Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Korea ya Kaskazini

Maskofu wa Korea watoa sala kwa ajili ya nchi yao katika kipindi cha kihistoria,

Maskofu wa Korea watoa sala kwa ajili ya nchi yao katika kipindi cha kihistoria,

Kanisa la Korea kusali Novena kwa nchi yao katika kipindi katika kihistoria!

12/06/2018 16:47

Baraza la Maaskofu nchini Korea wameandaa Novena kwa ajili ya nchi zote mbili, kuombea amani na mkutano wa mapatano, Ni kufuatia  fursa ya wakati huu ambayo nchi hizi mbili wanakabiliana katika kufungua ukurasa mpya wa kihistoria zaidi mkutano wa Trump na Kim, 12 Juni 2018 huko Singapore!

 

 

Papa Francisko anaunga mkono mchakato wa majadiliano kati ya viongozi wa Korea ya Kusini na Kaskazini katika kujenga umoja, udugu na urafiki.

Papa Francisko anaunga mkono mchakato wa majadiliano kati ya Korea ya Kaskazini na Korea ya Kusini yanayopania kujenga na kudumisha: umoja, udugu na urafiki.

Papa Francisko aunga mkono juhudi za Korea kukutana na kujadiliana!

25/04/2018 15:21

Baba Mtakatifu Francisko anapongeza mchakato mzima wa juhudi za kutaka kuwakutanisha viongozi wa Korea ya Kaskazini na Korea ya Kusini kama sehemu muhimu sana ya juhudi za upatanisho, umoja, haki na ujenzi wa udugu na urafiki! Kanisa linaunga mkono juhudi hizi kwa hali na mali!

Papa Francisko amepongeza juhudi za Korea ya Kaskazini na Korea ya Kusini kushiriki pamoja kama timu moja wakati wa Michezo ya XXIII ya Olympic!

Papa Francisko amepongeza juhudi zilizofanywa na Korea ya Kusini na Kaskazini kwa kuunganisha timu zao wakati wa michezo ya XXIII ya Olympic kwa Mwaka 2018 huko Korea ya Kusini.

Papa Francisko asema, michezo ijenge urafiki, amani na umoja!

07/02/2018 16:31

Baba Mtakatifu Francisko amepongeza juhudi za makusudi zilizooneshwa na Korea ya Kusini na Kaskazini za kushirikiana kwa pamoja kama timu moja wakati wa mashindano ya XXIII ya Olympic huko Korea ya Kusini dalili za majadiliano katika kushinda vita, kinzani na changamoto za maisha!

Picha ya wawakilishi kutoka nchi ya Korea ya Kas na kus katika makubaliano ya kushiriki Olimpiki kwa wanamichezo wa sehemu zote mbili

Picha ya wawakilishi kutoka nchi ya Korea ya Kas na kus katika makubaliano ya kushiriki Olimpiki kwa wanamichezo wa sehemu zote mbili

Korea ya Kaskazini itatuma wawakilishi katika Olimpiki huko Korea ya Kusini!

09/01/2018 14:34

Baada ya miaka miwili ya mivutano,mkutano wa kwanza wa wawakilishi kutoka Kaskazini na Kusini mwa Corea umefanyika tarehe 9 Januari 2018. Mapendekezo yamekuwa kwamba, wanariadha kutoka Kaskazini na Kusini wataadhimisha siku ya kufunga na kufungua michezo 9-25 Februari 2018

 

 

Vatican inasema, mgogoro wa Korea ya Kaskazini unahitaji maamuzi ya Jumuiya ya Kimataifa na wala si uamuzi wa mtu mmoja!

Vatican inasema, mgogoro wa Korea ya Kaskazini inahitaji maamuzi ya Jumuiya ya Kimataifa na wala si uamuzi wa mtu mmoja.

Mgogoro wa Korea ya Kaskazini unahitaji uamuzi wa Jumuiya ya Kimataifa

25/09/2017 11:09

Kardinali Pietro Parolin, Katibu mkuu wa Vatican anasema, diplomasia ya Vatican inajikita katika mchakato wa kujenga na kukuza utamaduni wa haki, amani na maridhiano kati ya watu; haki msingi za binadamu; mafao, ustawi na maendeleo ya wengi mintarafu mafundisho Jamii ya Kanisa na Mwanga wa Injili.

Rais wa Korea ya Kusini Moon Jae-In akihutubia umma wakati wa maadhimisho ya miaka 72 ya uhuru 15 Agosti 2017

Rais wa Korea ya Kusini Moon Jae-In akihutubia umma wakati wa maadhimisho ya miaka 72 ya uhuru 15 Agosti 2017

Baraza la Makanisa Ulimwenguni kuiombea amani nchi ya Korea

16/08/2017 09:54

Baraza la Makanisa Duniani, wameiombea nchi ya Korea amani. maombi yakiwa na kauli mbiu kutoka barua ya Mtakatifu Paulo kwa Waroma isemaayo kwamba "kwa hiyo tuyazingatie daima mambo yenye kuleta amani na yanayotusaidia kujengana”,wakati wa maadhimisho ya siku uhuru.

 

Ujumbe wa maaskofu  wa nchini Korea wanasema kuzungumza  juu ya vita bila kuzingatia hatari ni hatua za vurugu dhidi ya ubinadamu

Ujumbe wa maaskofu wa nchini Korea wanasema kuzungumza juu ya vita bila kuzingatia hatari ni hatua za vurugu dhidi ya ubinadamu

Korea:Maaskofu wamewataka viongozi wa nchi mazungumzo ya amani

14/08/2017 09:27

Ujumbe wa Baraza la Maaskofu nchini Korea unasema,Kanisa la Korea linakemea matendo yasiyostahili ya huko Korea ya Kaskazini ambayo ni kinyume na matakwa ya Mkataba wa Kimataifa, kwa njia hiyo wanawataka viongozi kutafuta njia ya mazungumzo ya kuleta amani kwa ajili ya binadamu wote. 

 

Rais Trump wa Marekana anatishia mashambulizi ya makali dhidi ya Rais Pyongyang wa Corea ya Kaskazini ambaye pia anajitaja kuwa uwezo wa kuangamiza US

Rais Trump wa Marekana anatishia mashambulizi ya makali dhidi ya Rais Pyongyang wa Korea ya Kaskazini ambaye pia anajitaja kuwa uwezo wa kuangamiza Marekani

Ni vigumu kufanya mazungumzo na watu wenye mawazo na malengo tofauti

10/08/2017 15:17

Mwakilishi wa Baraza wa Vatican katika Baraza la Kudumu la Umoja wa Mataifa huko Geneva anatoa wito  na ulazima wa Jumuiya zote za Kimataifa kuingilia kati ili kuhakikisha kwamba haki za binadamu zinalindwa.Hata hivyo naweka bayana lazima kuendeleza mbele mpango nyeti wa majadiliano