Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kutangaza na kushuhudia Injili

Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu aliye hai! Jibu makini kutoka kwa Mkristo, mwamba wa imani kwa Kristo Yesu na Kanisa lake.

Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu aliye Hai, Jibu makini kutoka kwa Mkristo, mwamba thabiti wa imani kwa Kristo na Kanisa lake!

Kristo Yesu anataka kujenga Kanisa lake juu ya mwamba wa imani yako!

23/08/2017 12:18

Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili ya XXI ni mwaliko kwa kila Mkristo kujibu swali la msingi, Je, Kristo ni nani katika maisha yake! Je, anayo imani thabiti ambayo Kristo Yesu anaweza kuitumia kujenga msingi wa Kanisa lake, msingi unaofumbatwa katika ushuhuda wenye mvuto na mashiko?

 

Papa Francisko anawataka wakristo kuonesha machachari katika kumtafuta Mwenyezi Mungu katika maisha yao!

Papa Francisko anawataka Wakristo kuchakarika sana ili kukutana na Mwenyezi Mungu.

Wakristo msibweteke! Chakarikeni ili kukutana na Mwenyezi Mungu!

26/06/2017 15:06

Baba Mtakatifu Francisko katika mahubiri yake, Jumatatu tarehe 26 Juni 2017 amekazia umuhimu wa waamini kujisadaka bila ya kujibakiza ili kukutana na Mwenyezi Mungu; umuhimu wa hija ya maisha ya kiroho na kwamba, waamini wanapaswa kuwa ni mashuhuda na vyombo vya baraka kwa jirani zao!

Tuko karibu na nyinyi katika sala zetu ndugu zetu wengi katika Kristo ambao wamekufa kwa ajili ya kutetea imani yao na wale wanaoendelea kuhuhudia

Tuko karibu na nyinyi katika sala zetu ndugu zetu wengi katika Kristo ambao wamekufa kwa ajili ya kutetea imani yao na wale wanaoendelea kuhuhudia

Luxemburg: Ujumbe wa Pasaka 2017 kutoka Makanisa ya Kikristo

15/04/2017 15:22

Wakristo wote wakae  karibu na wote wanaohitaji msaada bila kutazama utaifa, dini,kwa kusaidia  maskini,wagonjwa,wazee, mama na watoto,wafungwa , wahamiaji na wote ambao jamii imewatanga.Kusulibiwa ni hali halisi kwa sasa maana maisha ya binadamu kwa sasa ni kinyume na kazi ya uumbaji 

 

Yesu ni mwanga wa mataifa, waamini wanahamasishwa kufungua macho ya imani yao, ili kumshuhudia kwa watu wa mataifa!

Yesu ni mwanga wa mataifa, waamini wanahamasishwa kufungua macho yao ya imani ilikumwona Yesu mwanga wa mataifa, kumkiri na kumshuhudia kati ya watu wa mataifa!

Fungueni macho yenu ya imani ili kumwona Yesu Mwanga wa Mataifa!

25/03/2017 15:23

Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili ya IV ya Kipindi cha Kwaresima ni mwaliko wa kufungua masikio ili kuweza kulisikia Neno la Mungu likitangazwa na kushuhudiwa; kuungama imani kwa midomo yao kwamba, Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu aliye hai na kumshuhudia Kristo mwanga wa mataifa!