Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kwaresima: Kufunga, Kusali, Tafakari & Upendo

Maaskofu Katoliki Sudan: Fungeni na kusali ili kuombea haki, amani, msamaha na upatanisho wa kitaifa!

Maaskofu Katoliki Sudan: Fungeni na kusali ili kuombea haki, amani na upatanisho wa kitaifa!

Baraza la Maaskofu Katoliki Sudan: Fungeni na kusali kuombea amani

21/02/2018 11:52

Baraza la Maaskofu Katoliki Sudan linawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kutumia kikamilifu Kipindi cha Kwaresima kwa kutubu na kuongoka; kusali na kufunga pamoja na kulitafakari Neno la Mungu linalomwilishwa katika matendo ya huruma; haki, amani na upatanisho wa kitaifa.

Kwaresima ni kipindi cha mapambano ya maisha ya kiroho kwa njia ya sala, kufunga na tafakari ya kina ya Neno la Mungu inayomwilishwa katika matendo.

Kwaresima ni kipindi cha mapambano ya maisha ya kiroho kwa njia ya sala, kufunga na kutafakari Neno la Mungu linalomwilishwa katika matendo ya huruma: kiroho na kimwili.

Papa Francisko: Zingatieni: kufunga, kusali na Neno la Mungu!

19/02/2018 08:28

Kipindi cha Kwaresima ni wakatu muafaka kwa waamini kusimama kidete katika mapambano dhidi ya Ibilisi kwa kufunga, kusali na kujikita katika kutangaza na kushuhudia Neno la Mungu kama njia ya kupambana na vishawishi ambavyo mwamini anaweza kukutana navyo katika hija ya maisha yake!

Kwaresima ni kipindi cha toba na wongofu wa ndani; upendo na mshikamano unaomwilishwa katika ushuhuda wa imani.

Kwaresima ni kipindi cha toba na wongofu wa ndani; upendo na mshikamano unaomwilishwa katika ushuhuda, kielelezo makini cha imani tendaji!

Kwaresima ni kipindi cha upendo na mshikamano; toba na wongofu!

17/02/2018 06:40

Patriaki Bartolomeo wa kwanza katika ujumbe wake wa Kwaresima kwa Mwaka 2018 anasema, Kwaresima ni kipindi cha upendo na mshikamano wa kikanisa na kijamii; ni muda muafaka wa toba na wongofu wa ndani kwa kujikita katika liturujia ya Kanisa inayoshuhudiwa katika uhalisia wa maisha!

Papa anawaalika waamini kufunga kwa dhati wakikimbuka wahitaji katika kipindi cha kwaresima

Papa anawaalika waamini kufunga kwa dhati wakikimbuka wahitaji katika kipindi cha kwaresima

Papa Francisko anawaalika waamini kufunga kwa kuwasaidia wengine!

16/02/2018 16:41

Katika Misa ya Baba Mtakatifu Francisko tarehe 16 Februari 2018, katika Kanisa la Mtakatifu Marta mjini Vatican, amesisitiza juu ya kutazama hatari za udanganyifu wa kufunga hasa kudharau wengine,kwa maana anathibitisha kuwa kufunga  kwa dhati maana yake ni kuwasaidia wengine kwa dhati

 

 

Papa Francisko asema tiba ya magonjwa ya kiroho ni: sala na funga; tafakari ya Neno la Mungu; Matendo ya huruma na maisha ya Kisakramenti

Papa Francisko asema, tiba ya magonjwa ya kiroho ni: sala na funga; matendo ya huruma, tafakari ya Neno la Mungu na maisha ya Kisakramenti.

Baba Mtakatifu Francisko atoa tiba muafaka kwa magonjwa ya kiroho

14/02/2018 06:55

Hakuna janga kubwa katika maisha ya mwanadamu kama magonjwa ya maisha ya kiroho yanayofumbatwa katika dhambi! Baba Mtakatifu Francisko katika Kipindi cha Kwaresima anatoa tiba muafaka ya magonjwa haya kwa kukazia: Funga na Sala; Matendo ya Huruma na Tafakari ya Neno la Mungu.

Jumatano ya Majivu ni mwanzo wa kipindi cha Kwaresima: Siku 40 za mapambano ya maisha ya kiroho!

Jumatano ya Majivu ni mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima, Siku 40 za Mapambano dhidi ya jangwa la maisha ya kiroho!

Kipindi cha Kwaresima: Siku 40 za utakaso, toba na wongofu wa ndani!

13/02/2018 14:54

Kipindi cha Kwaresima ni safari ya Siku 40 katika Jangwa la maisha ya kiroho ili kutafakari kwa kina kuhusu Fumbo la Ukombozi, ili hatimaye, Wakristo waweze kujikita katika ahadi zao za Ubatizo unaosimikwa katika toba na wongofu wa ndani, Sala na Neno; Matendo ya huruma na Kufunga.

 

Jumatano ya Majivu ni mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima, Siku 40 za kufunga, kusali, kutafakari na kujikita katika maisha ya Kisakramenti.

Jumatano ya Majivu ni mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima, Siku 40 za kufunga na kusali; kutafakari na kufanya matendo ya huruma kiroho na kimwili pamoja na kujikita katika maisha ya Kisakramenti!

Jumatano ya Majivu ni mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima!

13/02/2018 07:41

Mama Kanisa kila mwaka anaunganisha Fumbo la Yesu kujaribiwa jangwani kwa muda wa siku arobaini na Siku 40 za Kipindi cha Kwaresima: muda muada wa toba na wongofu wa ndani unaojikita katika maisha ya sala, tafakari ya Neno la Mungu, matendo ya huruma na maisha ya Kisakramenti!