Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kuhani mkuu

Tarehe 13 Februari Misa ya  asubuhi ya Papa ameiadhimisha na Patriaki wa Antiokia, Youssef Absi na Sinodi yake yote

Tarehe 13 Februari Misa ya asubuhi ya Papa ameiadhimisha na Patriaki wa Antiokia, Youssef Absi na Sinodi yake yote

Misa ya Papa Francisko Katika kanisa la Mt Marta na Patriaki wa Antiokia!

13/02/2018 16:19

Asubuhi ya tarehe 13 Februari 2018,kama kawaida ya Baba Mtakatifu Francisko ameadhimisha misa katika Kanisa la Mtakatifu Marta mjini Vatican,lakini hakuhubiri,bali ametoa maelezo kuhusu uwepo wa Patriaki wa Kanisa la Antiokia wa Kigiriki-Melkiti Youssef Absi na Ujumbe wake wote katika misa

 

 

Sherehe ya Tokeo la Bwana, maarufu kama Epifania ni ufunuo wa Kristo Yesu: Mwanga wa Mataifa, Mfalme na Mkombozi wa ulimwengu.

Sherehe ya Tokeo la Bwana, maarufu kama Epifania ni ufunuo wa Kristo Yesu kama Mwanga wa Mataifa, Mfalme na Mkombozi wa Ulimwengu.

Kristo Yesu ni Mwanga wa Mataifa, Mfalme na Mkombozi wa Ulimwengu

05/01/2018 06:45

Maadhimisho ya Liturujia ya Sherehe ya Tokeo la Bwana ni ufunuo wa Kristo Yesu, Mwanga wa Mataifa, Mfalme na Mkombozi wa ulimwengu; dhamana na utume wake unaojionesha hasa kwenye hazina ambayo Mamajusi kutoka Mashariki ya mbali walimtolea Mtoto Yesu: Dhahabu, Uvumba na Manemane!

Makuhani na watawa Daima  wawe thabiti na waaminifu kwa kuiga Mfano wa Mtakatifu Yohane Maria wa Vianney aliyekuwa  akifundisha kwa ushuhuda wake

Makuhani na watawa Daima wawe thabiti na waaminifu kwa kuiga Mfano wa Mtakatifu Yohane Maria wa Vianney aliyekuwa akiwafundisha wanaparokia wake kwa njia ya ushuhuda wa maisha yake.

Kard.Filoni: Makuhani na watawa tambueni vema wito wenu na Kanisa

19/05/2017 17:17

Upendo ambao Yesu nataka wafanya mitume wake unahitaji kujitoa binafsi moja kwa moja kwa ajili ya jirani na kukataa aina zote za ubinafsi na ubaguzi Hakuna upendo mkuu zaidi kuliko upendo wa mtu atoaye uhai wake kwa ajili ya rafiki zake.Amri yake ni moja nayo ni pendaneni kama nilivyo wapenda

 

Papa Francisko anawataka Wakleri kutangaza na kushuhudia furaha ya Injili kwa njia ya Neno, Sakramenti na huduma makini kwa watu wa Mungu!

Papa Francisko anawataka Wakleri kutangaza na kushuhudia furaha ya Injili kwa njia ya Neno, Sakramenti na huduma makini kwa maskini na wale wote wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii!

Papa Francisko: Kristo Yesu ni chemchemi ya furaha kwa watu wake!

13/04/2017 14:31

Baba Mtakatifu Francisko anawataka Mapadre kuwa ni chemchemi ya furaha na matumaini kwa watu wa Mungu yanayobubujika kutoka katika Neno, Sakramenti na maisha yenye mvuto na mashiko kama ilivyokuwa kwa Bikira Maria aliye kubali kumpokea Neno wa Mungu na kujisadaka kwa wengine!

Watawa wanapaswa kujenga na kudumisha umoja wa imani kama kielelezo cha uwepo endelevu wa Kristo katika maisha yao!

Watawa wanapaswa kujenga na kudumisha umoja wa imani, matumaini na mapendo ya kidugu kama kielelezo cha uwepo endelevu wa Kristo katika maisha yao.

Watawa mnapaswa kuwa ni mashuhuda wa huruma na upendo wa Mungu

30/01/2017 14:49

Watawa wanapaswa kujenga na kudumisha umoja wa imani, matumaini na mapendo ya kidugu kama njia ya ushuhuda wa uwepo endelevu wa Kristo Yesu katika maisha yao! Wawe wasikivu kwa Roho Mtakatifu, tayari kujisadaka kama mashuhuda na vyombo vya huruma, msamaha na upatanisho kati ya watu.

Baba Mtakatifu akizungumza na washiriki wa Kongamano kuhusu Seminari na Maisha ya Kipadre.

Mama Kanisa anaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu Mababa wa Mtaguso mkuu wa Pili wa Vatican walipochapisha Nyaraka kuhusu Seminari na Mapadre, mambo muhimu katika majiundo ya Mapadre.

Mapadre wanahistoria na tamaduni zao! Ni wahudumu wa Mafumbo ya Kanisa

20/11/2015 13:50

Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Jubilei ya miaka 50 tangu Mababa wa Mtaguso mkuu wa Pili wa Vatican walipochapisha Nyaraka kuhusu Seminari na Mapadre anakumbusha tena kwamba, Mapadre wameteuliwa kati ya watu kwa ajili ya watu kwa mambo matakatifu!

Siku kuu ya Yesu Kristo Mfalme wa Ulimwengu

Siku kuu ya Yesu Kristo Mfalme wa Ulimwengu.

Hali ya hewa imechafuka Ikulu, huko ni patashika nguo kuchanika!

18/11/2015 10:23

Mama Kanisa anaadhimisha Sherehe ya Yesu Kristo Mfalme wa maisha ya uzima wa milele na ukweli; utakatifu na neema; haki, amani na mapendo kamili. Ni Sherehe inayowahimiza waamini kujenga na kudumisha umoja na udugu. 

 

Siku ya hukumu ya mwisho!

Siku ya hukumu ya mwisho!

Tafakari ya Neno la Mungu Jumapili ya 33 ya Kipindi cha Mwaka B wa Kanisa

13/11/2015 06:44

Tunapokaribia kuufunga Mwaka wa Kanisa, Liturujia ya Neno la Mungu linawakumbusha waamini kwamba, kumwongokea Mungu ni wajibu wa kila siku na kwamba, Kristo ndiye Kuhani mkuu wa Agano Jipya na la Milele, waamini wawe tayari kukutana na Kristo kwa njia ya huduma kwa jirani zao.