu wa maisha!

Neno la Mungu ni taa inayowaongoza waamini katika hija ya utakatifu wa maisha!

Jitaabisheni kulisoma, kulitafakari na kulimwilisha Neno la Mungu

15/07/2017 15:21

Mama Kanisa anawaalika waamini kujitahidi katika maisha yao kulisoma, kulitafakari na kulimwilisha Neno la Mungu katika maisha yao ili liweze kuzaa matunda yanayokusudiwa yaani toba na wongofu wa ndani, unaowasaidia waamini kuambata utakatifu wa maisha, ushuhuda wenye mvuto!

Wanafunzi wa Yesu wanahamasishwa na Kristo mwenyewe kujifunza kutoka kwake, ili kweli waweze kuwa ni vyombo na mashuhuda wa Injili ya upendo na huruma

Wanafunzi wa Yesu wanahamasishwa kujifunza kutoka kwake, ili waweze kuwa kweli ni vyombo na mashuhuda wa Habari Njema ya Wokovu kati ya watu wa Mataifa.

Jifunzeni kwa makini kutoka kwa Yesu, ili muwe mashuhuda amini!

08/07/2017 17:03

Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili ya XIV ya Kipindi cha Mwaka A wa Kanisa ni mwaliko kwa waamini kumjifunza Kristo na kuchota fadhila na karama mbali mbali kutoka katika mafundisho, lakini zaidi ushuhuda wa maisha yake, ili wao pia waweze kuwa ni vyombo vya utangazaji na ushuhuda wa Injili!