Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kombe la Duniani kwa Mwaka 2018 Urusi

Baba Mtakatifu amewatakia matashi mema michuano ya kugombea Kombe la dunia nchini Urusi

Baba Mtakatifu amewatakia matashi mema michuano ya kugombea Kombe la dunia nchini Urusi

Matashi mema ya Papa katika kuwania Kombe la Dunia Urusi 2018!

13/06/2018 16:26

Baba Mtakatifu amewatakia matashi mema wachezaji wa mpira, waandaaji, ikiwa pia hata washabiki kupitia vyombo vya habari katika tukio la kuwania kombe la dunia.Papa amesisitiza tukio hili muhimu la michezo linaweza kuwa fursa ya makutano,mazungumzo na undugu kati ya tamaduni na dini tofauti 

 

Kanisa na Michezo: Waraka: Kujitoa Kikamilifu: Mtazamo wa Kikristo kuhusu michezo na binadamu.

Kanisa na Michezo: Waraka: Kujitoa Kikamilifu: Mtazamo wa Kikristo kuhusu michezo na binadamu.

KOMBE LA DUNIA 2018: Mtazamo wa Kikristo kuhusu michezo na binadamu

12/06/2018 11:00

Baba Mtakatifu Francisko anasema, michezo inayo nafasi muhimu sana katika mchakato wa uinjilishaji mpya kwani ni nyenzo msingi katika kusimamia na kudumisha haki msingi za binadamu; ni njia ya mchakato wa utakatifu; ni mahali muafaka pa kuonja uzuri na utakatifu wa kazi ya uumbaji, umoja na udugu.