Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Korea ya Kusini

Familia ya Mungu nchini Korea anasema Askofu mkuu Gallagher inapaswa kuimarisha mchakato wa matumaini na upatanisho wa kitaifa!

Familia ya Mungu nchini Korea anasema Askofu mkuu Paul Richard Gallagher inapaswa sasa kujikita katika kuimarisha mchakato wa ujenzi wa matumaini na upatanisho wa kitaifa.

Askofu mkuu Gallagher: Huu ni wakati wa matumaini na upatanisho Korea

08/07/2018 11:43

Askofu mkuu Paul Richard Gallagher, Katibu mkuu wa Mambo ya nchi za nje na ushirikiano wa kimataifa mjini Vatican anasema, Korea kwa sasa inapitia kipindi muhimu sana katika historia na maisha yake, kumbe, huu ni wakati wa kujikita katika mchakato wa ujenzi wa matumaini na upatanisho wa kitaifa.

Maskofu wa Korea watoa sala kwa ajili ya nchi yao katika kipindi cha kihistoria,

Maskofu wa Korea watoa sala kwa ajili ya nchi yao katika kipindi cha kihistoria,

Kanisa la Korea kusali Novena kwa nchi yao katika kipindi katika kihistoria!

12/06/2018 16:47

Baraza la Maaskofu nchini Korea wameandaa Novena kwa ajili ya nchi zote mbili, kuombea amani na mkutano wa mapatano, Ni kufuatia  fursa ya wakati huu ambayo nchi hizi mbili wanakabiliana katika kufungua ukurasa mpya wa kihistoria zaidi mkutano wa Trump na Kim, 12 Juni 2018 huko Singapore!

 

 

Papa Francisko anaunga mkono mchakato wa majadiliano kati ya viongozi wa Korea ya Kusini na Kaskazini katika kujenga umoja, udugu na urafiki.

Papa Francisko anaunga mkono mchakato wa majadiliano kati ya Korea ya Kaskazini na Korea ya Kusini yanayopania kujenga na kudumisha: umoja, udugu na urafiki.

Papa Francisko aunga mkono juhudi za Korea kukutana na kujadiliana!

25/04/2018 15:21

Baba Mtakatifu Francisko anapongeza mchakato mzima wa juhudi za kutaka kuwakutanisha viongozi wa Korea ya Kaskazini na Korea ya Kusini kama sehemu muhimu sana ya juhudi za upatanisho, umoja, haki na ujenzi wa udugu na urafiki! Kanisa linaunga mkono juhudi hizi kwa hali na mali!

Michezo ni fursa ya kujenga amani kati ya mataifa na kuvuka kikwazo cha ulemavu ili kuonesha arii na bidii bila kukatishwa tamaa la ulemavu wa viungo.

Michezo ni fursa ya kujenga madaraja ya amani kati ya mataifa; ni ushuhuda wa ujasiri, ari na moyo mkuu wa kupambana na vikwazo katika maisha bila ya kukata wala kukatishwa tamaa!

Papa Francisko: Michezo inajenga umoja na kushinda ulemavu

07/03/2018 15:43

Baba Mtakatifu Francisko anasema, michezo inajenga madaraja ya amani kati ya mataifa pamoja na kuwawezesha watu wenye ulemavu wa viungo kuvuka kikwazo hiki, kwa kuonesha na kushuhudia ujasiri, udumifu, ari na moyo wa kupambana na hali mbali mbali za maisha bila ya kukata tamaa!

Papa Francisko amepongeza juhudi za Korea ya Kaskazini na Korea ya Kusini kushiriki pamoja kama timu moja wakati wa Michezo ya XXIII ya Olympic!

Papa Francisko amepongeza juhudi zilizofanywa na Korea ya Kusini na Kaskazini kwa kuunganisha timu zao wakati wa michezo ya XXIII ya Olympic kwa Mwaka 2018 huko Korea ya Kusini.

Papa Francisko asema, michezo ijenge urafiki, amani na umoja!

07/02/2018 16:31

Baba Mtakatifu Francisko amepongeza juhudi za makusudi zilizooneshwa na Korea ya Kusini na Kaskazini za kushirikiana kwa pamoja kama timu moja wakati wa mashindano ya XXIII ya Olympic huko Korea ya Kusini dalili za majadiliano katika kushinda vita, kinzani na changamoto za maisha!

Miito mingi ya kikuhani na utawa inazidi kuongezeka nchini Bangladesh

Miito mingi ya kikuhani na utawa inazidi kuongezeka nchini Bangladesh

Bangladesh miito inaongezeka na jimbo la Sylhet seminari mpya kuzinduliwa!

29/01/2018 14:22

Miito ya kitawa inazidi kuongezeka katika maeneo ya makabila huko Bangladesh.Kwa siku zilizo pita imezinduliwa seminari ya Jimbo la Sylhet,Kaskazini ya nchi.Ni Seminari ya Mtakatifu Yohane iliyofadhiliwa na Jimbo Katoliki la Suwon nchini Korea ya Kusini,ambayo itawakaribisha waseminari 60.

 

Picha ya wawakilishi kutoka nchi ya Korea ya Kas na kus katika makubaliano ya kushiriki Olimpiki kwa wanamichezo wa sehemu zote mbili

Picha ya wawakilishi kutoka nchi ya Korea ya Kas na kus katika makubaliano ya kushiriki Olimpiki kwa wanamichezo wa sehemu zote mbili

Korea ya Kaskazini itatuma wawakilishi katika Olimpiki huko Korea ya Kusini!

09/01/2018 14:34

Baada ya miaka miwili ya mivutano,mkutano wa kwanza wa wawakilishi kutoka Kaskazini na Kusini mwa Corea umefanyika tarehe 9 Januari 2018. Mapendekezo yamekuwa kwamba, wanariadha kutoka Kaskazini na Kusini wataadhimisha siku ya kufunga na kufungua michezo 9-25 Februari 2018

 

 

Rais wa Korea ya Kusini Moon Jae-In akihutubia umma wakati wa maadhimisho ya miaka 72 ya uhuru 15 Agosti 2017

Rais wa Korea ya Kusini Moon Jae-In akihutubia umma wakati wa maadhimisho ya miaka 72 ya uhuru 15 Agosti 2017

Baraza la Makanisa Ulimwenguni kuiombea amani nchi ya Korea

16/08/2017 09:54

Baraza la Makanisa Duniani, wameiombea nchi ya Korea amani. maombi yakiwa na kauli mbiu kutoka barua ya Mtakatifu Paulo kwa Waroma isemaayo kwamba "kwa hiyo tuyazingatie daima mambo yenye kuleta amani na yanayotusaidia kujengana”,wakati wa maadhimisho ya siku uhuru.