Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kukutana na Yesu

Tuko karibu na nyinyi katika sala zetu ndugu zetu wengi katika Kristo ambao wamekufa kwa ajili ya kutetea imani yao na wale wanaoendelea kuhuhudia

Tuko karibu na nyinyi katika sala zetu ndugu zetu wengi katika Kristo ambao wamekufa kwa ajili ya kutetea imani yao na wale wanaoendelea kuhuhudia

Luxemburg: Ujumbe wa Pasaka 2017 kutoka Makanisa ya Kikristo

15/04/2017 15:22

Wakristo wote wakae  karibu na wote wanaohitaji msaada bila kutazama utaifa, dini,kwa kusaidia  maskini,wagonjwa,wazee, mama na watoto,wafungwa , wahamiaji na wote ambao jamii imewatanga.Kusulibiwa ni hali halisi kwa sasa maana maisha ya binadamu kwa sasa ni kinyume na kazi ya uumbaji 

 

Papa Francisko akizungumza na wajumbe wa Baraza la Kipapa

Baba Mtakatifu Francisko akizungumza na wajumbe wa Baraza la Kipapa la Uhamasishaji wa Uinjilishaji waliokuwa wanafanya mkutano wao wa mwaka.

Uinjilishaji mpya ni mchakato wa kutambua upendo wa huruma ya Mungu!

29/05/2015 15:17

Baba Mtakatifu Francisko anabainisha kwamba, Uinjilishaji mpya ni mchakato wa kutambua upendo wa huruma ya Mungu, ili waamini waweze kuwa kweli ni vyombo vya wokovu kwa ndugu na jirani zao.