Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Lebanon

Siku ya mwisho ya ziara ya Kardinali Sandri nchini Lebanon alifanya maadhimisho katika kanisa la Mama Yetu wa Harissa

Siku ya mwisho ya ziara ya Kardinali Sandri nchini Lebanon alifanya maadhimisho katika kanisa la Mama Yetu wa Harissa

Ziara ya Kard. Sandri nchini Lebanon kuwatia moyo waamini wa nchi hiyo!

14/05/2018 16:30

Domenika tarehe 13 Mei 2018, Kardinali Leonardi Sandri, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la mazungumzo ya kidini amefanya  ziara yake iliyo andaliwa na Ubalozi wa Lebanon na kukutana kwanza na vijana  walioudhuria Mkutano wa maandalizi ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana machi 2018

 

 

Papa Francisko akipokea sana ya Mtakatifu Marone, wakati wa kukutana na Jumuiya ya Taasisi ya Kipapa ya Maroniti Roma

Papa Francisko akipokea sana ya Mtakatifu Marone, wakati wa kukutana na Jumuiya ya Taasisi ya Kipapa ya Maroniti Roma

Papa Francisko amekutana na Jumuiya ya Taasisi ya Kipapa ya Maronite Roma!

16/02/2018 17:05

Baba Mtakatifu Francisko amekutana na Jumuiya ya Tassisi ya Kipapa ya Wamaroniti wakiwa katika maadhimisho ya Miaka 10 tangu kukubaliwa Taasisi hiyo.Baba Mtakatifu anawakaribisha,pia ni fursa na zaidi ya kukutana ili kuweza kufanya kumbukumbu ya historia na kujikita ndani ya mizizi yake.  

 

Waziri Mkuu wa Lebanon Bw. Saad Hariri amekutana na Papa Francisko mjini Vatican, tarehe 13 Oktoba 2017.

Waziri mkuu wa Lebanon Bw. Saad Rafic Hariri amekutana na Papa Francisko mjini Vatican, Ijumaa, tarehe 13 Oktoba 2017.

Papa Francisko aipongeza Lebanon kwa kuonesha ukarimu kwa wahamiaji

14/10/2017 14:54

Hali ya kisiasa huko Mashariki ya kati, mchango wa Kanisa katika ustawi, maendeleo na mafao ya wananchi wa Lebanon pamoja na changamoto inayowakabili Wakristo huko Mashariki ya kati ni baadhi ya masuala yaliyojadiliwa na Papa Francisko alipozungumza na Waziri mkuu wa Lebanon Bw. Hariri.

 

Balozi wa Vatican nchini Siria Kardinali Zenari ameshiriki hotuba yake katika Mkutano wa urafiki kati ya watu nchini Italia kueleza hali ya watu Siria

Balozi wa Vatican nchini Siria Kardinali Zenari ameshiriki hotuba yake katika Mkutano wa urafiki kati ya watu nchini Italia kueleza hali halisi ya watu wa nchi hiyo.

Kard. Zenari:Hali ya kivita nchini Siria bado ni mgogoro mkubwa

30/08/2017 14:31

 Balozi wa Kitume wa Vatican nchini Siria Kardinali Mario Zenari amesema kuwa, hali ya migogoro ya kivita nchini Siria bado ina ni kipeo cha nguvu. Ameyasema hayo wakati wa kushiriki kwa njia ya Televisheni hotuba yake huko Rimini katika Mkutano wa urafiki kati ya watu nchini Italia 

 

Tarehe 31 Julai 2017 ni Siku ya Mashahidi wa Imani kwa Makanisa ya Mashariki

Tarehe 31 Julai 2017 ni Siku ya Mashahidi wa Imani kwa Makanisa ya Mashariki, kumbu kumbu endelevu ya Mwaka wa Mashahidi wa Imani kwa Makanisa ya Mashariki.

31 Julai 2017 Siku ya Mashahidi na Wafiadini wa Makanisa ya Mashariki

31/07/2017 10:05

Waamini wa Makanisa ya Mashariki kuanzia sasa kila mwaka ifikapo tarehe 31 Julai watakuwa wanaadhimisha Siku ya Mashahidi wa Imani kwa Makanisa ya Mashariki, kama sehemu ya kumbu kumbu endelevu ya maadhimisho ya Mwaka wa mashahidi wa imani na wafiadini kutoka Makanisa ya Mashariki.