Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kenya

Jumatano 13 Oktoba Baba Mtakatifu alipokea nakala ya Kitabu cha Padre Daniele Moschetti kuhusu safari ndefu ya kuelekea amani, haki na hadhi

Jumatano 13 Oktoba Baba Mtakatifu alipokea nakala ya Kitabu cha Padre Daniele Moschetti kuhusu safari ndefu ya kuelekea amani, haki na hadhi

Sudan ya Kusini: Bado ni safari ndefu kuelekea haki, amani na hadhi

16/10/2017 14:33

Ushuhuda wa Padre Moschetti unaonesha kwa dhati hali halisi na juhudi nyingi za wamisionaria katika nchi ya Sudan ya Kusini kutokana na kipeo cha vita kwa miaka hii.Padre Moschetti amemkabidhi Baba Mtakatifu nakala ya Kitabu chake juu ya safari ndefu kuelekea haki,amani na hadhi

 

 

Maaskofu Katoliki Kenya: Jengeni utamaduni wa kuheshimu utawala wa sheria!

Maaskofu Katoliki Kenya: Jengeni utamaduni wa kutekeleza kwa dhati na kwa hiyari utawala was sheria.

Familia ya Mungu nchini Kenya jengeni utamaduni wa utawala wa sheria

07/09/2017 16:33

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya linawaalika wadau mbali mbali nchini Kenya kuhakikisha kwamba, wanatekeleza uamuzi wa Mahakama kuu ili kufanikisha uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 17 Oktoba 2017! Wazingatie sheria, kanuni na taratibu ili uchaguzi mkuu uwe ni huru na wa haki.

Baraza la Maaskofu Katoliki Ireland linakusanya fedha ili kuwasaidia waathirika wa vita, njaa na ukame wa kutisha Barani Afrika.

Baraza la Maaskofu Katoliki Ireland linakusanya fedha kwa ajili ya kuwasaidia watu milioni 25 walioathirika kwa vita, njaa na ukame wa kutisha nchini Kenya, Sudan ya Kusini, Somalia na Ethiopia.

Mshikamano wa udugu na upendo kwa watu wanaoteseka kwa njaa Afrika

12/07/2017 10:14

Baraza la Maaskofu Katoliki Ireland kwa kuguswa na mateso pamoja na mahangaiko ya wananchi zaidi ya milioni 25 wanaoteseka kwa baa la njaa, utapiamlo na ukame wa kutisha nchini Kenya, Sudan ya Kusini, Somalia na Ethiopia limeamua kuchangisha fedha ili kuokoa maisha ya watu hawa wanaoteseka!