Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kikanisa cha Mt. Martha

Papa Francisko asema, Sala ya Kikristo inapata chimbuko lake katika imani na ujasiri wa kuthubutu kutenda!

Papa Francisko asema, Sala ya Kikristo inapata chimbuko lake katika imani na ujasiri wa kuthubutu kutenda!

Papa Francisko: Imani na Ujasiri ni chimbuko la Sala ya Kikristo!

12/01/2018 11:02

Baba Mtakatifu Francisko katika mahubiri yake anasema, Sala ya Kikristo inapata chimbuko lake katika imani kwa Kristo na Kanisa lake na ina mwilishwa kwa namna ya pekee katika ujasiri unaomsukuma mwamini kuthubutu kuomba kama ilivyokuwa kwa mgonjwa mwenye ukoma na yule aliyekuwa amepooza!

Papa Francisko anawataka viongozi wa Kanisa kuwa karibu na Mungu kwa njia ya sala na watu wao kwa njia ya huruma na mapendo.

Papa Francisko anawataka viongozi wa Kanisa kuwa karibu na Mwenyezi Mungu kwa njia ya sala, tafakari, ushuhuda wa maisha sanjari na kuwa karibu na watu wao kwa njia ya huruma na mapendo.

Papa anawataka viongozi wa Kanisa kuwa karibu na Mungu na watu wake!

09/01/2018 11:34

Baba Mtakatifu Francisko anawataka viongozi wa Kanisa kuhakikisha kwamba, wanakuwa karibu sana na Mwenyezi Mungu kwa njia ya sala, tafakari na ushuhuda wa maisha yenye mvuto na mashiko! Wajenge utamaduni wa kuwasikiliza, kuwafariji, kuwaganga na kuwaponya watu kwa sala na Sakramenti.

Papa Francisko anasema, ukatili, nyanyaso na dhuluma dhidi ya jirani ni matokeo ya dhambi ya asili!

Papa Francisko anasema dhuluma, nyanyaso na ukatili dhidi ya jirani ni matokeo ya dhambi ya asili.

Papa Francisko: Ukatili na unyanyasaji ni madhara ya dhambi ya asili

09/01/2018 10:30

Baba Mtakatifu Francisko katika mahubiri yake anasema, wataalamu mbali mbali wanaweza kuwa na upembuzi yakinifu kuhusu sababu zinazopelekea baadhi ya watu kujikuta wakifanya ukatili, nyanyaso na udhalimu dhidi ya jirani zao, kadiri ya imani, haya ni madhara ya dhambi ya asili!

Papa Francisko anawaalika waamini kuwaombea viongozi wa Kanisa ambao wamechukua ufunguo wa maarifa kiasi cha kuwa sasa ni kikwazo kwa wengine!

Papa Francisko anawaalika waamini kuwaombea viongozi wa Kanisa ambao wamechukua ufunguo wa maarifa na sasa wamekuwa ni kikwazo kwa wengine kutaka kumwona Mungu.

Washirikisheni wengine wokovu wa Mungu kwa njia ya matendo ya huruma

19/10/2017 14:52

Baba Mtakatifu Francisko anasema, kuna baadhi ya viongozi wa Kanisa wamechukua ufunguo wa maarifa, wao wanashindwa kuingia ndani pamoja na kuwazuia watu wengine kukutana na Mwenyezi Mungu katika maisha! Waamini wanapaswa kuwaombea viongozi wa namna hii ili wabadilike!

Papa Francisko anawahimiza waamini kujenga utamaduni wa kusoma, kulitafakari na kumwilisha Neno la Mungu katika uhalisia wa maisha yao!

Papa Francisko anawahimiza waamini kujenga utamaduni wa kusoma, kutafakari na kumwilisha Neno la Mungu katika uhalisia wa maisha yao.

Unafiki ni sumu inayowafanya watu kushindwa kusikiliza Neno la Mungu

17/10/2017 15:54

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kujenga utamaduni wa kusoma, kulitafakari na hatimaye kulimwilisha Neno la Mungu katika uhalisia wa maisha; ili kuonja huruma na upendo wa Mungu unaojifunua kwa njia ya Maandiko Matakatifu.

Waamini wanapaswa kuona aibu ya dhambi ili kutubu na kumwongokea Mungu.

Waamini wanapaswa kuona aibu ya dhambi ili kutubu na kumwongokea Mungu.

Papa Francisko: Aibu ya dhambi iwasaidie waamini kutubu na kuongoka

06/10/2017 15:34

Baba Mtakatifu Francisko anasema, hakuna mtu anayeza kujidai kwamba, ni mwenye haki, mkamilifu na wala hana dhambi mbele ya Mwenyezi Mungu! Aibu ya dhambi iwasaidie waamini kukimbilia huruma na upendo wa Mungu kwa njia ya toba na wongofu wa ndani; kwa kutekeleza Amri za Mungu.

 

Wito wa Mathayo mtoza ushuru lilikuwa ni tukio la sherehe lililogeuzwa kuwa ni kashfa ya huruma ya Mungu!

Wito wa Mathayo mtoza ushuru lilikuwa ni tukio la furaha, toba na wongofu wa ndani, lakini likageuzwa na Mafarisayo kuwa ni kashfa ya huruma ya Mungu kwa binadamu!

Kashfa ya wema na huruma ya Mungu kwa Mathayo mtoza ushuru

21/09/2017 15:34

Baba Mtakatifu Francisko anasema, mkutano kati ya Kristo Yesu na Mathayo mtoza ushuru ulikuwa ni sababu ya furaha na sherehe kubwa kiasi cha kuleta toba na wongofu wa ndani kwa Mathayo mtoza ushuru! Mafarisayo wanageuza tukio hili kuwa ni kashfa ya wema na huruma ya Mungu kwa Mathayo.

Papa Francisko anasema: Waamini na watu wote wenye mapenzi mema wanayo dhamana na wajibu wa kusali na kuwaombea viongozi wao wa serikali.

Papa Francisko anasema, waamini na watu wote wenye mapenzi mema wanayo dhamana na wajibu wa kuwaombea viongozi wao wa serikali.

Papa Francisko: Waamini mnayo dhamana ya kuwaombea viongozi wenu!

18/09/2017 13:36

Baba Mtakatifu Francisko anasema, waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema wanayo dhamana na wajibu wa kuwaombea viongozi wao wa Serikali ili waweze kutekeleza vyema dhamana na wajibu wao kadiri ya sheria, taratibu na katiba ya nchi zao, ili kudumisha haki, amani, usalama na ustawi.