Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kipindi cha Kwaresima kwa Mwaka 2018

Mwenyezi Mungu ameweka Agano Jipya na la Milele kwa njia ya Damu Azizi ya Kristo Yesu Mkombozi wa Ulimwengu.

Mwenyezi Mungu ameweka Agano Jipya na la milele kwa njia ya Damu Azizi ya Kristo Yesu!

Ubatizo ni nguvu ya Kristo inayookoa na kutakasa!

17/02/2018 15:25

Sakramenti ya Ubatizo ni msingi wa maisha yote ya Kikristo, lango la kuingilia "uzima wa milele katika Roho". Huu ni mlango unaomwezesha mwamini kupata Sakramenti nyingine za Kanisa. Ubatizo unamwezesha mwamini kuzaliwa upya katika maisha na kuanza kutembea katika Mwanga wa Kristo Mfufuka!

Jangwa ni mahali pa mapambano ya maisha ya kiroho kwa njia ya toba na wongofu wa ndani!

Jangwa ni mahali pa mapambano ya maisha ya kiroho kwa njia ya toba na wongofu wa ndani.

Jangwa ni mahali pa mapambano ya maisha ya kiroho!

14/02/2018 15:46

Kwa muda wa siku arobaini Yesu alikaa Jangwani na huko akajaribiwa na Ibilisi; Waisraeli walitembea Jangwani kwa muda wa miaka 40 ili kutakaswa na dhambi pamoja na ukaidi wao! Kwaresima ni kipindi cha Siku 40 cha mapambano ya maisha ya kiroho kwa njia ya toba na wongofu wa ndani!

 

Papa Francisko asema tiba ya magonjwa ya kiroho ni: sala na funga; tafakari ya Neno la Mungu; Matendo ya huruma na maisha ya Kisakramenti

Papa Francisko asema, tiba ya magonjwa ya kiroho ni: sala na funga; matendo ya huruma, tafakari ya Neno la Mungu na maisha ya Kisakramenti.

Baba Mtakatifu Francisko atoa tiba muafaka kwa magonjwa ya kiroho

14/02/2018 06:55

Hakuna janga kubwa katika maisha ya mwanadamu kama magonjwa ya maisha ya kiroho yanayofumbatwa katika dhambi! Baba Mtakatifu Francisko katika Kipindi cha Kwaresima anatoa tiba muafaka ya magonjwa haya kwa kukazia: Funga na Sala; Matendo ya Huruma na Tafakari ya Neno la Mungu.

Jumatano ya Majivu ni mwanzo wa kipindi cha Kwaresima: Siku 40 za mapambano ya maisha ya kiroho!

Jumatano ya Majivu ni mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima, Siku 40 za Mapambano dhidi ya jangwa la maisha ya kiroho!

Kipindi cha Kwaresima: Siku 40 za utakaso, toba na wongofu wa ndani!

13/02/2018 14:54

Kipindi cha Kwaresima ni safari ya Siku 40 katika Jangwa la maisha ya kiroho ili kutafakari kwa kina kuhusu Fumbo la Ukombozi, ili hatimaye, Wakristo waweze kujikita katika ahadi zao za Ubatizo unaosimikwa katika toba na wongofu wa ndani, Sala na Neno; Matendo ya huruma na Kufunga.

 

Papa Francisko: Kauli mbiu ya Ujumbe wa Kwaresima 2018: "Na kwa sababu ya kuongezeka kwa maasi, upendo wa wengi utapoa".

Papa Francisko: Kauli mbiu ya Ujumbe wa Kwaresima kwa Mwaka 2018 "Na kwa sababu ya kuongezeka kwa maasi, upendo wa wengi utapoa".

Baba Mtakatifu Francisko: Ujumbe wa Kwaresima kwa Mwaka 2018

06/02/2018 14:52

Kwaresima ni wakati muafaka wa kujiandaa kwa ajili ya kuadhimisha Fumbo la Pasaka, yaani mateso, kifo na ufufuko wa Kristo Yesu kutoka kwa wafu! Kauli mbiu ya Ujumbe wa Papa Francisko kwa kipindi cha Kwaresima kwa mwaka 2018 ni "Na kwa sababu ya kuongezeka kwa maasi, upendo wa wengi umepoa"

Sherehe ya Tokeo la Bwana ni nafasi ya kutangaza maadhimisho ya Mafumbo ya Kanisa yanayopata chimbuko lake katika Fumbo la Pasaka!

Sherehe ya Tokeo la Bwana ni nafasi ya kutangaza maadhimisho ya Mafumbo ya Kanisa yanayopata chimbuko lake kutoka katika Fumbo la Pasaka.

Mbiu ya Mwaka wa Bwana 2018: Maadhimisho ya Mafumbo ya Kanisa

06/01/2018 12:00

Sherehe ya Tokeo la Bwana ni ufunuo wa Mtoto Yesu aliyezaliwa na Bikira Maria kuwa ni Mwana wa Mungu, Masiha na Mwanga wa Mataifa. Katika maadhimisho haya, Mama Kanisa anatangaza Mbiu ya Mwaka wa Bwana kwa kutaja tarehe za maadhimisho ya Mafumbo makuu ya Kanisa kwa Mwaka!