Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kifo

Ili uweze kuubeba msalaba ni mapambano ya kutaka kushinda mateso yako kwa matumaini. Ni mapambano ya kushinda matatizo tuliyo nayo

Ili uweze kuubeba msalaba ni mapambano ya kutaka kushinda mateso yako kwa matumaini. Ni mapambano ya kushinda matatizo tuliyo nayo na kukaribia zaidi Mungu

Patriaki Daniel wa Romania: Bebeni Msalaba wa maisha yenu kwa imani

20/03/2018 16:04

Tufanye Kristo awe kitovu cha maisha yetu,ndiyo ujumbe kutoka katika mahubiri ya tatu ya kwaresima yaliyotolewa na Patriaki wa Kiorthodox Daniele  nchini Romania.Patriaki Daniele anasema tunapaswa kuubeba msalaba na kuuona mwanga katika matendo matakatifu ya maisha ya kiroho binafsi.

 

 

Ni vema kufikiria kifo maana itakuwa ni siku ya kukutana na Bwana. Hatujuhi siku wala saa siku ambayo Bwana atakuja na hivyo tujiandae

Ni vema kufikiria kifo maana itakuwa ni siku ya kukutana na Bwana. Hatujuhi siku wala saa siku ambayo Bwana atakuja na hivyo tujiandae

Papa:Ni vema kufikiria kifo maana itakuwa ni siku ya kukutana na Bwana!

17/11/2017 15:09

Kutafakari juu ya mwisho wa dunia ambao pia ni mwisho  wa kila mmoja ndiyo mwaliko wa leo kutoka katika Injili ya Mtakatifu Luka.  Injili ambayo Baba Mtakatifu ametafakari asubuhi ya tarehe 17 Novemba 2017 katika Kanisa la Mtakatifu Marta mjini Vatican.Ni vema kufikiria kukutana na Bwana 

 

 

Baba Mtakatifu ametuma salam za rambi rambi kufuatia kifo cha Kard Panafieu wa Ufaransa alikuwa na miaka 85

Baba Mtakatifu ametuma salam za rambi rambi kufuatia kifo cha Kard Panafieu wa Ufaransa alikuwa na miaka 85

Salam za Rambi rambi kutoka Vatican kufuatia kifo cha Kard. Panafieu

14/11/2017 15:39

Baba Mtakatifu Francisko ametuma salam za rambi rambi kutokana na kifo cha Kardinali Bernard Panafieu, Askofu Mkuu Mstaafu wa Marsiglia nchini Ufaransa aliye aga dunia kiwa na umri wa miaka 85.Ni ujumbe uliotumwa kwa Askofu Mkuu wa Sasa wa Jimbo Kuu la Marsiglia Georges Pontier

 

Baba Askofu  Castory Msemwa wa Jimbo la Tunduru Masasi amefariki dunia tarehe 19 Oktoba 2017

Baba Askofu Castory Msemwa wa Jimbo la Tunduru Masasi amefariki dunia tarehe 19 Oktoba 2017

Askofu Castory Msemwa wa Jimbo Katoliki Tunduru- Masasi afariki dunia

20/10/2017 10:02

Jimbo Katoliki Tunduru Masasi linasikitika kumpoteza mpendwa Baba Askofu Castory Msemwa aliyefariki tarehe19 Oktoba 2017, nchini Oman.Kwa mujibu wa Makamu wa Askofu Padri Jordan Liviga,anasema amefariki dunia wakati akiwa safarini kwenda nchini India kwa  ajili ya matibabu

 

 

Kanisa Katoliki limempoteza Ask. Mkuu mstaafu Kard. Carlo Caffarra wa Jimbo Kuu Bologna aliye aga dunia tarehe 6 Septemba 2017

Kanisa Katoliki limempoteza Ask. Mkuu mstaafu Kard. Carlo Caffarra wa Jimbo Kuu Bologna aliye aga dunia tarehe 6 Septemba 2017

Ask. Mkuu mstaafu Kard. C. Caffarra wa Jimbo Kuu Bologna Italia ameaga dunia

07/09/2017 14:37

Tarehe 6 Septemba 2017 Jimbo Kuu Katoliki la Bologna nchini Italia limempoteza Askofu Mkuu msataafu Kard. Carlo Caffarra.Maisha yake ya katika wito yamemwongoza hadi kufikia siku yake ya mwisho ya kurudi kwake Mungu.Atakumbukwa katika utaalamu wa mafunzo ya familia na ndoa

 

Padre Ciriacus Onukwo aliyekuwa ametekwa nyara ameuwawa nchini Nigeria

Padre Ciriacus Onukwo aliyekuwa ametekwa nyara ameuwawa nchini Nigeria

Nigeria:Padre Ciriacus Onukwo aliyekuwa ametekwa nyara ameuwawa

06/09/2017 16:56

Nchini Nigeria kusini ameuwawa Padre Ciriacus Onukwo na mwili wake umepatika tarehe 2 Septemba katika kijiji cha Omuma.Paolisi wanathibitisha kuwa hakuonesha majeraha yoyote au mikato yoyote bali Padre Onukwo amewawa kwa sababu ya kunyongwa.Wapelelezi wanaendelea na uchunguzi 

 

Kifo