Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kilio cha Watoto Wadogo

Papa mara nyingi ametoa wito: watoto lazima wacheze na kusoma,wasali na kukua katika familia zao na ole,wanaowafanya watumwa

Papa mara nyingi ametoa wito: watoto lazima wacheze na kusoma,wasali na kukua katika familia zao na ole,wanaowafanya watumwa

Watoto lazima wacheze na kusoma, ole wao wanaowafanya watumwa!

12/06/2018 16:33

Katika kuadhimisha siku ya kupinga ajira kwa watoto duniani kila ifikapo tarehe 12 Juni ya kila mwaka, Papa amesema ajira ya watoto ni janga la kuzuia matumaini. Na mara nyingi ametoa witokuwa watoto lazima wacheze na kusoma,wasali na kukua katika familia zao na ole,wanaowafanya watumwa

 

Utoto Mtakatifu nchini Ujerumani umezindua kampeni dhidi ya kazi za suluba nchini India.

Utoto Mtakatifu nchini Ujerumani umezindua kampeni dhidi ya kazi za suluba wanazofanyishwa watoto wadogo sehemu mbali mbali za dunia lakini kwa mwaka 2018 jitihada ni kuwakwamua watoto nchini India.

Kampeni ya Utoto Mtakatifu dhidi ya kazi za suluba nchini India!

30/12/2017 09:53

Askofu Mkuu Giampietro Dal Toso anasema, huduma ya upendo wa Kiinjili inayotolewa kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi ni muhimu sana kama kielelezo cha ushuhuda wa uinjilishaji mpya unaojikita katika matendo ya huruma: kiroho na kimwili! Huu ni ushuhuda wa watoto wadogo!

 

Papa Francisko ameitaka familia ya Mungu kuguswa na mahangaiko ya watoto wadogo sehemu mbali mbali za dunia!

Papa Francisko ameitaka familia ya Mungu kuguswa na mahangaiko pamoja na mateso ya watoto sehemu mbali mbali za dunia.

Papa Francisko: Ujumbe wa Noeli: Sikilizeni kilio cha watoto wadogo!

25/12/2017 11:51

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Liturujia ya Noeli, Sherehe ya Fumbo la Umwilisho inaonesha huruma na upendo wa Mungu kwa binadamu, changamoto kwa familia ya Mungu sehemu mbali mbali za dunia, kusikiliza kwa makini kilio na mahangaiko ya watoto wadogo na kuyapatia majibu muafaka!