Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kufunga

Jumatano ya Majivu ni mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima, Siku 40 za kufunga, kusali, kutafakari na kujikita katika maisha ya Kisakramenti.

Jumatano ya Majivu ni mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima, Siku 40 za kufunga na kusali; kutafakari na kufanya matendo ya huruma kiroho na kimwili pamoja na kujikita katika maisha ya Kisakramenti!

Jumatano ya Majivu ni mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima!

13/02/2018 07:41

Mama Kanisa kila mwaka anaunganisha Fumbo la Yesu kujaribiwa jangwani kwa muda wa siku arobaini na Siku 40 za Kipindi cha Kwaresima: muda muada wa toba na wongofu wa ndani unaojikita katika maisha ya sala, tafakari ya Neno la Mungu, matendo ya huruma na maisha ya Kisakramenti!

Papa Francisko: Kauli mbiu ya Ujumbe wa Kwaresima 2018: "Na kwa sababu ya kuongezeka kwa maasi, upendo wa wengi utapoa".

Papa Francisko: Kauli mbiu ya Ujumbe wa Kwaresima kwa Mwaka 2018 "Na kwa sababu ya kuongezeka kwa maasi, upendo wa wengi utapoa".

Baba Mtakatifu Francisko: Ujumbe wa Kwaresima kwa Mwaka 2018

06/02/2018 14:52

Kwaresima ni wakati muafaka wa kujiandaa kwa ajili ya kuadhimisha Fumbo la Pasaka, yaani mateso, kifo na ufufuko wa Kristo Yesu kutoka kwa wafu! Kauli mbiu ya Ujumbe wa Papa Francisko kwa kipindi cha Kwaresima kwa mwaka 2018 ni "Na kwa sababu ya kuongezeka kwa maasi, upendo wa wengi umepoa"