Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kauli mbiu: Vijana, Imani na Mangamuzi ya Miito

Kila mahali katika dunia utakutana na vijana wa chama katoliki cha vijana, kinachoongozwa na misingi mikuu ya uinjilishaji, mshikamano na upendo

Kila mahali katika dunia utakutana na vijana wa chama katoliki cha vijana, kinachoongozwa na misingi mikuu ya uinjilishaji, mshikamano na upendo

Askofu Kardijn ni mwanzilishi wa chama cha vijana wafanyakazi Katoliki

13/01/2018 14:25

Wapendwa wasomaji wa Vatican news,ninawakaribisheni katika makala ambayo tutazame kwanza mada kuhusu maandalizi ya Sinodi ya Maaskofu 2018 inayohusu Vijana. Na sehemu ya pili tutazame kwa kina Padre Joseph Kardijn mwanzilishi wa Chama cha vijana wafanyakazi Katoliki (ICYCW).

 

 

Pamoja na maandalizi ya Siku ya XXXIV ya Vijana huko Panama,pia inatanguliwa na mikutano muhimu ya maandalizi

Pamoja na maandalizi ya Siku ya XXXIV ya Vijana huko Panama,pia inatanguliwa na mikutano muhimu ya maandalizi

Sinodi ya Vijana 2018 ni kwa ajili ya kupyaisha uso wa Kanisa!

11/01/2018 16:27

Mwaka 2018 unawakilisha matukio muhimu kwa upande wa vijana duniani ikiwa ni Sinodi ya Maaskofu ya Vijana kwa mada ya Vijana,imani na mang’amuzi ya miito3 -28 Oktoba;Vijana wa Italia watakutana na Papa,11-12 Agosti;Mkutano kabla ya Sinodi,19-24 na 25 Machi Siku ya XXXIII Kijimbo ya Vijana!

 

B.Maria ni mfano bora wa: imani, matumaini, mapendo, utii, unyenyekevu na utayari kwa ajili ya huduma kwa watu wa Mungu.

B. maria ni mfano bora wa: imani, matumaini, mapendo, utii pamoja na utayari kwa ajili ya huduma makini kwa watu wa Mungu.

Askofu Marcus Chengula: Palilieni miito mitakatifu ndani ya Kanisa!

18/12/2017 09:37

Bikira Maria Mama wa Mungu na Kanisa alipata upendeleo wa pekee kutoka kwa Mwenyezi Mungu kiasi hata cha kukingiwa dhambi ya asili, ili aweze kuwa ni Tabernakulo ya kwanza ya Neno wa Mungu; mfano bora wa kuigwa na watawa katika maisha na utume wao kwa familia ya Mungu ulimweguni!

Kuanzia tarehe 11 hadi 15 Septemba mjini Vatican inafanyika Semina ya Kimataifa ya maandalizi ya Sinodi ya Vijana 2018

Kuanzia tarehe 11 hadi 15 Septemba mjini Vatican inafanyika Semina ya Kimataifa ya maandalizi ya Sinodi ya Vijana 2018

Kard. Baldisseri:Sinodi ya Vijana 2018 ni Sinodi ya vijana wote

12/09/2017 15:46

Ujumbe wa mababa wa Mtaguso wa II wa Vatican ulikuwa unaeleza kuwa,ni nyinyi vijana wa dunia nzima ambao mtaguso unawalekeza ujumbe wake wa mwisho.Ni nyinyi ambao mnaupokea mwenge katika mikono yenu kutoka kwa mababa ili uwezea kuangaza dunia katika kipindi cha mabadiliko

 

Tovuti kwa maandalizi ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana ipo hewani

Tovuti kwa maandalizi ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana ipo hewani

Tovuti ya Sinodi ya Maaskofu kwa Vijana

15/06/2017 14:52

Sekretariat kuu ya Sinodi ya Maaskofu, imefungua tovuti kwa ajili ya maandalizi ya Sinodi ya Vijana inayotarajiwa kufanyika mjini Vatican mnamo Oktoba 2018, fomu za maswali dodosa zapatikana kwa lugha kadhaa, tembelea http//youth.synod2018.va

Katika eneo hili jukumu kubwa muhimu ni juu ya Chuo Kikuu Katoliki, ambacho kimekabidhiwa utume wa kuandaa vijana wenye kuwa na uwezo kiakili na roho

Katika eneo hili jukumu kubwa muhimu ni juu ya Chuo Kikuu Katoliki, ambacho kimekabidhiwa utume wa kuandaa vijana wenye kuwa na uwezo wa kukuza rasilimali zao kiakili, ukarimu wa moyo kwa nguvu ya Roho wa maisha yao kwenye njia ya maisha endelevu ya ubinadamu.

Vijana wanayo nia ya kukabiliana na changamoto

01/05/2017 07:56

Vijana wanayo shahuku ya nguvu ya kwamba wasibaki watazamaji, na hivyo Baba Mtakatifu anawaalika wasizuie kilio chao cha dhamiri, kitokacho ndani ya moyo kwasababu kijana hakubaliani na manyanyaso, wala ukosefu wa haki na utamaduni wa kubagua,na hata katika kukobea kwenye utandawazi 

 

Washiriki 200 watakuwepo Jimbo Kuu Barcelona  kati yako wapo maaskofu , wahusika wa masuala ya uchungaji kwa vijana shule ,vyuo vikuu,miito, katekesi

Washiriki 200 watakuwepo Jimbo Kuu Barcelona kati yako wapo maaskofu , wahusika wa masuala ya uchungaji kwa vijana shule , vyuo vikuu, miito, katekesi ,na hata mashirika mengine ya utume wa Kanisa.

Ni vipi kutambua wito wa Kristo kutoka sauti za mitandao ya kijamii?

04/03/2017 10:22

Mkutano kuhusu namna ya kuwasindikiza vijana ili  waweze kujibu wito wao kwa kristo katika uhuru utafanyika Jimbo Kuu Barcelona tarehe 28-31 Machi 2017 ulio andaliwa na Baraza la Maaskofu wa Ulaya kwa ushirikiano wa Baraza la maaskofu wa Huspania na Jimbo Kuu la Barcelona.

 

 

Papa Francisko anawataka wakurugenzi wa miito kuanzisha tena utamaduni wa miito ndani ya Jumuiya za waamini!

Papa Francisko anawataka wakurugenzi wa miito kuanzisha tena utamaduni wa miito ndani ya Jumuiya ya waamini!

Iweni ni mashuhuda wa Injili ya miito kwa vijana!

05/01/2017 16:03

Baba Mtakatifu anawataka wakurugenzi wa miito kutoka Mashirika mbali mbali ya kitawa na kazi za kitume kusimama kidete kutangaza na kushuhudia Injili ya miito miongoni mwa vijana wa kizazi kipya kwa kujenga na kudumisha mchakato wa urejeshaji wa utamaduni wa miito ndani ya Jumuiya ya wakristo!