Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Katiba ya Kiekumene

Olav F.Tveit amesema, inawezekana kufikia mwaka 2050 nchi ya China ikaongoza kuwa na wakristo wengi zaidi katika ulimwengu

Olav Fykse Tveit amesema, inawezekana kufikia mwaka 2050 nchi ya China ikaongoza kuwa na wakristo wengi zaidi katika ulimwengu

Dk.Tveit amesema nchi ya china itaongoza kwa wingi wa wakristo 2050!

11/01/2018 09:04

Katibu Mkuu wa Baraza la Kiekumene la Makanisa Duniani,Dk.Olav amefanya maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza hilo katika Kanisa la Chongwemen nchini China;mahali ambapo amesema kuwa,kufikia mwaka 2050 nchi ya China inawezakana ikawa nchi yenye wakristo wengi zaidi katika ulimwengu. 

 

Papa:Mshikamano na ushirikiano wa Kikristo ndiyo viwe ushuhuda daima

Papa:Mshikamano na ushirikiano wa Kikristo ndiyo viwe ushuhuda daima

Papa:Mshikamano na ushirikiano wa Kikristo ndiyo viwe ushuhuda daima

26/10/2017 17:50

Baba Mtakatifu Francisko amekutana na kuzungumza na Wawakilishi wa Kanisa la Scotland mjini Vatican tarehe 26 Oktoba, ambapo amewakaribisha kwa furaha na shukrani kwa hotuba yake,kwamba uwepo wao ni kumpa fursa ya kutoa salam zake za dhati kwa watu wote wa Kanisa la Scotland.

 

Baba Mtakatifu akizungumza na wajumbe wa CCEE na CEC

Baba Mtakatifu Francisko anawahamasisha Wakristo kushikamana kwa pamoja ili kukabiliana na changamoto za malimwengu.

Wakristo shikamaneni ili kukabiliana na changamoto katika maisha!

07/05/2015 11:18

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika wajumbe wa Shirikisho la Makanisa Ulaya na Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Barani Ulaya kushikamana kwa pamoja ili kukabiliana na changamoto katika ulimwengu wa utandawazi na tunu msingi za maisha ya mwanadamu!