Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kikombe cha mateso

Papa Francisko anasema tuombe Bwana neema ya kuwa na saburi wakati wa kubeba mabegani mwetu matatizo

Papa Francisko anasema tuombee Bwana neema ya kuwa na saburi wakati wa kubeba mabegani mwetu matatizo

Tuombe Bwana fadhila ya kuwa na saburi hasa katika safari ya majaribu!

12/02/2018 15:05

Tuombe Bwana fadhila ya saburi hasa kwa yeyote aliyeko katika safari akibeba mabegani mwake matatizo na majaribu,kama walivyo ndugu wakristo wanaoteswa karika nchi za Mashariki.Ndiyo nia kuu ya maombi ya Baba Mtakatifu Francisko,katika Misa Takatifu,asubuhi tarehe 12 Februari 2018 

 

Baba Mtakatifu Francisko baada ya kumaliza Katekesi yake Jumatano mjini Vatican tarehe 25 Oktoba 2017

Baba Mtakatifu Francisko baada ya kumaliza Katekesi yake Jumatano mjini Vatican tarehe 25 Oktoba 2017.

Papa:Katekesi ya mwisho kuhusu mada ya Matumaini ya Kikristo

25/10/2017 16:51

Wapendwa,hii ni katekesi ya mada ya mwisho kuhusu matumaini ya Kikristo ambayo imetusindikiza tangu mwanzo wa mwaka wa kiliturujia. Ninamaliza nikizungumzia  juu ya peponi kama mahali pa matumaini yetu.Peponi ni mojawapo ya neno la mwisho aliyotamka Yesu msalabani

 

Papa anasema Mfalme Carlo ni mfano wa kuigwa kama Baba wa Familia katika mkutano na wanachama wa mshikamano wa sala kwa ajili amani duniani

Papa anasema Mfalme Carlo ni mfano wa kuigwa kama Baba wa Familia katika mkutano na wanachama wa mshikamano wa sala kwa ajili amani duniani

Papa anasema Mfalme Carlo ni mfano wa kuigwa kama Baba wa Familia

14/10/2017 15:41

Baba Mtakatifu amekutana na kuzungumza na Chama cha Mwenyeheri Mfalme Carlo kwa ajili ya amani duniani kutoka Luxembourg. Sala hiyo inajikita katika muktadha wa miaka100 ya kuwanzishwa kwake chini ya usimamizi wa Papa Benedikto XV  iliyoanzishwa wakati Vita ya Kwanza ya Dunia.

 

Papa Francisko anawaalika waamini kuutafakari upendo wa Yesu uliofunuliwa kwa njia ya Fumbo la Msalaba!

Papa Francisko anawaalika waamini kutafakari Fumbo la upendo wa Kristo Yesu, lililofunuliwa kwa njia ya Msalaba.

Papa Francisko: waamini tafuteni wasaa wa kutafakari upendo wa Kristo

03/10/2017 13:51

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Kristo Yesu katika maisha na utume wake, alijizatiti kikamilifu kukabiliana na Fumbo la Pasaka, yaani: mateso, kifo na ufufuko wake ili kuwakomboa watu kutoka katika lindi la dhambi na mauti! Waamini wanaalikwa kutafuta muda wa kutafakari upendo wa Kristo!

Watakatifu wapya waliotangazwa na Kanisa, Jumapili 18 Oktoba 2015

Watakatifu wapya waliotangazwa na Mama Kanisa tarehe 18 Oktoba 2015.

Jikiteni katika upendo na huduma; kataeni kishawishi cha uchu wa madaraka!

18/10/2015 11:55

Wakati ambapo kuna uchu wa mali na madaraka duniani, Wafuasi wa Kristo wanaalikwa kwa namna ya pekee kukataa kishawishi hiki na badala yake wajikite katika njia ya upendo na huduma inayofumbatwa katika unyenyekevu kama kielelezo cha hali ya juu kabisa katika uongozi wa Kanisa.

 

Uongozi ni huduma ya upendo kwa maskini!

Uongozi ni huduma ya upendo kwa maskini na wote wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii!

Bwana, tupe shavu! Msalaba baadaye! Mpasuko kwa kuwania madaraka!

15/10/2015 16:05

Uchu wa mali na madaraka ni chanzo cha kinzani na mipasuko muingi katika jamii ya mwanadamu. Liturujia ya Neno la Mungu Jumapili ya 29 ya Kipindi cha Mwaka B wa Kanisa inaonesha mpasuko wa kuwania madaraka miongoni mwa Mitume wa Yesu, kasheshe inayoendelea pengine hata leo hii!