Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kipindi cha Kwaresima

Yesu Kristo aliteswa  na kufa Msalabani ili kuwakomboa wanadamu kutoka katika lindi la dhambi na mauti!

Kristo Yesu aliteswa na kufa Msalabani ili kuwaokomboa watu kutoka katika lindi la dhambi na mauti.

Kwaresima ni kipindi cha mapambano dhidi ya dhambi na mauti!

10/03/2018 06:30

Kristo Yesu hana budi kuinuliwa ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika Yeye. Fumbo la Umwilisho linalopata utimilifu wake katika Fumbo la Pasaka linalenga kumkomboa mwanadamu kutoka katika lindi la dhambi na mauti! Kristo ni mpatanishi kati ya Mungu na binadamu na kati yao wenyewe!

Tukio la Yesu kung'aa sura mbele ya Mitume wake ni kielelezo cha utimilifu wa Sheria na Unabii na hitimisho lake ni Fumbo la Pasaka

Tukio la Yesu kung'aa sura mbele ya wafuasi wake ni kielelezo cha utimilifu wa Sheria na Unabii na hatima yake ni Fumbo la Pasaka, yaani mateso, kifo na ufufuko wa Kristo kutoka kwa wafu!

Yesu kugeuka sura ni ushuhuda wa utimilifu wa Sheria na Unabii

22/02/2018 16:05

Tangu ungamo la Mtakatifu Petro kwamba, Yesu ni Mwana wa Mungu aliye hai, alianza kufundisha na kuwandaa wafuasi wake kukabiliana na Fumbo la Pasaja yaani mateso, kifo na ufufuko wake kama kielelezo cha hali ya juu kabisa cha ufunuo wa huruma na upendo wa Mungu kwa waja wake!

Ushindi wa Kristo Yesu dhidi ya Ibilisi ni kielelezo cha hali ya juu cha utii wa Yesu unaofumbatwa katika Fumbo la Msalaba!

Ushindi wa Kristo Yesu dhidi ya Ibilidi ni kielelezo cha hali ya juu kabisa cha utii wa Kristo unaofumbatwa katika Fumbo la Msalaba kama utekelezaji wa mapenzi ya Baba yake wa mbinguni!

Kwaresima ni kipindi cha mapambano ya maisha ya kiroho!

15/02/2018 09:57

Yesu alifunga Jangwani kwa muda wa siku 40 akajaribiwa mara tatu na Ibilisi ili aweze kumpima msimamo wake, kama ilivyokuwa kwa Adamu Paradisini na Israeli jangwani. Kristo Yesu akabaki mwaminifu na kujifunua kuwa ni Mtumishi mwaminifu na mtii, tayari kutekeleza mapenzi ya Mungu katika utume wake.