Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kazi za suluba

Utoto Mtakatifu nchini Ujerumani umezindua kampeni dhidi ya kazi za suluba nchini India.

Utoto Mtakatifu nchini Ujerumani umezindua kampeni dhidi ya kazi za suluba wanazofanyishwa watoto wadogo sehemu mbali mbali za dunia lakini kwa mwaka 2018 jitihada ni kuwakwamua watoto nchini India.

Kampeni ya Utoto Mtakatifu dhidi ya kazi za suluba nchini India!

30/12/2017 09:53

Askofu Mkuu Giampietro Dal Toso anasema, huduma ya upendo wa Kiinjili inayotolewa kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi ni muhimu sana kama kielelezo cha ushuhuda wa uinjilishaji mpya unaojikita katika matendo ya huruma: kiroho na kimwili! Huu ni ushuhuda wa watoto wadogo!

 

Kazi ni njia yenu ya utakatifu  ni furaha na kuendelea mbele katika maisha yanayotakiwa.kazi inatoa  hadhi na usalama wa kazi unatupatia hadhi

Kazi ni njia yenu ya utakatifu ni furaha na kuendelea mbele katika maisha yanayotakiwa.kazi inatoa hadhi na usalama wa kazi unatupatia hadhi.

Papa:Kazi ni njia ya utakatifu,bila kazi hakuna hadhi ya maisha!

21/12/2017 16:50

Baba Mtakatifu amewatakia matashi mema ya Sikukuu ya Kuzaliwa kwa Bwana wafanyakazi wote wa Vatican tarehe 21 Desemba 2017.Katika hotuba yake amesisitiza sula la kazi.Kazi ni njia ya utakatifu,bila kazi hakuna hadhi ya maisha na suala hilo linatazama Vatican,Italia na dunia nzima kwa ujumla.
 

 

Tarehe 11 Oktoba kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya kupambana na ukatili dhidi ya watoto wadogo.

Tarehe 11 Oktoba kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya kupambana na ukatili wa watoto wadogo.

Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ukatili wa Watoto wadogo, 2017

10/10/2017 11:49

Umoja wa Mataifa unawataka wadau mbali mbali kusimama kidete kupinga ukatili dhidi ya watoto wadogo ambao wanakabiliwa kwa sasa na hatari ya kutumbukizwa kwenye biashara haramu ya binadamu na viungo vyake, utumwa mamboleo na mifumo yake pamoja na kazi za suluba majumbani!

Biashara ya binadamu  inayofanyika kuwanyonya watu katika maeneo kama vile ya ukahaba, kazi za kulazimishwa,  hutoa faida kubwa sana kwa waalifu.

Biashara ya binadamu inayofanyika kuwanyonya watu katika maeneo kama vile ya ukahaba, kazi za kulazimishwa, hutoa faida kubwa sana kwa wahalifu.

Biashara haramu ya binadamu inaongezeka kwasababu ya kutojali

13/09/2017 16:53

Askofu Mkuu  Ivan Jurkovič  Mwakilishi wa kudumu wa Vatican kwenye Ofisi za Umoja wa Mataifa huko Geneva Uswis,ametoa hotuba yake katika kikao cha 36 Cha Baraza la Haki za Binadamu tarehe 12 Septemba 2016 Ni kikao ambacho kinazingatia sababu na matokeo ya uhalifu mkubwa kupindukia

 

Jumapili ya Utume wa Bahari ni fursa ya kushukuru na kutambua mchango wa mabaharia katika kukuza uchumi wa dunia.

Jumapili ya Utume wa Bahari ni fursa ya kutambua na kushukuru mchango unaotolewa na mabharia katika kukuza uchumi wa kimataifa.

Ujumbe wa Maadhimisho ya Jumapili ya Utume wa Bahari kwa Mwaka 2017

10/07/2017 09:55

Maadhimisho ya Jumapili ya utume wa Bahari kwa Mwaka 2017 imekuwa ni fursa ya kutambua na kuthamini mchango mkubwa unaotolewa na mabaharia pamoja na wavuvi katika kuchangia mustakabali wa maendeleo endelevu ya binadamu sehemu mbali mbali za kimataifa. Waoneshwe mshikamano!

Familia, kazi na mapumziko ni muhimu sana katika kukuzana kudumisha utu wa mwanadamu!

Familia, kazi na mapumziko ni muhimu sana katika kukuza na kudumisha utu na heshima ya binadamu!

Familia, kazi na mapumziko ni mambo muhimu kwa binadamu!

01/07/2016 14:56

Mama Kanisa mara baada ya maadhimisho ya Mtaguso mkuu wa Pili wa Vatican ameendelea kuimarisha maisha na utume wa familia ili kuzijengea uwezo wa kukabiliana na changamoto zinazoendelea kujitokeza katika ulimwengu wa utandawazi na maendeleo ya sayansi na teknolojia!

Baba Mtakatifu Francisko karibu sana katika Nchi za AMECEA

Baba Mtakatifu Francisko karibu sana katika Nchi za AMECEA.

Baba Mtakatifu Francisko karibu sana katika Nchi za AMECEA!

21/11/2015 10:24

Familia ya Mungu kutoka katika Nchi za AMECEA inapenda kumkaribisha Baba Mtakatifu Francisko kuitembelea. Hii ni familia inayothamini Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo na kwamba, inapenda kujikita katika kuwalinda na kuwatetea watoto dhidi ya nyanyaso na utumwa mamboleo!